mwili wa hayati mbonde ukitolewa mochwari ya muhimbili kupelekwa mazishini kawe

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 34 mpaka sasa

  1. HAPO DAR TU DITOPILE ANAUA BILA WOGA, JE HUKO TABORA NI VIPI KAMA ALIKUWA HANYONGI WATU KABISA HUKO SEMA HABARI HAZITUFIKII TU.

    ReplyDelete
  2. Jamani twende mbele turudi nyuma huyu babu Dito kafanya kosa kuchukua sheria mkononi kama vile kaiumba yeye, lakini! jamani hawa madereva wametumalizia ndugu zetu sana na wakigonga huwa hawasimami hata kuokomaisha yao kuwakimbiza hosipitalini. watoto wa shule wamekufa wengi tu bila hatia kwa kusukumwa na makondakta je mlishawahi kuwachangia wazazi wao kwa msiba wa ghafla? sisemi kuwa huyu kijana aliyedhulumuwa nafsi yake ni sawa yaliotokea laa! ila nakumbusha tu. MIZANI

    ReplyDelete
  3. Rais Jakaya Mrisho Kikwete apata mtihani wa kwanza akiwa kama Rais wa jamuhuri wa muungano wa Tanzania.Taarifa zilizonifikia hivi punde zinasema "Dito unataka mimi nikubebe vipi sasa!!" alisikika JK
    Je kikwete kuacha nyota yake inayong`aa iishie kwa mpumbavu mmoja aliyetaka kujioonyesha?Na kama kumbeba atambeba kwa staili ipi?
    Kikwete sasa yuko kwenye "point of no return"'Ajimalize mwenyewe kisiasa kwa kumbeba huyu bwege !!!!Angarishe nyota yake kwa kuacha mkondo wa sheria uchukue nafasi yake.
    Utemi kwa bwana Ditopile ni kitu cha kawaida,kama mtakumbuka alipofumaniwa kinondoni akila uroda na mke wa mtu wakati huo akiwa mkuu wa mkoa wa Dar-es -salaam ,hii ndiyo kauli aliyotoa"kwa kizaramu ukifumaniwa ni sifa yaani wewe ni dume huku akijinyoshea kidole"
    SpoilerAtl niko very concerned na mashahidi,nyinyi angalieni jinsi watakavyouawa au kufa vifo vya ajabu ajabu.
    Kwa mtazamo wangu mimi Ditopile aliwahi kuwa mwanajeshi hivyo ni mtu mwenye utaalam wa kutosha wa matumizi ya silaha.Bahati mbaya hapo hakuna kwani accident na bastola ni vitu viwili tofauti.Yule dereva alifuata taratibu zote ,kwani baada ya kumuona Ditopile kahamaki baada ya ajali alifunga kioo na mlango wa gari lake kuepusha shari!!Sasa wewe ungekuwa yule dereva ni nini ungefanya zaidi ya alichofanya??
    LIFE IN PRISON WITHOUT PAROLE OR KITANZI NDIZO ADHABU ANAZOSTAHILI BWANA DITO!
    Wenye maoni tofauti endelea....

    N.B MICHUZI HALAANI MAUAJI WHITE HOUSE KIMYA!!!

    ReplyDelete
  4. KUNA FUNUNU NASIKIA DITO ANA NGOMA HII NI FRUSTRATION TU ILIMTUMA AUE AMEIPATA TABORA AKIWA NA BINTI MDOGO WA KINYIRAMBA AMBAYE ALIKUWA ANASOMA UHAZIRI ANAITWA PELAGIA SOLOMON, KWA SASA HUYO BINTI AMELAZWA KATIKA HOSPITALI YA TUMBI KALIBU KABISA NA TABORA YUKO HOI MAHUTUTI. INAWEZEKANA KABISA HII NI SABABU KUBWA YA HUYU BWANA KUUA AKIJUA WAZI HANA MUDA MREFU WA KUWA NASI HAPA DUNIANI KWENYE RAHA NA MAJUTO.

