
askari kanzu wakimpeleka athumani ukiwaona ditopile mzuzuri lupango mara baada ya kusomewa shtaka la mauaji mbele ya hakimu mkazi michael lugulu mahakama ya kisutu leo. mshtakiwa ambaye ni mkuu wa mkoa wa tabora anatetewa na dk. ringo tenga na hakutakiwa kujibu kwani saizi ya kesi hiyo ni mahakama kuu
mtuhumiwa ni mtuhumiwa na hata ditopile ni mtuhumiwa; iweje asindikizwe na polisi waliovaa kiraia? anatumia usafiri gani kuingia na kutoka mahakamani-karandinga au prado?
ReplyDeletebro jk ulionesha kasi kwa kuunda tume ya jaji kipenka kwa tukio la mauaji ya raia lakini katika hili hatuhitaji tume. put this dude in his place. damn u ditopile.
ReplyDeleteWakili mtetezi wa upande wa mshitakiwa popote pale ni ku-confound ushahidi wa upande wa mshitaki. Mara nyingine wakili mtetezi hufanikiwa on legal technicality. Yangu macho!
ReplyDeletehuyu c mfano mwema ktk serikali hii, jk amtoe madarakani gaidi huyu.
ReplyDeleteAskari kanzu wanampeleka sero Ditopile kwa unyenyekevu wa hali ya juu na sizani kama alilala sero.Ingekuwa mlalahoi angekuwa ameshapata kipigo kikali. Kiwete anatakiwa hamvue madaraka, hili aukumiwe kama raia wa kawaida.Asimuogope kwa sababu ni home boy na mwánamtandao mwandamizi.
ReplyDeletehiyo bandeji mkononi mwa Dito ina uhusiano na tukio?isije kuwa ni geresha kuonyesha alishambuliwa na alitumia pisto kwa self defence!!!
ReplyDeleteAibu sana ndo nini hiki jamani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteHUYU JAMAA NASIKIA AMEKUJA MAHAKAMANI NA BALOON WALA SIO KARANDINGA KAMA TULIVYOZOEA, SASA MIMI NAONA SHERIA ISHAANZA KUPINDISHWA HAPA!!
ReplyDeleteDito..umeua mtu kama Nzi, sasa utatesa na Zombe keko, nina hasira na wewe dito .Dito kaa mbali na mimi NAHASIRA !
ReplyDeleteWANDUGU, KAMA ALIVYOSEMA ANONY HAPO JUU HUU MKONO WENYE BENDEJI UNAWEZA KUTUHARIBIA KESI HUU. HAPO INAWEZA DAIWA ALITAKA KUNYANG'ANYWA BASTORA YAKE NDIO KATIKA PURUKUSHANI AKAFYATUA. HAPO HAWATAMPATA MTU KUNA MASHAIHIDI ZAIDI YA 30.TENA JAMAA BAADA YA KUMPIGA ALIPANDA KUWANGALIA ANAVYOKATA ROHO.
ReplyDeleteZemarcopolo, na mimi nilivyoona tu hii picha nikafikiria hivyo hivyo that isije wakasema aliuwa kwa self-defence, ila nimeulizauliza nikaambiwa that baada ya kuuwa, abiria walishuka kutoka katika basi na kuanza kumpiga bila kuogopa kuwa anasilaha, bila ya dereva wake na abiria mwingine aliyekuwa ktk gari la Dito kuingilia kati, wananchi wangemmaliza pale pale, inasemekana huyo abiria waliyekuwa nae alitoa pistol, thes when wananchi waka back off.
ReplyDeleteHuyu jamaa hata akitoka "kimisheni" Mungu yupo na hukumu itamngoja siku ikifika
ReplyDeletekaka dito usiiname kichwa unaenda kupigwa miti na zombe huko ukonga ana nyege kupita kiasi angea vizuri tukutumie KY kama haipatikani huko kwa waraabu kariakoo. na Zombe ana Mpini mkubwa walahi kisukari kitapona tu... Kufa Kufaana Zombe Kapata Demu na wewe Dito ndiyo sasa Chakula safi andaa Kikalio Brother Dito!
ReplyDeleteDito..konyagi imekuponza..unalewa sana,mpaka unaua Kijana wetu kama Nzi.Dito hakuna cha bandage wala nini.Dito utapata haki yako. Watoto wa mjini hawafanyi mauaji, watoto wa mjini wanajua kula maisha..maisha siyo keko Dito
ReplyDeleteDITO KAA MBALI NA MIMI..NA HASIRA..NA HASIRA
KWELI DITO,KUFA HUFI,ILA CHA MOTO UNAKIONA.POLE SANA.
ReplyDeleteatafugwa,kwa,kuuwa,bila,ya,kukusudua,JK,akingatuka,atapewa,msamaha,wa,Rais.BOngo.Hiyo
ReplyDeleteSheria inasema kuwa adhabu katika kesi ya mauaji ni kunyongwa mpaka kufa. Kesi inayomkabili dito ni ya mauaji, watu wanataka kupindisha mambo kama vile kijana aliyeuwawa hakuwa na haki ya kusihi. Dawa ya moto ni moto.
ReplyDeleteDito alitoa bunduki, akakamua triger na kufyatua risasi iliyomuua kijana Mbonde kutokana na ajali ndogo ilyohusisha gari lililokuwa likiendesha na marehemu na lile la bwana Dito. DPP asipoteze wala kupindisha ushahidi, na motive ya bwana Dito kufanya kosa hilo iko wazi kabisa: magari yao ni ushaidi wa kutosha kuonyesha motive.
By the way, ilikuwaje Dito akawa mkuu wa mkoa wa Tabora hali alikuwa amejityangazia Dar es Salaam ni yake (ina wenyewe!!)