mke mkubwa wa mshambualiaji nyota mwenye jezi namba tisa mgongoni wa ipp media maulidi baraka wa kitenge eshe muhidin (kulia) akiwa amepozi na mke mwenzie mpya siku ya harusi majuzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 88 mpaka sasa

  1. oooooh my gosh this is a little bit hard to me but inanikumbusha kitambo kidogo a was almost kuwa kwenye hiyo line ya kuwekewa wake wenza am still strugling on that situation,,now better kufa instead of kuwa na mke mwenza,,,,jamani roho moja penzi moja wake wawili tangu lini ni kuibiana huko,,wanaume jaribuni kuwa wa kweli kiaina,,,,kinadada hapo juu kwenye picha na watakia life njema though najua manweza anza vizuri but letter on ikawa mess,,,mh

    ReplyDelete
  2. Nashangaa sana hivi huyu Maulidi Kitenge ni nani? Mtoto mdogo anakimbilia kuoa wanawake wengi. Nashangaa sana naona hii waungwana inabidi tuijadili.

    ReplyDelete
  3. we rehema utaolewa mara ngapi, au hizo hela za UN zinakusumbua

    ReplyDelete
  4. i do believe that its high time that we have bongo radical feminist to challenge michuzi for posting such a obscene comment. isn't this a better media to stress on family values and not applauding polygamists. I'm no a true believer of this and i fucking feal sick.

    ReplyDelete
  5. Kitenge anapenda mianya!!!

    ReplyDelete
  6. uume mmoja wake wawili watu wengine wana mambo ya mwaka 47 !!!

    ReplyDelete
  7. maulidi Nyama ile ile tuu hata uende pucha hamsini,utamu utakushinda mara damu itakapokauka kwenye nyama,hivyo baba jitayarishe kwa Ukimwi au ugomvi kwa ndoa za mitala hizo.

    Kumbuka kitu kimoja hata Huo uislam unaoukimbia kama sheria sheria zlizowekwa katika kutimiza hilo hakuna mwanaume wa dunia ya sasa anaweza kufanya hivyo.

    Hakuna penzi linaweza kugawika hivyo tuu NI UROHO WAKO WA KUTOFUNGA ZIPU YA SURUALI KAKA,UTALIJUA JIJI SS NA MATAA YAK|E COYBOY

    ReplyDelete
  8. Jamaa naona anapenda kweli mademu wenye mianya. naona totoz (mamaz) zote mbili zina mwanya!

    ReplyDelete
  9. Mbona sielewi?. Ina maana hawa wanawake wanashea mwanaume mmoja? Mbona wanaume wengi wamejaa mtaani, kwanini wanamg'ang'ania mmoja huyo?

    ReplyDelete
  10. Sishangai sana, inaonekana hiyo ngoma ya kwanza aliichukua kabla mambo yake hayajakaa sawa,ilikua ni mke tu for the sake of mke, si mnamuona alivochoka-unaweza kudhani ni mamake mzazi. Huo usajili wake mpya unaridhisha japokuwa huwezi sema ni 'breath-taking'.Ndio maisha yetu ya bongo,nina hakika hata wazungu wanatuonea wivu sana na haka ka utaratibu,who wants all the hussles of going through divorce while you can keepm them all?

    ReplyDelete
  11. Mimi naungana na anonymous wa Thursday, January 25, 2007 3:05:57 AM. Sababu sijui kama pendo linagawanyika na hao wananawake ni wanafanya unafiki tu, mi siwezi kukaa na msichana wa mume wangu kihivyo never.Hakuna mwanamke au mwanaume anayependa kushare na kumbukeni binadamu ni binadamu. sheria za kiislam zinawanyima wanawake haki zao. Hivi kweli hata wewe mwanaume utakubali kukaa na mume mwenzio hivyooo? Unyanyasaji huo siutaki kabisaaa. ndoa ya mashaka mashaka hapana!

    ReplyDelete
  12. Kitenge, umeoa au umeolewa? unajidhalilisha na wanaume wenzako unawadhalilisha, bora angekuwa hawara tena kwa siri. POLE

    ReplyDelete
  13. Kwahela gani za uongeza wake?

    ReplyDelete
  14. dU!! eBWANAEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE. Bado kuna watu wankubali kuwa wake wenza. Hukuna Uislamu wala nini jamaa ni fuska tu

    ReplyDelete
  15. namwambia huyo asiyejua lolote kusuhu elimu ya dini ya kiislamu, asikurupuke na kusema kuwa UISLAMU Unawanyima HAKI ZAO WANAWAKE. asiyachukue mambo ya baadhi ya watu wachache wasiojua misingi ya dini na kui-mislead.USIPENDE KUWAHI DOGO

    ReplyDelete
  16. Hapa tunamashaka,hivi ndivyo bongo ukipata kajina tu.Unataka kuwakusanya wote kisha kuita makamera ili kuwakonga nyoyo watu kuwa wanapendana unaona wamepiga picha pamoja.Hii noma.Labda niulize kwa hiyo itakuwa zamu au.Tuyaache haya mambo tunadhalilishana jamini HAIJATULIA HII

    ReplyDelete
  17. Narudia tena waungwana, simshambulii Mwana wa kitenge wala kusema lolote juu ya sheria ya uislam kumruhusu mwanamme aongeze mke, hapa naongelea hali harisi.....tuache mambo ya kizamani, let us think for future unazaa watoto wengi je una raslimali za kuwajengea watoto maisha ya baadaye? utawapeleka shule za maana? hata kama unapesa utitiri, je watoto watakuwa na FURAHA, UPENDO NA UDUGU ndani ya familia.....Khaaaaa Khaaa HAMKA WANAUME, THINK TWICE....mtajiju kwa hili

    ReplyDelete
  18. Swali: Je mmoja akiwa na hamu na ni zamu ya mwingine akiamua kutoka nje utafanyaje?

