Brotha Michu,
Hongera na shukran kwa kazi nzuri unayoifanya.

Nimesoma kuhusu huyo mzungu, anaitwa Pernille. Nimemwandikia message aombe msamaha kwa watanzania, vile nimeanzisha kundi la mgomo kwenye Facebook, ili wabongo wote walioko kwenye Facebook wajiunge katika kugomea blog ya Pernille kwa kubofya hii link.


http://www.facebook.com/group.php?gid=9007058859

Pernille yuko kwenye Facebook, naye anaweza kujiunga kama anataka.

Mengine yanakuja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 25 mpaka sasa

  1. Man or Womam!!!!!!!!!! Have a life, wanagapi wanaandika ududu hawasemwi mwaaacheni dada wa watu aandike her own opinion....yaani umekaaa na kupoteza muda wako kuanzisha group kwenye facebook si heri ungeenda kanisani au msikitini kumuomba MUNGU.

    Dada dont apologize....

    ReplyDelete
  2. michuzi, nasikitika. Kwanini unatangaza chuki kama hiyo juu?

    ReplyDelete
  3. Wewe mbona unataka kutuburuza tu? si utuambie kwanza kwanini atuombe msamaha? si utuambie kwanza alichokifanya?
    Watu wengine bwana common sense inawapitia mbali sana.

    ReplyDelete
  4. jamani nyie huyu dada ametukashifu sana msipuuzie someni link iliyowekwa na michuzi,jamani waafrika kila kitu cha mzungu msikubali jaribuni kupinga mkidhalilishwa.

    ReplyDelete
  5. baada ya DJ Rule birthday bash kuna maalezo ya alichokifanya huyu mzungu,someni ndio mtashikwa na uchungu sio mnapinga tu.

    ReplyDelete
  6. Wewe Chizi kweli yani. Kwani aliyoandika ni uwongo? Kwani wewe Traffic Wa hapo Bongo unaona wanavaa je. Kwanza hilo hata mimi nilitaka kuliandika siku nyingi sana. Hao traffic hawaangalii shepu zao wakati wanashona nguo. Unakuta mwingine kwanza miguu ni chelewe kwa kiswahili sahihi sijui nisemeje, Ila miguu myembamba sana skati fupi halafu ukifika pale traffic light anakuja kama hataki vile kukusemesha Ukimuliza kwanini hakukusimamisha tangia mwanzo kama aliona kosa hana jibu, Waache kabisaa tabia ya kujiuza barabarani kama ni kazi basi wafanye kazi zao sio kujishoo kazini

    Thanks,
    Mdau kutoka ughaibuni(Mbeba box)

    ReplyDelete
  7. michuzi facebook na wewe upo hebu nipe habari zaidi kuhusu facebook asante michuzi, na mie nataka kuijua.

    ReplyDelete
  8. y'all are too damn sensitive,you're acting like she killed a tanzanian or something
    what a way to boost tourism

    ReplyDelete
  9. freedom of speech and that is her point of view. Anaona vimini nalikini trafic haiendi popote sasa aandika uongo?

    Mngeenda kuwaambia hao trafic wafanye kazi zao ...mumwache dada wa watu aongee waht is in her mind

    ReplyDelete
  10. kawaambieni waache kuvaa vimini na wafanye kazi.

    Kaona kaandika sasa nyie nini kimetoa macho kuambiwa ukweli?

