ukiondoa vitabu vya riwaya za ujana kama vile james hardley chase, mickey spillane ama mills & boon nina imani wadau wengi wamenufaika na majarida ya spia kwa kuwa sio tu yalifurahisha bali pia yalikuwa nyenzo muhimu katika kujifunza lugha na kupenda kusoma. inasikitish kuona hakuna tena mfano wake na ndio maana mapenzi ya watu kupenda kusoma zaidi ya magazeti yamepungua. tembelea nyumba nyingi bongo utakuta ni wachache wenye shefu za vitabu ama majarida.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Habari ya Spia! Nimemkumbuka rafiki yangu ASCADO LEE - Robbert Sungura
    Tuwasiliane!





    Zoolo Lee

    ReplyDelete
  2. Michuzi,
    Vipi mbona gazeti la habari leo na Uhuru hayapatikani mtandaoni? kuna tatizo gani? tafadhali tujulishe wadau.

    ReplyDelete
  3. duh michuzi hii kali !imenikumbusha collection yangu ya haya majarida kama sio hawa uncle zangu kushindwa kuyatunza, tungekuwa nayo.
    Ila napenda kusema kwamba TV zimechukua nafasi kubwa sana ya usomaji wa majarida kiasi kwamba watu hudhani kwamba wanapata kitu kile kile,ukweli ni kwamba kusoma kitabu kunafanya ubongo uwe shapu!

    Mzee wa MWZ

    ReplyDelete
  4. Boys oh Boy.. .. I can see Captain Victor, Lemmy and Sonia.... what a memory.... (dRU)

    ReplyDelete
  5. Michu umenikumbusha mwaka arubaini na sabba! Nakumbuka nilivyokuwa 'dogo', nilifaidi sana vijarida vya 'spear' na 'boom'.
    Vitabu ni muhimu sana ila siku hizi kikubwa ni TV na huko kina dogo wanajifunza 'majamboz'. Wenye uwezo zaidi ni Playstation, X-box, etc huko nako watoto wanaambulia violence maana hatuna umakini kuhakikisha watoto wanacheza games za umri wao. Ndiyo utandawazi huo - lakini tujitahidi kuwahamasisha waoto na vijana kusoma vitabu

    ReplyDelete
  6. shefu ya vitabu ya kazi gani siku hizi? Ma talking book kibao,sijui podcast

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...