    Swali: Kwa kazi ya uandishi wa habari tena wa njaa wa kibongo wa kusubiri kupata hela kwa kuzunguka sana utauweza huo mzigo? Ushukuru rehema anafanya kazi UN zaidi ya hapo huna lolote mfukoni

    Swali: Mtakaa wote nyumba moja? Inavyoonyesha hao wanacheka kwa sasa ila kila mmoja ana lake moyoni, mkishaanza maisha ya watoto, ada za watoto, kazi za nyumba, mapato........hakutakuwa na vicheko hivyo

    Swali: mbona wanaonekana kukuzidi umri wewe kijana mdogo? Au ndiyo ma shugamami wako hao? Kijana unapenda kutunzwa?

    Swali: Usije ukafikiri kutakuwa na uaminifu hapo kwenye hiyo triangle uliounda kijana. Hiyo triangle inatoa nafasi kwa mengi kufanyika, leo ni wewe kesho ni mwingine, huna stamina yoyote hata kama unajiita nambari 9 unless you plan to do a threesome inasikitisha, what are your sexual plans so far?

    ReplyDelete
  19. we kitenge na eshe mmekula dili tu hapo mumchune huyo rehema kwani yupo UN.

    we kitenge nawe umezidi kupenda mimama wanakuzaa hao. kwa nini hutafuti watoto wenzio? unataka kulelewa tu kwani hao wanakuzidi kwa fedha.

    mama ney

    ReplyDelete
  20. Du, msomaji/mtazamaji, hebu jaribu kupenya kwenye vichwa vya mimama hii. Yule wa kulia anawaza hivi: We si unajifanya kumendea vya wenzako, si unadhani kuwa kila king'aracho ni dhahabu, si unadhani kuwa kila kinachoelea hakikuundwa, basi we ngoja, ntakufanya kitu mbaya siku moja mpaka ujute kuzaliwa.

    Wa kushoto anawaza hivi: tutabanana humuhumu, iweje ufaidi pekeyako, kwanza kwa kuwa naingia RASMI basi lazima nikutoe nibaki peke yangu, hii ndio hatua ya kwanza, utaipata.

    Mmh!! Hii kali. Kupenda au tamaa ya ngono? Lakini mheshimiwa Maulid, bado unayo nafasi ya kuongeza wengine wawili, maana mwisho wanne ati.

    ReplyDelete
  21. hata kabla sijafikiria wake wawili sijui watatu yaani huyu kitenge mwenyewe hata kwenye kiganja hajai kwenda kujizolea mimama hiyo wakati kuna vitu vya nguvu sifa nzuri wewe maulidi kumbne mshamba kweli kweli pole sana kama wanawake gani hao???????????? ahhhhh.

    ReplyDelete
  22. HEY!!!!
    MSIDANGANYIKE, HII MICHUZI AMEWACHOMEKEA. NINAVYOFIKIRI MIMI HAWA NI SISTERS AU WANA UHUSIANO FULANI. SIDHANI KAMA HII INAWEZEKANA LABDA MICHUZI MWENYEWE ATUHAKIKISHIE AU MR KITENGE MWENYEWE. TO ME THEY LOOK SISTERS.

    ReplyDelete
  23. Kitenga unataka kuwa King MSWATI wa bongo? mie naona bora ungemfanya rehema nyumba ndogo kuliko kuji-commit ndoa ya pili. Sawa dini yako inaruhus lakini ndoa mbili miaka hiiiii? N'way, jirani kanimegea umbea sasa ivi kuwa rehema ana feza ya kutosha. Nawatakia ndoa yenye baraka za Mungu tele mjaliwe watoto wa kiume na wa kike na nyumba yenu ikajazwe amani mtokapo na muingiapo. Msisahau Ibada. Nanyori.

    ReplyDelete
  24. Huko ni kuchafua CV yako tu.Huyo aliyekubali sasa alikosa mwanaume au MBONA MIE NIKO DESPARATOO KINOMA.HALAFU NA MAVUMBA YA KUMWAGA.AU MZEE KAONA HAPO PYAPYA KUNA CHOCHOTE TU,MAANA hata GADNA Wa LADY JD ALIKIMBIA MKE MWANZA NA KUFUATA PRADO.

    ReplyDelete
  25. Kitenge "baba"!!!!, mdogo wangu Kitenge, Kitenge wa Kigoma, Kitenge wa ITVWII, No, no, Kitenge wa Rwadio Wani, Haya weeeee, kamua baba. Jamaa wanasema ondoa hofu. siyo kwamba wanakuombea dua mbaya lakini kwa style ya maisha ya sasa! this is a big match. lakini utafanyaje mdogo wangu. kama kuingia umeshaingiamo na huda budi kukaza buti na kulicheza goma noting that majibu yaweza yatoke au yasitoke na hukumu yako yaweza ije au itakuja baadaaaaaaaae utakapostuka kuwa hukusoma majira ya nukta vizuri. hata hivyo itakuwa noma na hiyo namba 9 yako tutakaposoma "wake wa mshambuliaji machachari watwangana makonde live". Penzi Bwana!! yote kwa yote, you are still a young boy to have two wives bwana. na umeudhihilishia ulimwengu kuwa huna mapenzi ya kweli (notwithstanding hiyo dini yako). SASA, tusiskie kuwa umetoa taraka kwa ....... just bse watu wamesema sana kwenye blog. OK Kitenge???? Say YES

    ReplyDelete
  26. Nakufagilia mwanangu Kitenge kweli wewe ni mshambuliaji gharama kabisa wembe ni huohuo na huyo akichemsha leta mwingine hadi wafike wanne kama dini yetu inavyoruhusu na hiyo inaonyesha kuwa wewe ni mwanaume Rijali

    ReplyDelete
  27. Watatu mwanya unakuja, Tena sio unakuja upo CHUNGENI SANA WAKE WENZA. sasa penzi liko kwake mtajiju

    ReplyDelete
  28. Kwahela haina usumbufu, kumbuka kwamba mapenzi si pesa.

