mama wa kwanza salma kikwete na mama wa kwanza wa marekani laura bush wakiongozana na george bush
paparazi wa bongo wakiwa sehemu yao
bendera za marais zikipepea

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Nyie mnatuita wabeba mabox mmeona tofauti. Mmeona??? Huku Kikwete akija mpaka tupigiane simu au bro Michuzi atusaidie kututaarifu. Nyie pondeni, ukweli ni kwamba hujaishi Marekani hujaona maisha. Im talking about bongo, UK na sehemu nyingine. UK nako choka mbaya.

    ReplyDelete
  2. MBONA SARE HAINA PICHA YA KIKWETE MAANA KUNA BENDERA ZA TZ NA USA. I HOPE MAMA BUSH NA RAISI BUSH WATAPEWA SARE YA NAMNA HIYO BUT WITH PICHA YA RAISI KIKWETE. IT WOULD BE NICE TO SEE FIRST LADY WA USA KUVAA NGUO YENYE PICHA YA RAISI WA KIAFRIKA ANAPOTEMEBELEA MAREKANI! WHO KNOWS THEY MIGHT LEARN FROM THIS VISIT!!

    ReplyDelete
  3. Michuzi jamani inakuwaje hatumuoni Pinda naomba hata picha moja yeye akiwa anasalimiana na bwana Bush aka mr Kichaka NASUBIRI

    ReplyDelete
  4. Michuzi,

    It is very heart warming kuangalia matangazo "live" ya television kutoka Dar es Salaam, njia panda ya kwenda majuu (eapoti) mara alipofika Bush nikiwa hapa hapa mji mkuu wa dunia huru a.k.a Washington DC. Bongo inapendaza kweli ikipigwa na video ya High Definition (HD) ambazo nadhani matawi ya juu ya Bush wamekuja nayo. Alafu inaonyesha jinsi mawasiliano yalivyo tambarare hapo bongo kwasababu picha na sauti zimetoka mchicha sana.


    Alafu inaonyesha waandishi wote wa habari kama vile walikuwa ndo wametoka kuoga hivi. Waliambiwa nini.

    ReplyDelete
  5. michu unajitahidi kupasha watu habari za nyumbani, pia ni vizuri kuanzia sasa raisi na serikali iwashirikishe zaidi wananchi wa kawaida katika mausala ya jamii na kuwaweka mafisadi kando kabisa, kwa ustaarabu huo nchi itakua na amani daima.

    ReplyDelete
  6. Bendela zisiwadanganye Mchuzi hapo ni Bongo angalia vumbi.

    ReplyDelete
  7. BOra wewe uliye angalia kwa HD, huku Bongo tumeangalia kwa TVT, usiombe hawa jama wawe wana report ni balaa, maana live halafu una wekewa picha za watangazaji studio wakihojiwa huku matukio muhimu huoni , muda mwingi wanaoneysha studio mtangazaji akiongea, na dhani wana jisahau wana dhani bado niwanatangaza kwa njia ya redio halafu huyo director hajui camera ipi iwe ina chukua, uchanganyaji wa picha ni mbaya kiasi ana pitisha matukio muhimu yana kuwa hayaonekani.

    ReplyDelete
  8. Bwana pinda ni ngumu sana kumuona wakati kama huu labda bush akiondoka shein I can understand

    ReplyDelete
  9. michu naona unatufunga kamba sasa hapa naona bendera ya nchi ya marekani wala si ya rais,na hii nyingine ni ngeni kwangu wala sijui niiteje maana kwa miaka yangu karibia 30 sijawahi kuiona.

    ReplyDelete
  10. Naombeni mnifahamishe kuhusu hiyo bendera ambayo hipo pamoja na ya USA. Hiyo ni bendera mpya ya TZ au ni hipi maana nakumbuka kuna bendera ya CCM ambayo ni kijani halafu tunabendera ya Taifa ambayo wote tunaifahamu au hii bendera ni ya vyama vya upinzani?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...