jeneza lenye mwili wa hayati hassan mbonde dereva wa daladala ambaye athumani ikiwaona ramadhani ditopile mzuzuri anashukiwa kumuua kwa risasi likitolewa nyumbani kwao kawe kuelekea mazikoni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Kwenye hii picha,naona idadi ya watu wa usalama wa Taifa(mashushu) ni wengi zaidi kuliko idadi ya Raia wa kawaida.Naamini wanaandaa mazingira ya Kumnasua kwa mlango wa nyuma Bwana Ditopile.

    ReplyDelete
  2. Mungu Ailaze Roho ya Marehemu Hassan Mahala Pema Peponi.

    Muuaji Ditto lazima sheria ichukue mkondo wake na Serikali isilete ujanja kama wa miaka ya nyuma kumwachia huru kisa tu ni Kiongozi.

    ReplyDelete
  3. Michuzi uko huru sana na habari sasa utafutege na bodyguards kabisaa maana soon vigogo watakutafutia vya kukutafutia kipenzi chetu tukose habari motomoto bure

    ReplyDelete
  4. POA DITO, INABIDI UKANYEE KWENYE NDOO SALAAM KWA BABU SEYA NA WANAE NA MACHIZI WENGINE

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...