jambo ndugu issamichuzi,
Jina yangu RAJENDRA KARA mimi na tafuta students friends wale ambayo walikuwa na soma hapa MTENDENI PRIMARY SCHOOL katika miaka 1970 mpakaa 1976. 1976 ilikuwa miaka ya muiso.na mimi nilikuwa na soma kwenye CLASS ya (C).since 1976 i have been living in england and i have been to dar es salaam twice since.i did try to find some of my friends without luck but a mwananchi who work with me here in uk gave me your blog site and told me to try issamichuzi with luck. its nearly 30 years some of my class mate are living abroad may be USA,CANADA,AUSTRALIA,EUROPE,INDIA and some in uk i hope this issamichuzi will help me find my MTENDENI PRIMARY SCHOOL (STANDARD C- CLASS FROM 1970 TO 1976) many thanks from YOURS MWANANCHI RAJENDRA KARA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Michuzi Joint is like nokia.
    "CONNECTING PEOPLE"

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...