    ReplyDelete
  29. Anony wa Thursday, January 25, 2007 7:47:59 AM umenichekesha sana unavyosisitiza. Ila mmh nimeamini wahenga walisema DON'T JUDGE A BOOK BY ITS COVER. The way ninavyomwona Maulid Kitenge sikujua an matatizo ya kichwa.

    ReplyDelete
  30. Jambo umri ni Namba huyu mke wa kwanza niliwahi kumuona Tanga akiwa mwakilishi wa Radio TZ kule na ninavyomfahamu Kitenge, Huyu Dada ni mkubwa saana kwake. Mambo ya kutokujali umri tuwaachie wazungu. Na huyu alieongeza nae kama kaenda chumvi. Usije ukajikuta unaongeza mwingine tena na kuacha na kuongeza

    ReplyDelete
  31. jamani tusidanganyane hakuna mapenzi hapo.mimi ni mwanake and i have been there.hakuna mapenzi ya wawili,may be huto kitenge ana sababu ingine ya kuoa mke mwingine.hakuna true love bwana.raha ya ndoa kuwe na mapenzi ya kweli na si kwa ajili ya kitu!hao wadada hapo ni wanafaiki tuu kila mmoja rohoni ana lake hamna mapenzi na hata baadae maelewano hayatakuwepo hapo ni 100%.huty kitenge nae kubwe mswahili sana.baba shule vipi hapo?

    ReplyDelete
  32. Pamoja na maoni au misimamo ya kuuga au kukosoa maamuzi ya wanandoa, kikubwa ni kutambua kuwa tuheshimu matakwa ya hawa wana ndoa wote na kutambua kuwa 'kipenda roho hula nyama mbichi' Hivyo ukewenza au wake zaidi ya mmoja ni mojawapo ya utamaduni na ustaarabu wetu wa karne nyingi na tusiuonee haya. Hivyo Bw.Kitenge na wake zako tunawatakia maisha mema na ya furaha.

    ReplyDelete
  33. kweli nimeamini akili za shule zinachangia kufanya maamuzi ya maana kumbe ndio maana Maulidi Kitenge alifeli pale alharamain. Watu wanachukulia kujulikana kama sababu lol! Watu wapo kweli na mambo ya miaka 47. Maisha yenyewe haya watu baada ya kuplan maendeleo mtu anaangalia kuongeza wake si afadhali angeondoka basi kwenye ile nyumba ya kupanga akaangaika akapata nyumba yake anaongeza mizigo 2.

    ReplyDelete
  34. Kwa kweli Mshikaji Kachemsha sana Usawa Huu kuoa wake wawili ni Noma sana Viko vitu vya Kushare lakini sio Mapenz!Any way Hatuwezi kusema sana Ukweli wa maisha yao wanaujua wenyewe inawezekana kabisa huyu Mke wake wa Kwanza ana tatizo la kiufundi na la msingi kabisa na ndio maana yuko Happy na Mke mwenza.What we Can Say All the Best for them.

    ReplyDelete
  35. Naona aslimia kubwa wamemtupia lawama Ndg Kitenge kwa kuongeza mke wa pili,sijui pilipili wasioila ina waashia nini?weneywe wake wenza wameridhika wamepiga picha pamoja wamefurahi.Au mnataka kitenge awe na vimada kibao?Unaweza kuta mtu ana mke mmoja lakini ana viamda 10 hiyo sawa ila kuwa na mke na wa pili ana dhalilisha wanawake.Je mnaweza jua sababu zilizo mfanya aoe mke wa pili?Labda mke wa kwanza ni mgumba hazai?Au sababu nyingi anazo jua mwenyewe Ndg Kitenge.

    Hivi Tunajua katika sensa ya mwaka 2002 inaonyesha wanawake ni wengi Tanzania kuliko wananume?Kuna wanawake milioni moja zaidi kuliko wanaume,ina maana kila mwanaume akioa mke moja basi wanawake milioni moja watakosa waume,hao mnataka nani awaoe?Au mnataka wawe vimada waeneze ukimwi??

    Hongera sana Ndg Kitenge nakutakia kila la kheri pamoja na familia yako!

    ReplyDelete
  36. Perhaps the aspect of Islam in respect of women which is most prominent in the Western mind is that of polygamy. Firstly let me clarify that Islam does not impose polygamy as a universal practice. The Prophet himself was a monogamist for the greater part of his married life, from the age of twenty-five when he married Khadija until he was fifty when she died.

    One should therefore regard monogamy as the norm and polygamy as the exception.

    One may observe that, although it has been abused in some times and some places, polygamy has under certain circumstances a valuable function. In some situations it may be considered as the lesser of two evils, and in other situations it may even be positively beneficial arrangement.

    The most obvious example of this occurs in times of war when there are inevitably large numbers of widows and girls whose fiancées and husbands have been killed in the fighting. One has only to recall the figures of the dead in the first and second world wars to be aware that literally millions of women and girls lost their husbands and fiancées and were left alone without any income or care or protection for themselves or their children. If it is still maintained that under these circumstances a man may marry only one wife, what options are left to the millions of other women who have no hope of getting a husband? Their choice, bluntly stated , is between a chaste and childless old maidenhood, or becoming somebody's mistress, that is an unofficial second wife with no legal rights for herself or for her children. Most women would not welcome either of these since most women have always wanted and still do want the security of a legal husband and family.

    The compromise therefore is for women under these circumstances to face that if given the alternative many of them would rather share a husband than have none at all. And there is no doubt that it is easier to share a husband when it is an established and publicly recognized practice than when it is carried on secretly along with attempts to deceive the first wife.