    ReplyDelete
  5. tuwaombee wote na ile familia tuanzishe mfuko wa kuweza kuwasaidia.

    ReplyDelete
  6. mwita wewe uko marekani hizi habari unazotoa umezipata wapi? ama wewe ndiyo mwenye nayo? acheni uzushi kwanza Baba ameua kwa bahati mbaya alikuwa anagonga dirisha na bastora ikafyatuka yenyewe, tutasubiri mahakama iamue lakini mimi najua baba hawezi kufyatua risasi kirahisi hivyo ni bahati mbaya jamani naomba mumsamehe jamani babu yangu.mwita unamzushia tu baba.

    ReplyDelete
  7. WEWE UNAYEJIITA MWITA CHACHA!!! Pelagia alikukataa ndo unamwanika hadharani...KWA TAARIFA YAKO PELAGIA ANA KISUKARI TU na sio NGOMA!!!

    ReplyDelete
  8. DITO AMEUA KWA KUKUSUDIA HILI HALINA MJDALA. HUKUMU YAKE INAELEWEKA NA HUKUMU HIYO ITAKUWA FUNDISHO KWA WATU KAMA HAWA NGULUME AMBAO INASHANGAZA, PAMOJA NA KUKIUKA MISINGI YA UTAWALA BORA, BAADO WANAKUMBATIWA NA JK

    ReplyDelete
  9. AISEE, JAMANI KAMA KUNA ANONY WA TABORA HUKO HEBU FUATILIA UTUPE NYETI ZA HII HABARI HAPO KWA ANONY WA JUU.

    ReplyDelete
  10. mwita chacha unahukakika? Je huko tabora. hivi JK ameisha chagua mkuu mwingine? make huyu dito ni byebye

    ReplyDelete
  11. Damu iliyomwgwa aijaenda chini kwenye ardhi bali imemwagikia kwenye vichwa vya watanzania wote wapendao haki na usawa.Marehemu Mbonde ulale mahala pema peponi amina.

    ReplyDelete
  12. Michuzi, hii ndio amani ambayo inadaiwa ipo Tanzania?Damu ya Huyu kijana aitapotea bure.Naamini wakati utafika watanzania watasimama na kusema hapana, tunaitaji amani ya kweli.

    ReplyDelete
  13. first of all wewe uliyejiita Mwita chaha tafadhali tumia jina lako kuandikia upuuzi wako, usitumie majina ya watu. so what kama kapata ngoma?, dawa zipo, na hata kama hakuna dawa, ngoma haiuwi kwa dakika moja, so hiyo siyo justification ya as to why amemuuwa kijana wa watu.
    Second, anony wa Tuesday, November 07, 2006 5:28:37 AM, so what kama madereva wa mabasi huwa wanagonga watu na kukimbia?,madereva wa kawaida hawafanyi hivyo? una ushahidi kama huyu kijana alishawahi kutenda kosa hilo? Hata kama wanagonga na kukimbia, kuna hatua ambazo wanastahili kuchukuliwa, sio kuuawa kikatili kama alivyofanya muheshimiwa Ditopile. Namquote SpoilerAtlanta, "LIFE IN PRISON WITHOUT PAROLE OR KITANZI NDIZO ADHABU ANAZOSTAHILI BWANA DITO!" Yeah right SpoilerAtl

    ReplyDelete
  14. kama hiyo ngoma wala hajaanza kuipatia kwa pelagia kaipata ngoma hiyo Arusha na ni miaka mingi sana sasa kwa dada mmoja anitwa Zubeda ambaye kwa sasa ni marehemu na mtoto waliyezaa pia ni marehemu ni mtu mchafu tuuuu.

