hii ni siku ya jumanne tarehe 22/5/2007 baada ya kuwaruhusu dada zao warudi vyuoni kwani hali ya usalama siyo nzuri. inasemekana leo serikali imewajibu kuwa haiwatambui....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 23, 2007

    hawa ndio wale wanafunzi wa Ukraine sio? Je ni kwa vigezo gani serikali imesema haiwatambui wao, bali dada zao tu?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 23, 2007

    i feel my fellow comrades, natamani kulia,mi mwenyewe nipo ughaibuni kimazabe nabangaiza huku nasoma, hiyo bodi ya mikopo mi nilishashukuru mungu tu...NINA HASIRA NA FALA MSOLLA...TUSHINIKIZE BODI IVUNJWE NA WAZIRI WA ELIMU AENDE AKALIME NA NAIBU WAKE MBONA WANA DHIKI NA UCHU WA MADARAKA KIASI HIKI.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 23, 2007

    Hawa watoto vipi??? Nyie mkoje??? Eeeh??? Mmeikosea nini thithiemu??? Nendeni chimwaga mkatubu dhambi dhenu dhote kwa jina la JK na la Makamba na la...nani tena vileee??? Ebo! Ngoja niwahi dhangu maboxi

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 24, 2007

    kwa nini hakina dada, human rights inatakiwa na usawa wa watu wote kike na kiume so kuna mahatiki gani ya kuwapata rukhusa wakidada waendelea na masomo na wakikaka warudi nyumbani kufanya nini ? je nchini inataka kuwa na watu wapumbavu au ndio mawaziri wanataka watoto wao ndio wawe na elimu ya juu au mnaongopa vijana wa siku hizi ndio wasomi na watachukua madaraka maana viongozi wote walikuwa hawajasoma au wamenunua vyeti wakati huo so aibu kuanzia kwa Rais Jk na viongozi wake wote....

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 24, 2007

    nasikia mwanakijiji anawadhamini na atawaleta wote usa kuwasomesha university of michigan, anamalizia tu mipango ya visa zao

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 24, 2007

    hii serikali ni ya kishenzi na imejaa ushenzi usio na kifani. hivi hao vijana walifikaje huko kama sio kwa kupelekwa na serikali?? sasa yawaje hii leo serikali inawakana kwamba haiwatambui? huu ni ufala uliopita kiwango. nadhani muda wa kuchapana bakora umefika....mie napanda hasira mie. DAMN!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...