    And it is no secret that polygamy of a sort is widely carried on in Europe and America. The difference is that while the Western man has no legal obligations to his second, third or fourth mistresses and their children, the Muslim husband has complete legal obligations towards his second, third or fourth wife and their children.

    There may be other circumstances unrelated to war--individual circumstances, where marriage to more than one wife may be preferable to other available alternatives--for example where the first wife is chronically sick or disabled. There are of course some husbands who can manage this situation, but no one would deny its potential hazards. A second marriage in some cases could be a solution acceptable to all three parties.

    Again there are cases in which a wife is unable to have children, while the husband very much wants them. Under Western laws a man must either accept his wife's childlessness if he can, or if he cannot he must find a means of divorce in order to marry again. This could be avoided in some cases if the parties agreed on a second marriage.

    There are other cases where a marriage has not been very successful and the husband loves another woman. This situation is so familiar that it is known as the Eternal Triangle, Under Western laws the husband cannot marry the second woman without divorcing the first one. But the first wife may not wish to be divorced. She may no longer love her husband, but she may still respect him and wish to stay with him for the security of marriage, for herself and their children. Similarly the second woman may not wish to break up the man's first family. There are certain cases such as this where both women could accept a polygamous marriage rather than face divorce on the one hand or an extra-marital affair on the other.

    I have mentioned some of these examples because to the majority of Westerners polygamy is only thought of in the context of a harem of glamorous young girls, not as a possible solution to some of the problems of Western society itself. I have given some time to it not in order to advocate its indiscriminate use, but in an attempt to show that it is a practice not to be condemned without thinking of its uses and possible benefits in any community.

    ReplyDelete
  37. Na wewe anonymous wa hapo juu unampongeza nini kitenge, kwani huo huo ukimwi hauwezi kumpata kwa kuoa wake wawili? mpaka hapo ameonyesha hana uaminifu kwa mke wa kwanza. hata kama huyo mke wa kwanza alikuwa hazai basi ndio mpaka akalete mwingine ili azae je na huyo asipo zaa inakuwaje ataleta mwingine tena mbona watoto yatima wapo kibao wanatafuta wazazi.ni mroho tu huyu Kitenge.

    ReplyDelete
  38. Mwanya watatu unakuja au umeshakuja, halafu jamaa ndio hasikii wala haambiwi kwa huo mwanya watatu. anasema anamsaidia mke mdogo maana nasikia hakai hapa

    ReplyDelete
  39. Kitenge anapenda wanawake wenye mwanya na waliojazia kama mimi.

    ReplyDelete
  40. hongera maulid kwa kuoa mke wa pili.Nakuombea kwa Mwenyezi Mungu awajaalie kheri ktk maisha yenu.Usisikilize watu wanaokupinga.Nadhani wana chuk zao binafsi dhidi yako au dini yako kama maoni yao hapo juu yanavyoonyesha.Wengi wao hao wanajifanya mke au mume mmoja ila vimada na mabuzi nje kibao.Na kama mambo yatakuwa sio mazuri kimahusiano unaweza kuongeza kwani still yo have two more chances. Dini inaruhusu sasa kwanini ujifiche? Uislamu ni uleule kwa miaka zaidi ya 1350 sasa na hautabadilika,hao vijino pembe wanasema eti ni mambo ya mwaka 1947! Acheni chuki dhidi ya maisha ya watu wengine.Kama vp kila mtu hapa atoe picha yake ktk hii blogu na atuambie kuwa ana mke/mume mmoja tu bila kimada au buzi,kama hatutamuumbua mchana kweupe.ALL THE BEST MAULID BARAKA WA KITENGE WITH YOUR WIVES.

    ReplyDelete
  41. hongera maulid kwa kuoa mke wa pili.Nakuombea kwa Mwenyezi Mungu awajaalie kheri ktk maisha yenu.Usisikilize watu wanaokupinga.Nadhani wana chuk zao binafsi dhidi yako au dini yako kama maoni yao hapo juu yanavyoonyesha.Wengi wao hao wanajifanya mke au mume mmoja ila vimada na mabuzi nje kibao.Na kama mambo yatakuwa sio mazuri kimahusiano unaweza kuongeza kwani still yo have two more chances. Dini inaruhusu sasa kwanini ujifiche? Uislamu ni uleule kwa miaka zaidi ya 1350 sasa na hautabadilika,hao vijino pembe wanasema eti ni mambo ya mwaka 1947! Acheni chuki dhidi ya maisha ya watu wengine.Kama vp kila mtu hapa atoe picha yake ktk hii blogu na atuambie kuwa ana mke/mume mmoja tu bila kimada au buzi,kama hatutamuumbua mchana kweupe.ALL THE BEST MAULID BARAKA WA KITENGE WITH YOUR WIVES.

    ReplyDelete
  42. hongera maulid kwa kuoa mke wa pili.Nakuombea kwa Mwenyezi Mungu awajaalie kheri ktk maisha yenu.Usisikilize watu wanaokupinga.Nadhani wana chuk zao binafsi dhidi yako au dini yako kama maoni yao hapo juu yanavyoonyesha.Wengi wao hao wanajifanya mke au mume mmoja ila vimada na mabuzi nje kibao.Na kama mambo yatakuwa sio mazuri kimahusiano unaweza kuongeza kwani still yo have two more chances. Dini inaruhusu sasa kwanini ujifiche? Uislamu ni uleule kwa miaka zaidi ya 1350 sasa na hautabadilika,hao vijino pembe wanasema eti ni mambo ya mwaka 1947! Acheni chuki dhidi ya maisha ya watu wengine.Kama vp kila mtu hapa atoe picha yake ktk hii blogu na atuambie kuwa ana mke/mume mmoja tu bila kimada au buzi,kama hatutamuumbua mchana kweupe.ALL THE BEST MAULID BARAKA WA KITENGE WITH YOUR WIVES.

