mwimbaji wa zouk stara thomas akituonesha vazi la taifa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Michuzi,

    Una maana hii ndo National Dress ya akina mama Tanzania siku hizi?

    Si mbaya.

    ReplyDelete
  2. naaaam! waionaje Chemi, wewe ingekukaa kweli! well, ukweli hakuna makubaliano rasmi, ila kulikuwa na aina fulani ya shindano kutafuta mtindo wa taifa, huo ukashinda, ingawa kitambaa hakikuwa na rangi hiyo.

    ReplyDelete
  3. Okay, nakumbuka TAMWA waliwahi kufanya mashindano na ilishinda design nyingine. Nilishona hiyo staili.

    Lakini maisha ya USA, tako imeongezeka sketi yake hainitoshi tena!

    ReplyDelete
  4. Michuzi, nimekubali. Mavazi tunayo. Tatizo ni kuwa hatujiamini na vitu vyetu. Tazama mwenyewe ubunifu-mtindo wa Kiafrika kisha niambie.

    Halafu: kuhusu vazi la taifa. Hebu tupe vizuri juu ya hili.

    ReplyDelete
  5. kha chemi! hiyo ni kali! punguza kula keki!!!!

    ReplyDelete
  6. Siyo vazi tu hata uzuri unachangia
    huyu mwana mama vazi limeongezea lakini yeye mwenyewe wamo.

    ReplyDelete
  7. Si matani, nguo imemkaa, ila she looks like in her late thirties, wakati ni mtoto wa late seventies tu. Mavazi yanazeesha kiaina

    ReplyDelete
  8. jamani kwa kweli vazi limetulia ila inabidi tuangalie sana haya mavazi yasiposhonwa vizuri unaweza kimbiza watu njiani.

    ReplyDelete
  9. jamani kwa kweli vazi limetulia ila inabidi tuangalie sana haya mavazi yasiposhonwa vizuri unaweza kimbiza watu njiani.

    ReplyDelete
  10. Nam, hakika ni njema. Staha ya mwanamke wa Kiafrika anayejiamini na kujithamini ipo hapa. Hakuna haja ya kuonesha makwapa na mabega!!!!Lakini kakosea moja, hili wigi wapi na wapi? Kwanini hakuacha nywele zake zimrembe tusifie kazi ya Mungu? Namis ile mitindo ya ususi wa nywele ya miaka ile kabla Tanzania haijavamiwa na wadudu. Mitindo kama Mlima Kilimanjaro, Twende Kilioni, n.k......Wadau mnaweza ongeza orodha hii. Hakika tunapaswa kuurejea utu na thamani yetu upyaaa!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...