kuna mdau kaniletea ujumbe huo chini sasa hivi na mimi naubandika kama ulivyo na kumuunga mkono kwamba tumpigie kura kisura wetu aibuke kidedea huko mexico kwenye miss universe. shime wabongo na tuonyeshe mshikamano...
Michuzi!
weka basi na hiyo link hapo chini ili watu wapige kula kumsaidia Flaviana Matata afanye vizuri kwenye Miss Universe.
Nilikua sijui kuna vote nyingine zitakua zinahesabiwa kutokana kwa watu wakivote pia.
Sasa hivi muangola anamzidi Flavia...
kwa hiyo Wabongo tukijitahidi na kumpigia kura zetu kwa wingi tutakua kidogo juu. Shime tumfagilie dada yetu ashinde. Akishinda hata kidogo basi Tanzania jina litazidi kusikika. Mungu ibariki Tanzania...Mungu mbariki Flaviana Matata ashinde!
Vote people! Vote! You can do it once a day I guess...
mambo yenyewe ni kwamba uki-klick hiyo link kuna makundi kama saba hivi , Tanzania iko kwenye kundi la Africa and middle east, wewe klik hapo palipoandikwa vote now. then rank kuanzia wa kwanza ambaye utamchagu Flavia, hakikisha unawarank wote ndio vote yako inahesabiwa kuanzia namba moja mpaka namba kumi na moja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 30 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 09, 2007

    mbona nchi ya tanzania haipo nimeingia katika hiyo link na sijaona au kisha bwagwa dada yetu? jibu basi mdau uliye weka hii link au umeichelewesha. maana nilikuw nataka ni mpe voti zaku kila siku ili ashinde na kuiweka bendera ya nchi yetu juu ya kilele.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 09, 2007

    ukiclick hiyo link kuna makundi kama saba hivi , Tanzania iko kwenye kundi la Africa and middle east, wewe klik hapo palipoandikwa vote now. then rank kuanzia wa kwanza ambaye utamchagu Flavia, hakikisha unawarank wote ndio vote yako inahesabiwa kuanzia namba moja mpaka namba kumi na moja.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 09, 2007

    sasa wandugu ni ngapi tumpe huyo dadayetu ili awe juu?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 09, 2007

    sasa wandugu tumpe ngapi huyo dadayetu mpaka awe juu?

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 09, 2007

    Michuzi na hii pia naomba basi uweke. Nimepokea kwe email naona blog yako wengi wanasoma na nimuhimu wengi twende hii inahusu uchumi wetu pia. Thanks

    You are invited to The National Consultative Process on the Political Federation of the East Africa States. Should there be an East Africa Super State? If so, when and what type of Super State do the East African people desire? Your opinion matters!

    Kenya, Tanzania and Uganda have embarked on a fast tracking process for an East Africa Political Federation. Burundi and Rwanda are slated to become full members of the East Africa Community in June 2007. The federation, therefore, will have five member countries as the founding states. The East Africa leaders believe that a Political Federation will provide a bigger voice in the global arena, result in efficiencies due to economies of scale, lead to better management and utilization of shared resources, and quicken the economic and social development of East Africa. Each country has established a National Consultative Process that is currently gathering the views and desires of the citizens regarding the fast tracking of the Political federation. It is estimated that we, East Africans in the Diaspora, remit back more than $2 billion, making us one of the highest sources of foreign currency and revenue for the region.

    Please join us in a town meeting on Saturday, May 19, 2007, from 3:00 pm to 5:00 p.m, at the Uganda House 336 East, 45th Street, New York, New York.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 10, 2007

    Hii link naomba mweke kwenye blog zote za kibongo,huyu mtoto ataweza kushinda ila kuna blog kama mbili au tatu hua hutembelewa sana.Mwambieni che mponda aweke hii hii link kwake pia.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 10, 2007

    I voted, ila sielewi zile results, can someone explain where TZ stands?

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 10, 2007

    Bold and Beautiful - Miss Tanzania, one of the last delegates to arrive in Mexico, has been getting massive support from the Mexican crowds wherever she goes. Her exotic and stunning looks are impressing the planet and caused her to jump from #8 to #2 in GB's Starting Grid second list, released earlier this morning.."
    hiyo ni mistari nimecopy kutoka katika website ya missuniverse..jamani huyu bintii ni mzuri na anawashika vibaya mno huko mexico..watanzania wenzangu tujitahidi kumpigia kura..
    all the best flaviana!!

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 10, 2007

    NAona TZ inaongoza sasa na ina count ya kuwin. Ukicheck column ya misho to the right wana total votes required to win. I hope atashinda atleast awe Miss Universe Africa. Finale ni lini?

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 10, 2007

    Michuzi ahsante kwa uzalendo wako. Hii ndio ilitakiwa iwe Breaking News badala ya kuwa Shime! Shime! ili kuonyesha msisitizo. Wabongo tujitahidi kupiga kura, sababu jana tulikuwa wa 2, leo tayari wa 10. Ugaibuni na Bongo tafadhali Wastue jirani zako, na wooote unaowajua tumpigie mrembo wetu. At least kila siku mpaka finale!
    OC-Sinza, DSM.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 10, 2007

    Jamani ili kumpunguza mwendo huyo mu-Angola tumpe nafasi ya 11 huku flavia tukimpatia ya 1.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 10, 2007

    Thanks, nishampigia kura bila kumuangalia sura. Kisha nikaangalia photos, kwenye category ya Evening gown, picha ya Flaviana haipo. Sikuelewa ranking, lakini nadhani mTZ anaongoza hadi sasa, thanks wana blog