    ReplyDelete
  15. mtu mwenye tabia ya kibabe kama huyu baba ditopile ujue ni mtu mwenye ghuluka chafu sana kwa kawaida watu wenye tabia ya kutumia nguvu hivi mara nyingi wao huyo ni

    1) wanyanyasaji
    2) wafiraji na wanafira mtu yeyote hata kuku.(wabakaji)
    3) wauwaji
    4) wanyanganyi
    5) wagomvi
    6) walevi
    7) waizi hili swala la wazi mfano mzuri wizi wa kura
    8) wanapenda kutia vidole watoto wadogo

    hiz tabia zote mbaya basi tuu ili mradi ajione ni mwenye power. tatizo lao kubwa ni kutaka power.

    kwa hiyo mtu huyu akiachiliwa ni mtu hatari sanasana.

    na kama ataachiliwa basi na kina babu seya nao waachiliwe maana tabia zao hazipishani kwa njia moja au nyingine.

    ReplyDelete
  16. Wewe malaya wa 12:58 unamaana gani kusema nitumie jina langu mimi naitwa Mwita chacha kama wewe unamjua mwingine basi hiyo ni sawa kama huyo unayemjua ni bwana wako poa lakini mimi hili ni jina langu na sioni ajabu kama kuna mwita wengine unaowajua, tafadhali argue kama msomi haya ni majina ya ukoo tu huko musoma tarime yamejaa tele wewe malaya unaye lopoka kabebe mabox! huyo pelagia tunamfahamu yuko Tumbi hospital hali yake ni mbaya sana... na tunafununu hii ni frastration ya mzee dito that is why he triggered his gun to a young dude kwa taarifa yako.

    ReplyDelete
  17. MIMI NAFIKIRI NI MTU HATARI SANA HUYU NIMEKUWA NAWAMBIA HAWA WAISLAMU NI HATARI SANA HAMSIKII MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI NDIYO KWANZA UMEKWISHA NA HUYU JAMAA ALIKUWA ANAKULA KITI MOTO KILA SIKU KULE BACHU TABORA SASA ANGALIA MAMBO YANAYO MTOKEA? KWANZA NASHUKURU AMEDAKWA MAPEMA HAWA NDIYO WALE WANAOGEUKA KUWA MA SERIAL KILLER WANAO SHOOT WATU KWENYE HIGH WAY, NI HAFADHALI ANGEENDA IRAQ AKAJILIPUA SASA ANGALIA KAMWUA MWISLAMU MWENZAKE BILA SABABU YA MSINGI WAKATI AKIJUA HILO DALADALA LILIKUWA NA INSURANCE AMBAYO INGEMKAVA HATA YEYE NA KULIPIA HATA HIZO DAWA ZA NGOMA KAMA ANGE FAKE NI MGONJWA.. JAMANI NGUGU ZETU WAISLAMU MSIMALIZANE WENYEWE KWA WENYEWE

    ReplyDelete
  18. PELAGIA---ANA NGOMA BWANA, MSIJITIE KUTETEA KITU AMBACHO KIKO WAZI. WATU WANAOMWANIKA HAPA WANASEMA UKWELI. NYIE MNAOTETEA HAPA ATI OOH! ANA KISUKARI---THINK AGAIN. ANA NGOMA PENDA MSIPENDE.

    ReplyDelete
  19. HATA MTIHANI MKUBWA KWA KIKWETE HAPA, DUH! SI MCHEZO. MANA ALIUA MTOTO WA RUPIA NA AKAACHILIWA HIVI HIVI. NA WENGINEO WATOTO WA WAKUBWA KAMA YULE KINJE NGOMBALE MWIRU PIA. ALIUA, MUUAJI HUYOOOOO LAKINI LIPO TU HAPA MJINI ALIKAA KEKO KOKORONI SIKU CHACHE TU KWA ZUGA, HALAFU KESI IKAFUTWA, BONGO HAMNA KUHESHIMU SHERIA, SASA TUONE KAMA KIKWETE ATAINGILIA SHERIA NA HAKI HAPA. WADAU TUNGOJE TUONE.