    ReplyDelete
  43. Bi. Mdogo usidanganyike kuwa Bi. Mkubwa anakupenda kwa kukumbatia. hayo tulishayaona kwa watu wengine-'macho yanacheka,moyo unaliya' wakubwa waliyasema. Penzi haligawanyiki ila nawatakia KHERI katika maisha yenu, kikubwa ni kuanzisha mkakati wa mazungumzo kunapotokea mtafaruku ili kuzuia mpasuko wa hali ya ndoa yenu ya ukewenza.

    ReplyDelete
  44. Shuga mamiii, mama kubwaaa! duh! Maulidi wa kitenge ni nona! aisee aibu sana!!lol! umekosa saizi yako mpaka utafute hawa shuga mamii?? duh! kweli huna mshipa wa noma! na hawa mashuga mami wenyewe hata aibu hawana!!??lol!!

    ReplyDelete
  45. We mke mdogo usubiri kuletewa na wewe mwenzio, ili uone raha yake!

    ReplyDelete
  46. PAKAMCHESHI stick na kuuandika kiswahili kwani Grammar na Spelling zako zinasikitisha sana.

    Anyway, Mchuzi asante sana kwa kupost hizo Picha za Harusi. Na kwa aliye uliza Rehema Utaolewa mara ngapi au hizo Hela za UN zinakusumbua?, well since she is my Aunt, I will answer that for her. Hii ni arusi yake ya pili. Having said that, Hata kama ingekuwa ya nne sizani kama kuna tatizo lolote. Its a free world.
    Na pili umesema pesa za UN zinamsumbua? What money got to do with it?

    ReplyDelete
  47. Maulidi ndugu yangu hongera kwa kudumisha na kutekeleza fantacy zetu wanaume.....yaani kuwa na wanawake zaidi ya mmoja. Hapo mzee Maulidi ningeshauri kuingia nao kitandani wote wawili, mambo ya managetoi......hahahaha! Enjoy kaka

    ReplyDelete
  48. Hongera sana kaka Maulid, usisikilize fitna za watu. Wapo wanaume wengi wanaotamani kufanya ulichokifanya, na ili ufaidi zaidi ningeshauri uingie nao wote wawili kitandani......mambo ya managetoi, hahahahaha. Enjoy kaka!

    ReplyDelete
  49. Hivi huyu anonymous wa Thursday, January 25, 2007 2:54:57 PM ana akili kweli? mwambie ukweli mwenzio amechemsha. Sababu kwanza lazima ujue kuwa mke wa kwanza wa kitenge anaye mtoto wa kike. Pili una uhakika gani kama wale wakewenza wanatoa cheko za moyoni, Ni cheko za unafiki tu watashareje uume bwana? We mwambie mwenzio ukweli kijana mdogo kama yeye aoe mke wa pili hataa? Pili pili ya shamba inatuwasha sababu Kitenge ni mtanzania mwenzetu. Pole kitenge. Ila labda anataka kupata kaunafuu ka maisha ziwezi jua.Anyway Hooongera????

    ReplyDelete
  50. xbufdwfsisi waislam kweli bado tuna mambo ya zamani tuendeni na wakati jamani hawa christian lini tutawafikia we need to wakeup ndugu zangu.

    ReplyDelete
  51. Ati Eshe anaonekana mzee? u guys, what has that got to do with anything? wajua angelikua likijana lingine lingemuacha mke wa kwanza na kumwoa wa pili. issues za watoto kukosa penzi la baba n.k. Maulidi kweli anawapenda wake wote wawili - na kwa hilo yeye ni MWANAUME and a decent being. hata kwa wanaume kuoa mke wa pili si kitu kirahisi - wanawake tunakera jamani! ati kajiongezea kero - acheni wadau, huyo jamaa anawapenda na naona mnawaonea wote wivu. wenyewe walaa!!! wako gado. mlie tuu, viroho juu juu. shit!

    ReplyDelete
  52. waambieni wote hao, kitenge, mke 1 na mke 2 wasikilize wimbo wa Dar intenational by The late Marijani shaaban (Jabali la muziki) Uke wenza. upo kwenye web site ya www.mahusiano.com zilipendwa.

    ReplyDelete
  53. Huu upumbavu inabidi Watanzania tupiganie sheria iukataze,tabia ya kuoa mke zaidi ya mmoja kimsingi ni maadili ya binadamu wasio na fikra na mawazo yaliyopevuka.Sielewi wanawake wanaojiruhusu kudhalilishwa namna hii wanapata faida gani,anyway kwa kawaida hakuna mwanamke mwenye upeo mkubwa anayekubali kuchangia mume duniani na wanaume halisi huwa wakiamua kuoa wanaoa mwanamke mmoja tu.

    ReplyDelete
  54. MIMI NASHINDWA KUELEWA MNASHINDWA KUELEWA KUWA KITENGE AMELENGA HAPO. HUYO MKE 'MPYA' ANA KAZI NZURI NA MSHIKO WA NGUVU.

    ReplyDelete
  55. mwacheni Maulid wa Kitenge kapendeza na wake zake huo ni wivu tu!