    Wako mitaani na hata kazi hawafanyi ipasavyo

    wacheni wageni waone na waongee

    ReplyDelete
  11. ISIJE KUWA NI MBINU YA HUYO MZUNGU KUTAKA KUWA FAMOUS KAMA YULE MAMA WA SUDAN NA HADITHI YA MDOLI! OOH ACHENI KUWATAFUTIA WATU UMAARUFU USIO NA KICHWA WALA MIGUU. MIE HUKO KWENYE 'USO KITABU' SIJUI FACEBOOK SIPAJUI NA WALA SIJAWAHI KUKANYAGA KWANZA MUDA HUO SINA. KWELI KUNA WATU HAWANA KAZI YA KUFANYA KAZI KUBLOGU MARA BLOGU HII MARA ILE MPAKA HIYO YA WAZUNGU. UKIULIZWA TUSI UNALIJUA UTASEMA UNALIJUA? UKIAMBIWA UTAJE MATUSI KATIKA TUSI UNATATAJA HILO LA MIGUU MINENE KAMA MIGOGO KUWA NALO NI TUSI! TULETEE MATUSI YALIYO MATUSI NDIO TUONE NINI CHA KUFANYA SIO KUTUPOTEZEA MUDA HAPA. HAO TRAFIKI WAJIREKEBISHE TABIA ZAO BASI KAMA WAMEWASINGIZIA HILO NENO LINGINE AU NI SISTA WAKO NINI HUYO DADA MAANA YOU HAVE MADE IT TOO PERSONAL.

    {ngoja niwanong'oneze hivi mnajua vita ya kwanza ya dunia ilianzaje? hivi hivi kwa vimaneno visivyo na kichwa wala miguu mpaka leo wakiulizwa watu wa austria kuliko anzia hiyo sababu ya vita hawana moja la kueleza ulimwengu}
    NIMEMALIZA KUNONG'ONA. DADA KUNA VITU VINGI VYA KUFANYA VYA KUMLETEA MTU SIFA FANYA KAMA HAO WATU WA MITINDO HOUSE WANAVYOFANYA.

    ReplyDelete
  12. JUST OUT OF TOPIC!!
    Ni kwa nini wa-tz wakitukanwa hawawezi hata kujisikia vibaya? Yaani kuumbuliwa wao ndio wanafikiria kufundishwa. Kwani huyo dada angeandika hiyo hasira yake bila ya kutukana watu asingesikika? Au kutukana wa-tz ndio namna ya kusikika?(It looks like it!)
    Wa-tz hakuna sababu ya mtu yoyote kukutukana eti kwa sababu hakufurahishwa na kitu fulani alipokuwa Tz,kwani kalazimishwa si akae kwake huko ulaya kuzuri sana?

    ReplyDelete
  13. Nimefanya uchunguzi wangu na kugundua kuwa hiyo email adress ya mankasolomon imekuwa registered jana tarehe 9 saa tisa alasiri EAT.
    Imekuwa registered kupita ip adress (xxx.xxx.xxx.xxx)ambayo kwa mujibu wa IP search that one belongs to (...).
    So please guys, next time if you want peaople to have a comment on your thoughts just make it clear and open so people will contribute knowing that they are helping to build an idea and stop teasing other people coz what i know from this kind of posts utasababisha watu wengine waongee maneno ambayo hawakuyatarajia na kusababisha wamkosee Mungu wao bure.
    Asante kwa kuniruhusu kuwasilisha maoni yangu.

    ReplyDelete
  14. Samahani michuzi,nimechanganya comment. iliyotangulia ni kwa ajili ya yule dada anaetafut mume kwa cv, please "imuvuzishe kwa link yake"
    nakuja kwa huyu mwanamke wa kidachi. kama umepata muda wa kupita blog yake utagundua kuwa she has a kind of high tone on whatever she is saying or what she wants to express to the Tanzanian society. mfano, kuna bango moja la BMTL kalitolea negative thought kabisa na kusema kuwa the technology advertised there its imposible to be done in real sense in Tanzania. but ukweli ni kuwa BMTL is doin much better katka hiyo Technology and is doing the real thing. Bahati yake amezuia watu ambao sio registered users wa typad kupost comment ila angekiona cha mtema kuni!
    NAOMBA KUWASILISHA

    ReplyDelete
  15. Kwa bahati mbaya sikuona blog yake. Nilivyopata linki alikuwa ameshaweka block.