    ReplyDelete
  20. Tokeni hapa shenzi taipu nyie, mbona munaongea ujinga hapa kama mnajifanya mnajua wauaji wote watajeni basi sio kubakiza wengine Je huyu Mtoto wa Nyerere aliyeuwa hapa Mbezi na akaitupa maiti nje ya ukuta wa fensi ya nyumba yake?? Je mbona hamujamtaja? Alikuwa anaendesha gari spotsi kaa yenye rangi nyekundu, aliandikwa mpaka magazetini, na akaachiwa hivihivi, tuulizeni sisi wa hapa Mbezi intachiki tunajua ukweli.

    ReplyDelete
  21. huyo ni jamaa kwenye ukoo , huna DATA, acha kuchafua majina.

    ReplyDelete
  22. BREAKING NEWS
    Kufuatia kesi ya mauaji…
    Ditopile ajiuzulu ukuu wa mkoa
    Na Mwandishi Wetu
    RAIS Jakaya Kikwete amekubali kujiuzulu kwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Ukiwaona Ditopile-Mzuzuri, anayekabiliwa na kesi ya mauaji ya raia mjini Dar es Salaam.
    Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Waziri Mkuu mjini Dodoma jana usiku, Rais Kikwete amekubali ombi hilo kufuatia barua aliyoandikiwa na Ditopile Jumapili iliyopita, siku moja kabla ya kufikishwa mahakamani, akimuomba Rais akubali kujiuzulu kwake.
    Rais alieleza: “kuomba kwako kujiuzulu wadhifa wako wa Mkuu wa Mkoa ni uamuzi wa busara na hekima. Unatoa fursa kwa taratibu stahiki za kisheria kufanyika bila ya vizuizi visivyokuwa vya lazima. Ni heshima kwa taifa letu linalozingatia utawala wa sheria.
    “Hivyo napenda kukuarifu kuwa nimekubali ombi lako la kujiuzulu wadhifa wa Mkuu wa Mkoa. Kwa mara nyingine tena pole kwa yote. Usiache kumshukuru na kumuomba Mungu.”
    Rais Kikwete yuko safarini katika nchi za Asia .
    Taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu ilisema, katika barua yake ya kuomba kujiuzulu, Ditopile alieleza kuwa tukio lililotokea “linakingana na dhamira yangu ya wajibu wa kazi yangu ya Mkuu wa Mkoa.”
    Aliomba kuwajibika na kutoa nafasi kwa mkondo wa sheria kuchukua nafasi yake vyema na kuacha serikali kufanya kazi yake ipasavyo kwani “nikiendelea kuwepo madarakani itaathiri imani ya wananchi kwa serikali yetu.”
    Ditopile (58) alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu juzi, akikabiliwa na shitaka la mauaji ya dereva wa daladala Hassan Mbonde.Upande wa mashitaka ulidai kuwa Ditopile alifanya mauaji hayo Jumamosi iliyopita katika makutano ya barabara za Bagamoyo na Kawe, Dar es Salaam.
    Mshitakiwa ambaye hakutakiwa kujibu lolote, yuko rumande na kesi dhidi yake itatajwa Novemba 20, mwaka huu.
    Kwa mujibu wa habari za awali za polisi, Ditopile anadaiwa kumuua kwa kumpiga risasi kichwani dereva huyo.

    ReplyDelete
  23. Huu ndiyo uzuri wa technology ya blog!!! Kama kweli mtoto wa Nyerere aliua, wengi wetu hatukuwa na habari. Sasa kama hizi ni za kweli, basi sheria ichukue mkondo wake. Hakuna mtu aliyejuu ya sheria. Baada ya uongozi wa mwalimu Nyerere, wakubwa wengi wameifanya nchi ni kama yao na kufanya watakvyo. WATANZANIA HAMKENI!!!! MKIENDELEA KULALA USINGIZI MTAENDELEA KUUAWA KAMA KUKU.
    KAMA KWELI MTOTO WA MWALIMU ALIUA< BASI POLISI NA SERIKALI YA JK FUATILIENI NA SISI WANANCHI TUNATAKA JIBU HARAKA.....