    ReplyDelete
  56. hongereni sana na nakutakiyeni kila la kheri na barka tele katika uke wenza wenu msisikiye ya wana comment wengi wao si dini yao ndo maana na usisikiye aise wenginewe walio olewa na waume mmoja mmoja basi mashaka matupu waume wao vipara moto toka lini wasio waislamu wakawa washauri wa dini ya kiislamu hata wanajua haki zetu,usisikiye uislamu ukifuata vizuri basi unamtetea mwanamke, wanajua hiyo kwamba mwanamke mali yake, pesa zake hazistahili kuguswa na mume mpaka yeye mwenyewe mke atae ezini(amruhusu), mahari ya mkee anaka nayo mwenyewe, wanajua hili kama mke hataki kufanya kazi silazima kulazimiswa kufanya kazi ni kwamba ukiwaona waislamu hawafuati madili yao ni wao wenyewe lakidi dini ya kiislamu kabisa hamzalilishi mwanamkee ila mila na utamaduni na desturi ya huyo bwana ndo inamzalilisha na katika dunia ya sasa, wacheni domo kaya kuwakandia wenzenu wakati wengi wenu hamna waume na nyege zenu zikikushikeni mnaenda kukamatia huko au kujitia vidole na kujichezea chezea...kitenge hakufanya kosa lolote kama mnamtaka basi kamfuateni pili pili inakuwasheni ya nini wakati mke wa kwanza karidhia mwenyewe au kakutumeni mtoea comment za pumba hapa...hiyo haki ya mwanamke duniani iko wapi, marekani wanawake wanafanya kazi hadi jasho la mdundu linawatoka na wanaume hata wana wa mind na heshima iko wapi hivi dada zetu na mama zetu wakikaa uchi na viguu vya ajabu ajabu basi anaonekana bomba anaye kisitiri nakuvaa kiheshima na kutaka kuolewa hadi wa pili basi huyo anazalilishwa, wapi wewe kila mtu ana dini yake , mila zake na utaduni wake, uangaliye vizuri uislamu halafu mbwabwaje sawa wanaoufuata kwa kweli ndani ya miyoyo yao basi uislamu unamtukuza sana tena sana mwanamke kuliko chochote si ndo hao wamisheni na zeru ndo wanao taka kila leo kuharibu uislamu lakin hawatoweza eti kwa kisingizio waislamu wanawake wanaonewa mara hawana democrasia mara hivi mara vile, wacheni hizo shikeni yakwenu na myatatuye yanayokuhusuni na mnayo mengi tuu kuliko kuleta pumba zenu hapa kila mtu na maisha yake na kila la kheri na baraka tela nawatakiya wake zake wote kitenge na kama mnamtaka kitenge kamfuateni sawa au kama mnamtaka mkewe mmoja sema nao sawa, wasengi msiojiweza nyinyi

    ReplyDelete
  57. Haya mambo mengine yanatakiwa kuzungumzwa kwa upana zaidi. Huu ustadi wa kuwa na mke zaidi ya mmoja ni kwa raha gani unazozihitaji? Si vibaya lakini haka ka tabia kaangaliwa upya akina baba na akina mama kwa pamoja!!! Ina maana kaka Michu takwimu za bongo wanaume wachache kulinganisha na akina mama? Kama hivyo ndivyo basi pana ukweli kwamba kila mume kashika zaidi ya mmoja.. ni wachache kama huyu mheshimiwa kujitoa barazni peupee tukawaona.. Shime dada zetu na kazi kubwa mama zetu

    ReplyDelete
  58. hawa wanawake wanaonekana tu IQ zao very low..jesus help us!

    ReplyDelete
  59. wee anony wa Thursday, January 25, 2007 2:54:57 PM umesema eti kuna waliooa mke 1 na wana vimada kumi hata hao waislam wanaooa wake 4 still vimada vimejaa nje bora lipi? waislam wamepitwa na wakati bwana amkeni hukooo hellaa hamna mnaangaika kuiga waarabu kila kitu, wenzenu wanawake hawatoi mguu nje ya mlango achilia geti huku eti ndio unafurahia kila mke atatake care watoto wake na mwisho wa siku unategemea hao watoto 30 au 40 waje wakutunze WEWE BOSI!!! MTAPONA UKIMWI SAA NGAPI?

    ReplyDelete
  60. Mimi ni Muislamu mzuri sana lakini hata siku moja siwezi kuoa wanawake wawili. Haya mambo ya kuoa wanawake wawili jamani yamepitwa na wakati hata kama yaliandikwa na kuruhusiwa kwenye Qur'an tukufu. Huyu Maulid Kitenge amechemsha vibaya sana. Dunia ya leo ndugu yangu bado uko na wanawake wawili?? Pole sana.

    ReplyDelete
  61. wanawake wabayaaaaaaaaa!!! huyo bi mkb kicheko cha kulazimisha tuu huyo ni bi hindu type bi mdg unayejiita utakoma.

    ReplyDelete
  62. NA UKIMWI HUU???????????POLENI SANA NYIE KINA DADA.NINGEPENDA KUWAAMBIA KUWA HAMNA SURA MBAYA KIASI CHA KUKOSA MUME WA MAANA KILA MMOJA WENU.WANAWAKE TUJIKOMBOE.

    ReplyDelete
  63. we kitenge uwape dozi hao mara tatu kwa week si utateguka kiuno we vipi mtume aliruhusu kuoa zaidi ya mmoja enzi za zama za mawe ili kuokoa wajane ambao waume zao walikufa vitani,ebo!UNATIA KINYAA SIPATI PICHA KILA NIGHT WEWE UNAKULA CHUMVI TU,MAANA HIO MIMAMA UMEKIRI UTAITOSHELEZA BORA UNGEFANYA NYUMBA NDOGO UNAKUTANA NAE KWA HAMU TU.KING'ASTI WEEE!!!UMENIUZI

    ReplyDelete
  64. we kitenge kwa pesa gani,rais tu hajaoa mke wa pili sembuse wewe!!!

    ReplyDelete
  65. jamani utakuta kapewa masharti kwa mganga maana wanaume wa kitz nao wanga sana siku hizi

    ReplyDelete
  66. MIMI NAJUA KILICHOMCHANGANYA KITENGE, NI HUO MWANYA WA BI MDOGO.WABONGO KWA MIANYA

    ReplyDelete
  67. Jamani dunia ya leo kuhangaika. Huyu Kitenge 'amelenga' hapo sasa nyie mtapiga kelele hadi kesho. Kamuoa kwa sababu demu ana hela. Hii itasadia familia yake. Kwa hiyo kama demu ameamua kuolewa sioni lawama mnamtupia buree Kitenge.

