wanautamadunio wa kigogo wakitumbuiza mjini dodoma karibuni. ngoma hii haina tofauti sana na ya kimasai ambapo wanaume hurukaruka na kubo...
January 2006
huyu ndiye zakaria ndibameye, aliyekuwa mmiliki wa dar international orchestra ya marijani rajabu. kupata habari zake mpigie ismail wa mwenge jazz aliyekuwa...
jenerali banza stone mwana wa masanja akiingia ukumbini diamond jubilee na trupu lake la twanga pepeta kuzinduz albamu ya mtu pesa. hivi sasa twanga wako...
wakuu wa majeshi wastaafu toka shoto jenerali sarakikya, jenerali mwita kyaro, mboma na david musuguri. kushoto kwa jk ni mzee ma...
kampuni nyingi binafsi zimechukua zabuni za usafi wa jiji la dar ambalo kwa sasa kidogo halitii kinyaa kama zamani. tatizo hawa jamaa hufanya kazi mchana...
maalim seif akiwasili mnazi mmoja kuhudhuria siku ya mashu...
wana bongoflava king crazy gk (shoto) na o ten wakichill....
jk akiwa na mkuu wa itifaki cisco mtiro ik...
ustaadhi akiingia neshno stedium tarrrtiiibu...
...na huyu ndiye aisha fikiri madinda dansa nyota mwingine wa twanga pep...
eee wajameni, ni dagaa pale kigooomaa...
viongozi mbalimbali wa zanzibar wakiomba dua mbele ya kaburi la hayati mzee abeid amani karume hapo kisiwandui, zanzi...
gadna g. habash wa clouds 88.4 fm akiwa na mkewe judith daines isambai mbibo ama lady jd siku ya ndoa yao ambayo nilibahatika kuwa mpiga picha pekee na...
huyu ndiye zakaria ndabameye aliekuwa mmiliki wa bendi ya dar international orchestra chini ya jabali la muziki marijani rajabu. bw. zakaria hivi sasa...
hapo nipo butiama na wana wa nyerere. kulia ni andrew ambaye ndiye mtoto wa kwanza na kushoto ni madaraka, mtoto wa ta...
panapokuwepo wakuu wengi wa nchi kwa pamoja huwa shida kupata picha kwa utulivu na ustadi, labda utumie akili za zi...
huyu ndiye dansa mahiri wa twanga pepeta lilian internet ambaye sasa nasikia yuko ughaibuni (nchi kapuni) akisaka majani ya kij...
kikosi kizima cha mabingwa wa soka tanzania bara dar young africans.waliokaa toka shoto: ben mwalala, john baraza, nadir canavaro, dekilojo chambua (kocha...
ukoo wa nyerere buti...
wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama ambao wamefanya kazi kubwa kuhakikisha bongo inakalika kwa amani na utulivu. kutoka shoto ni mkurugenzi wa usalama...
mama wa kijapani na mwanae wa kufikia wakivinjari ...
mkongwe wa taarabu na ngoma za unyago visiwani zanzibar kidude baraka a.k.a bi. kidude (aangaliae kamera) akionesha umahiri wake jukwaani. yeye ni mmoja...
hii kitu ipo posta ya zamani na inaonesha majina ya 'mashujaa' wa vita kuu ya pili tatizo hakuna jina la mbantu hata moja, ni wadosi na watasha...
mojawapo ya vitu vinavyohifadhiwa ndani ya makumbusho ya mwalimu nyerere kijijini kwake buti...
bodi ya dayosisi ya musoma iliyoundwa kufanya mchakato wa kumfanya mwalimu nyerere awe mtakatifu ikianza kazi rasmi katika kanisa la butiama jumamosi...
madaraka nyerere, mmoja wa watoto wa mwalimu akitoka kanisani butiama na sister jean pruitt mwanzilishi wa nyumba ya sanaa baada ya hfala ya uzinduzi...
naona ndesanjo na mark nitakuwa nimewafikisha kabisa. naomba msiache www.mbongo....
kushoto ni meya mpya wa jiji la dar alhaj adam kimbisa akikabidhiwa ofisi na meya aliyepita kleist sykes leo karimjee hall. kimbisa alipita bila kupingwa...
kama kuna aliewahi kutumia senti kama hii na anyooshe mkono. we! mtimkubwa-mkavu, acha! hujazikuta hizi, labda kidoooogo ndesanjo na ma...
mzee rashidi mfaume kawawa na mkewe. kama julius nyerere tulimwita baba wa taifa je simba wa vita huyu ambaye amefaifanyia makubwa tanzania tumwite...
mwalimu akicheza bao na mmoja wa wazee wa butiama huyu mzee ali hassan mwinyi, mama maria na kaka yake chifu burito wakishuhudia. napost picha hii nikiwa...
wanamitindo wakionesha mavazi ya kiutamaduni kwenye shindano la miss tour...
nguza viking a.k.a babu seya (kulia) akiwa na wanawe (toka shoto: francis, nguza na papii kocha 'mtoto wa mfalme' siku walipotinga kizimbani kusikiliza...
nguza viking 'babu seya' (kulia) na wanawe (toka shoto: francis, nguza na papii kocha 'mtoto wa mfalme' wakiwa kizimbani siku rufaa yao kupinga adhabu...
ndugu yangu gado anayechorea katuni zake nairobi kwenye gazeti la nation amenitumia ujumbe huu ambao napenda wote muuone na kujua wepesi wa kazi zetu...
ndege ya rais aina ya gulfstream 550 iliyochukwa nafasi ya fokker iliyozeeka na ambayo spea haku...
mfanyabiashara akijioumzisha sokoni tand...
kuna jamaa kaomba kuona sura za hawa wazee ati kaondoka bongo siku nyingi kiasi kawasahau...
Huyu bibie ndiye kiongozi wa wa umoja wa kinamama wakimbizi katika kambi ya wakimbizi wa burundi ya mtabila, kigoma. hoteli hii marufu imeshahudumia hata...
buffet la sheraton mtabila na wageni wa kimata...
tangazo muhimi sheraton mtab...
hii ndo menu 'a' sheraton mtab...
jamaa akisafirisha bodi kuelekea karia...
mabaunsa wakimdhibiti dudu baya baada ya kumpiga mr nice jukwa...
hapa ni magomeni mapipa na hii ni zawadi ya mtoto wa migomigo aliyeko huston , lazy hollow, marekani, miraji mal...
lucas mkenda a.k.a mr nice baada ya kupigwa na dudu baya jukwa...
baibui ni vazi la dini ga...
siku moja moja huwa 'nawasha mwezi' kwa kutangaza ktk TV mbalimbali, hasa mambo ya michezo, hususan panapokuwa na michuano ya kombe la dunia ama la afrika....
hawa ni wadada wa kiswazi katika ngoma ya majani (reed dance) ya kila mwaka ambapo mfalme mswati, ambaye sasa ana wake 13, huchagua mke mp...
mwimbaji wa zouk stara thomas akituonesha vazi la ta...
wazee maridadi wa unguja wakicheza kusherehekea mapind...
Subscribe to:
Posts (Atom)