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 10, 2007

    Ni kweli nimeiona hiyo link na nimesha vote, nitajitahidi kufanya hivyo kila siku.
    Huyo ambaye hajaiona aangalie vizuri ataipata tu,afuate maelekezo ataelewa ni rahisi sana,Tanzania aweke namba moja halafu nchi nyingine zifuate kama apendavyo kuanzia namba mbili halafu abonyeze vote. Waaaa Flavian

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 10, 2007

    Dada kwa kweli kawa mfano wa pekee yuko Natural haswa na anasema hataki mtu amhukumu kwa nywere wala vipodozi Check hapa http://www.missuniverse.com/delegates/2007/files/TZ-interview.html

    ReplyDelete
  15. Utaratibu w kupiga kura (nadhani online) umeshafungwa ila kwa taarifa tu, mdogo wetu Flaviana ( Tanzania anaongoza kwa pointi 98, na anayemfuatia kutoka Angola ana 41, hiyo ni kwa Afrika. Hiyo ni kwa round 1. Matokeo haya ni hadi kufikia 1058hrs kwa saa za Tanzania Bila shaka kwa jinsi anavyokuja kwa kasi, ni lazima atashinda tu.

    Thumbs up for Tanzania!!

    Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Afrika!

    Naomba kuwasilisha!!

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 10, 2007

    Yeapa!!! huyu mtoto atashinda jana nimempa kura yangu na leo pia halafu muangola namweka wa 11 ili asimsogelee kabisa Flaviana.KEEP UP WABONGO HAYA NDO MAMBO SIO HAYO YA AKINA MPAKAROAD NA CHIBONE.
    Mungu ibariki Tanzania.
    NAJIVUNIA KUWA MBONGO!!

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 10, 2007

    Huu uwe mwanzo wa kampeni za wabongo ku-promote vitu/watu wetu via Internet.

    Pongezi michuzi kwa kutambua hilo na kuhamasisha wadau wako kumpigia kura huyu dada.

    In future, unapokutana na upiga kura wa style hii hakikisha yule mtu anayemkaribia 'mtu wako' unamweka nafasi ya chini kabisa ili asiweze kumkaribia na kumshinda 'mtu wako'. halafu wale ambao wanachechemea ndio unawaweka juu. hapo utakuwa unampa nafasi nzuri mtu wako kumpiga bao mpinzani wake. Nadhani kuna wabongo walioshtukia hili ndio maana mu-Angola kaangukia pua mapema wakati alikuwa amempita dada yetu kwa kura kadhaa.

    Mungu ibarikia Tanzania na watu wake kokote kule walipo ktk Sayari hii

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 10, 2007

    Flaviana ni mtoto mzuri sana na natural naombea mungu ashinde tupate ujiko but anahitaji kuwa makini anapojibu swali maana kwenye www.missuniverse.com (interview) kaulizwa how u descibed ur typical evening? kajibu "when I win beauty pegant on ...... Mmh nadhani mtakubaliana na mimi kuwa hapa lazima kajiondolea point! so Becareful Flaviana usipoelewa bora uulize kuliko kuloose point!
    much love!

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 10, 2007

    Due to several voters "stuffing the ballot box" in Round 1, voting is now open to only members of Pageant Almanac's Mailing List (as of May 9). Members will be given voting instructions by e-mail. Each member will be allowed to vote once.


    MICHUZI TUFANYE NINI SASA

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 10, 2007

    Sijui tumevote kwa force mpaka wamechange rules. Lakini thanks God Mtanzania ameingia top 20.....he he he.

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 10, 2007

    From one source from Mexico. The favorites are: Miss Canada, Inga Skaya; Miss Russia, Tatiana Kotova; Miss Tanzania, Flavia Matata; Miss Ukraine, Lyudmila Bikmullina; Miss USA, Rachel Smith; and Miss Venezuela, Ly Jonaites, a supermodel who speaks English, French and Spanish.

    ReplyDelete
  22. AnonymousMay 10, 2007

    utaratibu wa kura unaendelea. Endeleeni tu kupiga kupa tafadhali

    ReplyDelete
  23. AnonymousMay 10, 2007

    mbona kishatpwa nje ya top 21

    ReplyDelete
  24. AnonymousMay 10, 2007

    mtoto kaadvance top 20 safi sana. moto huo huo TZ kama inavyosomeka kwenye counter ya michu hapo chini nanyi wote flavian

    ReplyDelete
  25. UPUHUZI MTUPU WAMESHIBA NDIYO MAANA WAMEAMUA KUJIUZURI WACHUNGUZWE KWANI WAMEIBA MALI NYINGI SANA ZAWATANZANIA WE NEED CHANGES BARAZA LA MAWAZIRI ZIVUNJWE 90% WANAIBA,RUDISHENI MALI ZAWATANZANIA NDIYO TUTAELEWA KUJIUZURU KWENU.UCHUNGUZI PLEASE

    ReplyDelete
  26. hahahahahahahahahaaaaa

    ReplyDelete
  27. its a dead idea...japan , south korea, and other small countries far advanced than us never had this crude desire...of the so called unity..

    ReplyDelete
  28. AnonymousMay 21, 2009

    nimefungua lakini haijadisplay kitu.....au ndo zenngwe la ushindani maana katika kila mashindano lazima kuna kuchezewa rafu mbalimbali.

    ReplyDelete
  29. AnonymousMay 21, 2009

    nimefungua lakini haijadisplay kitu.....au ndo zenngwe la ushindani maana katika kila mashindano lazima kuna kuchezewa rafu mbalimbali.

    ReplyDelete
  30. AnonymousJuly 30, 2009

    kaka michuzi pole na kazi,mmmh kaka naomba utufutilie hii tetesi inayoenea hivi sasa ya madawa ya kuongeza makalio jamani inasikitisha.waelimishwe athari zake dada zetu hawa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...