    ReplyDelete
  68. Tusidanganyane jamani.Wanaume wengi wenye waume wanakuwa na nyumba ndogo.Sasa hii huwa ni kinyume na mila zetu. Sasa inakuwaje Kitenge kafanya jambo la halali kabisa ikawa mnaona gere. Mie naona tuige mfano wake. Kwanza kuna kina wanadada wengi ambao hawana waume. Mnaonaje wanaume tukafanya mkakati wa kumuiga Kitenge. Michuzi hebu anza wewe.Ukifanya na mie niko nyuma yako.

    ReplyDelete
  69. "But the Jews will not be pleased with thee, neither the Christians, until thou follow their religion; say, The direction of Allah is the true direction. And verily if thou follow their desires, after the knowledge which hath been given thee, thou shalt find no patron or protector against Allah." (Qur'an, Surat Baqarah:120). Kaka Kitenge fuata moyo wako na mfuate Mungu wako achana na maneno ya walimwengu.Kama ungeamua kua na kimada nje hakuna ambae angekupinga hapa kwasababu ni mila yao ila kwasababu umefanya kitu cha kiislamu basi kwao ni kero kwao na "hawatokuridhia hadi umefuata mila zao".Mwenyezi Mungu alieruhusu hata manabii kuoa mke zaidi ya mmoja hakuwa kutengua option hiyo na hakuna hata nabii alietengua,ingawa watamsingizia nabii wa pili toka mwisho ila yeye hakuja kutengua maandiko ila kuyatimiliza. Dini yako inakuruhusu basi wewe songa na maisha yako.Hivi UKIMWI unaupata kwa kuwa na wake wawili au kutokuwa na uaminifu ktk ndoa? Nchi za uarabuni wanaoa wake wengi wengi ila hakuna UKIMWI kama Afrika, Ulaya na Marekani.Maulid nakupongeza kwa kuoa kwa ridhaa ya mke mkubwa kama dini yako inavyokuambia tofauti na waislamu-wanaume wengine wanavyofanya;BIG UP.DUMISHA UMOJA KTK NDOA ZAKO NA MKIFARAKANA MTAWAPA HAWA VISHANKUNAKU KITU CHA KUONGEA,NA HUENDA THEY ARE BEHIND YOU NOW,WATCH YOUR STEPS WITH EXTRA-CAREFULNESS.MAY GOD BLESS YOU AND YOUR WIVES AND CHILDREN AND DEFEAT ALL YOUR ENEMIES...AMEEN!

    ReplyDelete
  70. Wanaoa wake wengi siyo waislamu tu (pamoja na kwamba uislamu unaruhusu mpaka wake wanne) Hata wakristo kibao wana wake zaidi ya mmoja, mfano ni Reginald Mengi.

    Jamani kipenda roho hula nyama mbichi, jamaa anapenda wanawake wakubwa badala wa wale waliokondeana kama hawali. Wanawake wakubwa akiwa na tako ni tako kweli akiwa na ziwa ni ziwa kweli unaweza hata ukafanya mto.

    Kuhusu kuwatosheleza chumbani, wanaweza kufanya tag team ya mtu tatu FFM badala mtu bee FM, hayo ndiyo maraha ya siku hizi.

    Mwacheni ajidai na wake zake, hajaja kumbomu mtu yeyote ili awalishe wake zake sasa tatizo nini? Pili pili ziko shamba.....

    ReplyDelete
  71. Haya mlalahoi anawaletea takwimu, waliochangia mpaka sasa ni 37.
    Wanakubali/kumpongeza Maulizi wazo la kuoa ni kura 3(asilimia 8.1), wanakataa katakata kuonyesha maulidi kachemsha ni kura 30( asilimia 81.1) vigeugeu na wasio na msimamo ni kura 2( asilimia 5.4) na kura iliyoharibika ni kura 2 (asilimia 5.4)...

    Sasa jadili wenyewe mie kazi yangu kuleta takwimu sahihi

    ReplyDelete
  72. Mimi binafsi simlaumu huyu bwana kwa kuoa au wake wawili ila nalaumu sheria za nchi yetu kwa kukuruhusu hivi vitendo vinavyomzalilisha mwanamke . Mimi najiuliza swali moja tuu kwa nini mwananume ndio aruhusiwe kuoa wanawake wengi na wakati huo huo mwanamke aruhusiwi kuoa wanaume wengi ....Huu ni unyanyasaji wa kijinsia suala ambalo tunatakiwa kulipiga vita kwa nguvu zetu hata kama itaonekana ni kuingilia uhuru wa dini fulani .

    ReplyDelete
  73. Hapo kijana maulidi kula three some hadi ukonde!
    Ila subiri wake zako kuanza kuchawiana tu!
    maana sidhani kama peace itakuwepo siku zote!

    ReplyDelete
  74. This is a quote from - http://www.context.org/ICLIB/IC10/Anapol.htm - by Deborah Anapol

    "Monogamy for me had been an uncomfortable either/or balancing act - freedom or intimacy, flexibility or loyalty, change or commitment. Polygamy had given me a framework for how to integrate these polarities in a responsible way. Stability and excitement. Security and freedom. Intimacy and inclusiveness. Depth and diversity."

    Sasa bandeko nangai hii ni experience ya Mama sijui huyu baba atatuambia nini!!!

    ReplyDelete
  75. JAMANI MIMI NAULIZA. KIDINI HIVI HUYU JAMAA ANATAKIWA KULALA NAO PAMOJA KITANDANI AU MBALIMBALI?? JE ANATAKIWA AKAE NAO NYUMBA MOJA AU KILA MMOJA ANAWEZA KAA KWAKE? MAANA KAMA WANAKAA MBALIMBALI HATA AKICHELEWA NYUMBANI KOTE ANAWEZA SEMA 'NIKO HUKU'.