    ReplyDelete
  24. Mwita Chacha, samahani usituingizie masuala ya udini kwenye hii blog.Hatuna nafasi ya kujadili dini ya mtu hapa.Tunamjadili Ditopile kwa kosa alilofanya kama kiongozi mwandamizi wa serikali, na sio dini yake.

    ReplyDelete
  25. Mwita Chacha jiheshimu,hapa hakuna masuala ya dini. Hii imetokea by coincidence hawa kuwa dini moja. Kama una ajenda zako tafuta mahala pengine siyo hapa.

    ReplyDelete
  26. HII MITOTO YA VIGOGO INAKUWAJE WANAPEWA SIRAHA KIRAHISI HIVYO?, NA KWANINI WANAKUWA NA SIRAHA? KUJILINDA NA NINI?. NA NINADHANI UKICHUNGUZA UTAKUTA WAMEZIPATA BILA HATA ISIVYO HALALI NA PIA HAWANA VIBALI NAZO MIMI NAOMBA SERIKALI IANGALIE VIZURI SWALA HILO MAANA INAVYOKWENDA HII MITOTO YA VIGOGO ITATUMALIZA SISI WALALA HOI

    ReplyDelete
  27. Kwa kweli Michuzi unanishangaza mno - hilo jambo la huyo dereva wa dala dala umelishikia bango mno - KWA KWELI IT SERVES HIM RIGHT. Hao madereva wa dala dala wakishirikiana na makonda wao wananyanyasa sana wanafunzi jamani. Two weeks ago - mwanafunzi kakanyagwa na gari na kufa papo hapo tena mbele ya macho ya mdogo wake - wakienda shule - je hilo hamlifikirii jamani - au kisa huyo kapigwa risasi na mkuu wa mkoa?? Just think about it JAMANI - afadhali hata huyo dereva ameishi kuona watoto wake - je yule mtoto aliyekuwa awe taifa la kesho??? THIS IS BULL SHIT - kwa kweli hao madereva na ni BADO.Huo ni mfano tu.

    ReplyDelete
  28. HUYO NDUGU WA MBEZI AMEZOZA UKWELI NI HUYU MATARE NYERERE BEST FRIEND WA KINJE NGOMBALE MWIRU.
    NI KWELI ALISHUTUMIWA KWA MAUAJI, MBEZI KAMA MIAKA TISA ILIYOPITA, NA NI KWELI KESI IKAFUTWA MAITI ILIKUTWA NJE YA FENSE YA NYUMBA YAKE MBEZI. NA NI YEYE KWELI ALIKUWA NA SPORTS CAR YA RED.
    WATOTO WA WAKUBWA WANAJIFANYA WAJANJA NA KUCHEZA NA SHERIA. SASA MTOTO WA MUMBAI PIA KAPIGA BASTOLA WAZI KWENYE UKUMBI WA STAREHE. WASHENZI WOTE HAWA MABISHOO, HASA HUYU KINJE PIA MADEMU WAKIMKATAA ANATOA BASTOLA.

    ReplyDelete
  29. Michuzi naomba ututumie picha za CYNTHIA MASASI huu msiba umekwisha tikea na Dito yupo kwenye mikono ya sheria GUYS LETS MOVE ON....!Mzee Michuzi naomba picha zaidi za TAUSI NA MREMBO CYNTHIA MASASI NINAMUHUSUDU huyu dada kupita kiasi nadindisha kila mara ninapoona picha yake niko mbali kidogo na Atlanta siunajua siunajua tena ubusy wa Maryland mzee michuzi?

    ReplyDelete
  30. Wewe mwita una kichaa mambo ya dini yanahusiana nini tukio lilitokea?huo ndiyo ufinyu wa mawazo baadala ya kujadili maada iliyopo unaleta udini "karn ya ishirini na moja unaendekeza udini" DITO ameaua tuiachie mahakama ifanye kazi yake tusiwe waendesha mashitaka, majaji na mashahidi

    ReplyDelete
  31. ukiona jitu linaropokwa yasiyohusu jua hilo choko msishangae kusikia huyo mwita chacha ni junya la kutupa maana analeta habari ambazo hazina hata msingi zikiwemo za kidini humu asituletee udi sisi.

