mfungwa haruna gombellar akikabidhiwa zawadi na wanawe halima(kulia) na leila huku afisa usalama wa magereza akiwa hachezi mbali...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. that was so sweet!

    ReplyDelete
  2. nasikia kama kulia vile!

    ReplyDelete
  3. That's marvelous Haruna..

    we are proud of you for your archievement..plz mtafutieni sponsorship afanye na masters mpaka phD.

    Mkuu wa magereza mtupie jicho huruma yako walau mpunguzie kifungo.

    ReplyDelete
  4. No, the President must set this guy free. We need to petition, I just don't get it - hawa mafisadi mbona hawafungwi, huyu mtu uso wake hauoneshi kosa la miaka 50 hata kidogo, no aachiwe jamani.

    ReplyDelete
  5. Inafurahisha kuona mtu aliyeopo ktk mazingira ya ufungwa anaweza kubukua na kuibuka na NONDOOOZZZZZZZ....


    Inasikitisha kuona kuna watu ambao wako ktk mazingira HURU lakini wanashindwa kuendelea na masomo kwa sababu zisizo na msingi wowote na uzembe.

    Hongera Mgombela, na hii iwe changamoto kwa wasomi na watanzania wote kwa ujumla. Isiishie hapo tu, hata wale wenye degree zao wasiishie kuzitundika ukutani; wazitumikie.
    Kwani magazeti ya hapa home yameandika kuwa jamaa amewasaidia sana wafungwa wenzake ktk mambo ya sheria kt rufaa za kesi zao- zaidi wa wafungwa 90 kawasaidia kushinda rufaa zao.

    ReplyDelete
  6. we anony hapo juu una akili finyu.

    Yaani unataka wabaki gerezani wenye sura za kutisha? Ndicho kigezo cha watu kufungwa? man, you got to think wisely! Unataka hadi wakutajie alichokosa ndio ujue kosa linahitaji adhabu? Angekuwa amewua babako kwa silaha ili apore gari ungejisikiaje? Acha wewe< ndio ninyi mnaowasha moto na kuwachoma watu kisa unaona anafukuzwa na anafanana na ujambazi, lakini huna eivdence. Sura sio kigezo. Basi ukitaka wanaota huruma, wapo wengi zaidi ya huyu. Tena wapo waliooewa, wakti huyu hapa lazima kuna ushahidi wa kutosha kuwa alishiriki mambo makuwa ya kutisha.
    Na wakubwa wanaofanya ufisadi si kigezo cha kupindisha sheria kwa kuwafungulia wa tabaka la chini. You see. Unanishangaza sana. Hufai kuwa hata mjumbe kwenye baraza la mahakama. Maana utakuwa na pre-judgements au prejudices kwa kuangalia sura, kabila, elimu, nk.

    TUELIMIKE JAMANI. NAWASILISHA.

    ReplyDelete
  7. KAKA MICHUZI, NAKUOMBA UFIKISHE COMMENTS HIZI ZOTE KWA HAO HALIMA NA LEILA WATOTO WA HUYO GOMBELA, WAONE JINSI GANI WATU WAMEFURAHISHWA NA JITIHADA ALIZOFANYA BABA YAO.HAO WATOTO, WAKAZANE JUU CHINI KUMPIGANIA BABA YAO APEWE MSAMAHA ATOKE, WATU WOTE TUKO NYUMA YAO TUTAWASUPPORT JAPO KWA USHAURI..WACHAKARIKE..BABA YAO ANA HAKI YA KUPEWA MSAMAHA, AKAFANYE KAZI AU AKAJIENDELEZE ZAIDI, ANA MIAKA 54 TU BADO HUYO KABISA, ILA WAKIMUACHA HUMO NDO ATAKUJA KUFA BURE..TUACHE UJINGA, NONDO YA SHERIA ISIJE IKAOZEA HUMO GEREZANI...

    ReplyDelete
  8. Kwa kweli inatia furaha na huzuni kwa pamoja. Ila tu kwa wanaoanza kuona ameonewa, please, msianze kuongea tu kwa jazba, kama kuna anayejua amefungwa kwa kosa gani na kama linafaa apate msamaha thats fine, lakini kama jamaa alifanya kosa kubwa na kuna ushahidi, degree yake kwa kweli itamsaidia kusaidia wafungwa wengine si yeye. Ninamsifu sana anony aliyetoa mfano wa kama angeua baba yako je? ni mfano tu.... kwani degree tu imfanye atoke kama alifanya kosa je? ama ni wa kwanza kufungwa na degree.

    Mnisamehe wadau, ni mtazamo tu. Ila kwa kweli anastahili hongera maana akina sisi tunapiga uvivu tu uraiani, jamaa kabeba nondo gerezani, mtu noma huyo!!

    Hongera bwana Mgombela
    Nawasilisha

    ReplyDelete
  9. Is that a panacea to set him free!! No one knew what happened before.Ila mimi nimewamind mabinti hata kama wameolewa lakini sifa nawafagilia bwana.Kuna watu wanazaa watoto wazuri...ha ha ha....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...