    ReplyDelete
  76. Aliyesema Rais hajaoa mke wa pili ana uhakika gani, kuoa ni issue ya binafsi. kama MAULIDI WA KITENGE asinge post picha zake kwenye blog ya Michuzi mgejua. Maulid keep it!!! up iam on the way to join you.

    ReplyDelete
  77. Duh si mchezo Kitenge sasa fanya hima uongeze wa tatu.
    Si unajua ndugu yangu chungu hakikai bila.......
    MAFIGA MATATU

    ReplyDelete
  78. Dume la Kiafrika ni mithili ya wildebeest (gnu) bull. Lakusanya majike!

    ReplyDelete
  79. Samahani kaka Muhidin Issa wa Michuzi....Hebu tutolee hicho kinyaa hapo juu.Nadhani kuna mambo mengi ya maana ya ku-discuss na sio upumbavu wa hao watu 3.Wote wajinga tu....walogane,wapendane,wauwane watajijuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.

    ReplyDelete
  80. maneno mtaani yanasema maulid nae wanampasha, sasa kaoa, au kaolea wale wampashao? mnaojua mtatueleza zaidi.

    ila tu, yeye mwenyewe maulid ajihadhari na UKIMWI kwani hao wake zake wanauwezekano mkubwa wa kutoka nje ya ndoa kisha kumletea kiluilui.

    ReplyDelete
  81. Hongera Bw Kitenge mungu akujalie wewe na familia zako acha na hao vikuru mbembe wenye chuki na fisadi wa roho za watu wee umeoa na endelea kuoa una nafasi mbili bado bora usiwalaze njaa tuu na kwako kaka michuzi na wee oa wake ndo jambo la maana naona dunia ya leo watu wanasifiana kwa umalaya na uhawara nafasi iko wazi wakipatikana wake wazuri wa kiislamu wanaopenda kama akina (Mrs Kitenge) muoe acheni kusikiliza fitna za hao wachongoa tete

    ReplyDelete
  82. JAMANI HUYU KAKA KWELI ANA MATATIZO. HAYA SI MAPENZI, TAMAA TUPU IMEMJAA, NA SISI WANAWAKE BASI HATA HATUJUI KUPENDWA..NAHISIS HAWA MAJIMAMA HAWAJITHAMINI, PESA TU ZIMEWAWEKA PALE. BINADAMU GANI ATAKUBALI HALI IYO KAMA SI KWA KITU (NYUMBA, GARI, KIWANJA AU POCKET MONEY) ANACHOTAKA. PEEEEEEESAAAAAAA JAMANI TAMAAAAA ZITATUUUAAAAAA!
    Life first!!!!!

    ReplyDelete
  83. Huyo asiye zaa nipeni mimi nina dawa zao hao wala hawanipi taabu,just one kick.

    ReplyDelete
  84. I am imagining...............yaani mume wangu kwa makusudi kabisa akaoa mke mdogo alafu atoke huko kumtia jana alafu leo usiku eti aje kabisa alitie dudu lake kwangu............mmmmh!!! Siyawezi, kama hawa mabibie wanayaweza basi nawapa muda mfupi sana tutawasikia mitamboni............

    At least wametupa story ya kufungua mwaka.Pole mwe!!

    ReplyDelete
  85. he kwakweli Kitenge unasikitisha, inaelekea hujui utendalo, nimeamini kuwa mtu ujulikanaye si lazima uwe na akili ya kuchambua mabaya na mazuri. Umejidhihirishia wazi kuwa upeo wako wa kufikiria ni mdogo sana, hiyo mimama itakusaidia nini? hata kama ni hizo pesa umechemsha baba, inaelekea wewe kuanzia form four ulikuwa unapata division zero tu maana nina wasiwasi kama hata jina lako waweza andika. Watoto wamejaa tele wanaoendana na wewe kisa cha kuoa hiyo misuger mummy? bora angekuwa mmoja basi! wawili? do what a shame

    ReplyDelete
  86. Dadangu eshe, ulishindwa kabisa kumpa jamaa vitu mpaka atulie?
    Njoo nikupe kozi, huyo mke mdogo atakuwa anamsikia radio one tu!

    ReplyDelete
  87. They can make a fantastic and invigorating pair of lesbians!

    ReplyDelete
  88. anony wa jan 28, 2007 12:15:00 AM ni bingwa wa pumba za kila nafaka.What is civilization to you? Kwa Kiswahili ni "ustaARABU", yaani kuwa au kufanya kama waarabu au kiarabu(katazame nenp "ista'arab" ktk lugha ya kiarabu ambako tumelikopi) na kwa msingi huo Kitenge kastaarabika.Hakuna hata hoja ya msingi umeitoa.Eti "hata waislamu wenyewe siku hizi washaona kuoa mke wa pili sio ishu".Nataka kukujulisha na kuwafahamisha watu wengine wasiofahamu kwamba sheria,mila na desturi za Islam hazitokani na mtu mwingine,muislam mwingine au mabadiliko flan duniani;HAPANA.UISLAMU upo vilevile na sheria zake zote hadi siku ya KIAMA.HII NI TOFAUTI SANA NA DINI NYINGINE AMBAZO ZINABADILIKABADILIKA "ILI KUENDANA NA WAKATI".SEMENI MTAKAVYOSEMA,KITENGE YUKO RIGHT KWA 100%.KINACHOONEKANA HAPA NI CHUKI DHIDI YAKE,WAKE ZAKE NA DINI YAKE KAMA MAONI MENGI YANAVYOONYESHA.PILIPILI USOILA YAKWASHIANIIIIIIIIIIII????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...