    ReplyDelete
  32. POLENI WAFIWA NA TUACHE CHERIA ICHUKUE MKONDO WAKE NATUMAINI BORTHER DITO KESHA PELEKWA SERO NA SIO DISPENSARY TENA KWENYE GODORO.

    MICHUZI HEBU ON HIZI DATA NAJUA UNAMWOGOPA LOWASA,MSABAHA NA MASHA ILA TUNATAKA MAJIBU TAFADHARI.

    If this is true, then we are in serious trouble (hatuna uchungu na kodi
    ya watanzania, hasa wale wanaolipa kodi hata kabla hawajapokea kipato
    chao-emplyees). I am not a technical person, hence I can not recommend
    anything, however I believe we do have technical people who can
    investigate, collect infos from different sources and give out their
    statements.



    Hii ni price qoute from GE for a brand new generator na hii generator
    can produce more power compare to what they sent to TZ and still brand
    new is only $36 millions dollars how comes they spent $175 million.

    Huu still ni wizi.



    New GE Frame 7FA Combined Cycle w/BOP

    Asking Price: USD $36.25 mil per 1 X 1 X 1 combined cycle unit

    Included: CTG + ST-G+HRSG.

    Excluded: Feed pumps, GSU's, interconnecting piping, etc

    Description: The GE 7FA train is the premier combined cycle plant. It
    can achieve net plant heat rates as low as 6,900 BTU/kWh HHV in combined
    cycle mode. The 172 MW nominal gas turbine can generate enough steam to
    produce approximately 90 MW in the steam turbine while supplemental
    firing (duct firing) will increase output by an additional 25-30 MW
    depending on site conditions. The CTG is designed for outdoor
    configuration. The HRSG is an Erie Power Technologies (formerly Aalborg)
    modular design, with triple pressure and supplemental duct firing
    capability. The high efficiency GE turbines are manufactured in
    Greenville, SC and Schenectady, NY. The steam turbine is designed with
    an axial flow exhaust. SCR for 3.0 ppm NOx and 5.0 ppm CO.

    This is a complete set of power equipment required for a 1x1 combined
    cycle plant. The GE equipment includes all MSD and auxiliary equipment
    normally supplied with a turbine order including technical direction
    hours for erection and startup. The HRSG includes the normal HRSG scope
    from the GT outlet to stack outlet.

    Output: 172 MW (Gas Turbine)

    115 MW (Steam Turbine)

    Delivery Dates -

    Gas Turbine & Auxiliaries: In Storage

    Steam Turbine & Auxiliaries: In Storage

    HRSG- Balance Of HRSG Package
    Valves, Piping, Instrumentation, Platforms, Etc.: Ship Direct From
    Supplier

    Heat Rate:

    In Simple Cycle : 10,650 BTU/Kwh HHV

    In Combined Cycle : 6,900 BTU/Kwh HHV

    Nox Control Technology : DLN 2.6 With SCR

    Nox Without SCR: 9 Ppm

    Frequency: 60 Hz

    ReplyDelete
  33. MWITA POLE NAFIKIRI UMESIKIA

    ReplyDelete
  34. Wewe Mwita Chacha bandia unayesema upo Maryland, Mwita Chacha pekee aliyekuwa Maryland hadi October mwaka huu (Sasa yupo UK anasoma Masters?) hana tabia kama zako, Hebu tumia jina lako halisi,kwanza hata humjui vizuri Mwita, maana unadhani hadi leo hii yupo Maryland, acha kutumia majina ya wenzako. Haipendezi, Michuzi, nadhani unamkumbika Best Man wa Harusi ya Sajo, huyu mjinga anayejiita Mwita Chacha hapa anamuharibia jina lake klwa kuongea upuuzi kama huo wa kuihusisha hii kesi ya Dito na mambo ya kidini, Kaka michuzi, Tunakuomba uache kuweka hapa posts zake.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...