dege la bush likitua
mguuuu sawa!
rais george bush wa marekani na mai waifu wake laura wakiwasili
rais george bush na mama wa kwanza wa marekani wakitelemka toka ndegeni
jk akimpa tafu mgeni wake wakati wa kukagua gwaride

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. ebwana eeh, hilo dege mie hoi, jamani angalao wangewabeba wabeba maboksi hata 20 tu kuwasaidia safari waende kwao wakasalimie, jamani NAULI INAGOMBA.....duu kweli duniani hamna haki,,wengine wanabanana kwenye Qatar na Emirates, wengine midege mikubwa, na humo ndani nasikia inakuwaga kama minyumba,,,mmh kama mungu yupo, TUTAMUONA...

    ReplyDelete
  2. Vidole havilingani. .... nauli ya daladala kwenda kazini tu inagomba sembuse nauli ya Qatar ???

    ReplyDelete
  3. bana michuzi mi naomba kuhoji habari niliyosoma ktk gazeti la mwananch...
    Hivi hawa WASOMI wanaozungumziwa wametoa wapi statistics kuwa idadi ya WEUSI inaongezeka magerezani USA ???

    ReplyDelete
  4. ACHA UJINGA WEWE NANI KAKWAMBIA WABEBA MABOX WANATAKA LIFT? AU UNATAKA NA WEWE UJULIKANE UPO?

    ReplyDelete
  5. Acha ushamba wewe, hiyo ndege ni 747 kama nyingine, ndani wame inakshi na kuongezea vikolombwezo muhimu vya kumrahisishia rais safari iwe fupi na ku pumzika kama yuko hotelini.

    ReplyDelete
  6. Taifa kubwa boksi inategemea unalibeba wapi bongo ukibeba boksi utatoka kibyongo na huendi popote ulaya hali kadhalika hapa America boksi ukishamaliza kulibeba unatekenya ndinga ukifika home ukimwaga maji ukiingia mtaani kama mtu yoyote yule pengine una makuku kuliko watu wa ofisini komeni kukashifu kazi za watu

    ReplyDelete
  7. Je bush alipita immigration maana kikwete akija US lazima apite immigration walivyokuwa hawana adabu lazima aweke kidole na wachukue picha

    ReplyDelete
  8. Hizo picha za mwanzo zinaonyesha wazi kabisa kuwa wapiga picha wa Bongo mlitupwa MAILI AROBAINI kutoka kwenye ndege ya mkubwa!!! Kama Kawaida....teh teh teh!!!

    ReplyDelete
  9. Huyo mpuuzi anayolirusha hilo dude ana masaa kama milioni(flying hours)resume yake kasharusha space shuttle kama mission kumi na zaidi bila kusema combart mission ngapi amefanya Taifa kubwa sio mchezo

    ReplyDelete
  10. Kuanzia mwaka kesho itaenda sana Kisumu hiyo ndege maana jaluo(OBAMA)akichukua nchi majaluo wote wataipanda hiyo

    ReplyDelete
  11. Kikwete mzuri bwana du,is fit atakuwa anafanya zoezi zoezi au ana lift hivi

    ReplyDelete
  12. Kalieni kusema maboxi, wenzenu twala bata huku. Najua wengi mnatamani, mmejaribu, mnajaribu, mtajaribu na mkiendelea na hivyo mtashindwa milele.Kuleni vumbi lenu lenye m...jo.

    ReplyDelete
  13. Michuzi, wewe umetembea, jaribu kuwapa mbinu hao wanaokomaa kusema maboxi maboxi, najua wanatamani sana kupaa, kama hawana shule kuna njia nyingine, waombe msaada kwenye tuta kuliko kumaliza machungu yao kuandika maboxi maboxi. Kama kwenda Kariakoo huwezi, hata hiyo Qatar kuigusa tu bodi nje utaweza, nani atakuruhusu?

    ReplyDelete
  14. we unayezoza wabeba boksi kila kukicha mshamba tu! kila news hapa wewe unaleta wabeba boksi vinahusiana nini. mbona wote tupo hapa bongo hatumaindi wabeba boksi wanafanya nini! kama sio wivu basi inaonyesha ulishindwa kwenda. Kama vile sungura alivyosema "sizitaki hizi ndizi mbichi" baada ya kushindwa kuzirukia...kama kweli unataka kupambana na wabeba boksi basi toa jina lako na email yako hapa wakushambulie..Kua mdogo wangu wote tulishajaribu tukanyimwa visa, chuki haikusaidii lolote.

    ReplyDelete
  15. we unayezoza wabeba boksi kila kukicha mshamba tu! kila news hapa wewe unaleta wabeba boksi vinahusiana nini. mbona wote tupo hapa bongo hatumaindi wabeba boksi wanafanya nini! kama sio wivu basi inaonyesha ulishindwa kwenda. Kama vile sungura alivyosema "sizitaki hizi ndizi mbichi" baada ya kushindwa kuzirukia...kama kweli unataka kupambana na wabeba boksi basi toa jina lako na email yako hapa wakushambulie..Kua mdogo wangu wote tulishajaribu tukanyimwa visa, chuki haikusaidii lolote.

    ReplyDelete
  16. mie kwa kweli i don't mind carrying box hapa marekani. especially ma-box ya huku yanapimwa, likisema ni 10 pounds basi ni hizo hizo, beba box la bongo, utakufa! and then ukirudi home kuku inakusubiri vile vile, we mla vumbi niambia mara ya mwisho umekula nyama lini? kusema ukweli box linalipa si mchezo....wala asikudanganye mtu, halafu wala haliumizi. sijui nyie wala vumbi mnalichukuliaje hili box, asikudanganye mtu, piga ua, kila mtu anataka kuja america....correct me if i am wrong. wabeba box oyee, mikono juu, mikono juu!

    ReplyDelete
  17. Duh.. mmeona vumbi nyuma ya airforce 1? Aisee bongo nuksi!!!

    ReplyDelete
  18. Jamani katika burudani ambazo nazipenda na humu nazipata nachekaaaa walijisemea wakerewe wa bongo, "mpaka baasi" , yaaani weacha tuu. Humu muna jazba huna jokes muna kero muna watoto muna wazee wa hekma muna kila kitu yaraabi muna kila balaa sometimes chokeee mi choke nikikutana na khabari za boxes na vumbi kutambiana kwa kitoto.

    ReplyDelete
  19. Hivi wewe anon wa hapo juu unaongea kiswahili cha nchi gani eti?...kama mkulima bwana...Alafu na nyie wabebox, msijisifu eti mpo ughaibuni mnakula bata, bata mtakula nyie!!...Bata anakula Bush bwana, nyie mtabaki kuhenya na mijibox...Bongo ndio watu wala bata, watu wanakula kwa jasho lao bongo, nyie mpaka wazazi wawakumbuke ndio mpige vipicha vyenu mkiwa mmebeba vichupa vitupu vya Heineken..kudadeki au wazazi wakifanya kuwasahau tu mwaenda kubeba miboxi iliyojaa nepi za watoto wa kitasha ndio mpate kula hao bata...Bata utakula wewe!?!?!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...