    Sasa nimeambiwa kasema eti Trafiki wa kike kavaa sketi imebana na miguu yake ina fanana na small tree trunks. Mmmh?

    Kwa kweli wazungu hawana appreciation na miili asili ya waafrika. Sisi tunasifia 'guu', 'matako makubwa', na 'vifua' (matiti makubwa). Wazungu wanaona maajabu maana kwa kupigwa pasi ni urembo.

    Sasa navyoona kama ni kuomba msamaha, aombe msamaha kwa ajili ya kutokuelewa urembo wa kiafrika.
    Na inaelekea hakujua kuwa waBongo watasoma blogu yake.

    ReplyDelete
  16. kaka michuzi waache hayo ya pernile, na ushauri je watanzania pia wanajua mchango wa jk chande kwa tanzania, hebu tafuta habari zake kaka michuzi uzimwage katika hii blog, ni mtu wa bei ya juu sana, na amefanikiwa kimataifa, na aliwahi kupewa zawadi na raisi wa india, asante michuzi.

    ReplyDelete
  17. I have decided to put my blog on stand-by for a while
    The reason is that over the weekend I have been receiving comments, e-mails, text messages and a phone call telling me various things, which I am far from comfortable with. Someone even made a Facebook group with the aim of boycotting my blog.

    Basic message is that I am not giving the right impression of Tanzania. That the image I display of Tanzania to the world is damaging Tanzania's image. To me there simply is no right impression, but apparently there is, and I am not meeting these standards. I am highly aware that Africa is not just Africa, that Tanzania differs from other African countries and vice versa. I also know that the image of Tanzania in for instance European media often does not correspond with the one of the Tanzanians. But again 35 million Tanzanians do not make one idea, but many. I am an ex-pat, I blog from my perspective.

    I find different viewpoints expressed on different blogs inspiring, which is why I read different blogs. I have only ever intended to reflect my impressions, which I have emphasised over and over. I have also emphasised that my views are mine and do not necessarily correspond with the NGO I work for.

    I don't believe that this kind of group pressure should shut someone up, but I also feel I have no choice. However, in the mean time - until I figure out if/when I will return to blogging with a public identity - I will be happy to provide you with more detailed information if curious. I will also be interested in - and happy - to hear from other bloggers who have experienced the similar. I am still interested in dialogue, but I will not tolerate that people dictate me what to write on my blog, or comments where people i.e. name themselves 'Killer' or call me 'dog'.

    ReplyDelete
  18. I have decided to put my blog on stand-by for a while
    The reason is that over the weekend I have been receiving comments, e-mails, text messages and a phone call telling me various things, which I am far from comfortable with. Someone even made a Facebook group with the aim of boycotting my blog.

    Basic message is that I am not giving the right impression of Tanzania. That the image I display of Tanzania to the world is damaging Tanzania's image. To me there simply is no right impression, but apparently there is, and I am not meeting these standards. I am highly aware that Africa is not just Africa, that Tanzania differs from other African countries and vice versa. I also know that the image of Tanzania in for instance European media often does not correspond with the one of the Tanzanians. But again 35 million Tanzanians do not make one idea, but many. I am an ex-pat, I blog from my perspective.

    I find different viewpoints expressed on different blogs inspiring, which is why I read different blogs. I have only ever intended to reflect my impressions, which I have emphasised over and over. I have also emphasised that my views are mine and do not necessarily correspond with the NGO I work for.

    I don't believe that this kind of group pressure should shut someone up, but I also feel I have no choice. However, in the mean time - until I figure out if/when I will return to blogging with a public identity - I will be happy to provide you with more detailed information if curious. I will also be interested in - and happy - to hear from other bloggers who have experienced the similar. I am still interested in dialogue, but I will not tolerate that people dictate me what to write on my blog, or comments where people i.e. name themselves 'Killer' or call me 'dog'.

    ReplyDelete
  19. How long these people been in Africa being so-called Foreign Aid Worker, which most of them are SPY. Guys you see them in high life; they are there enjoy life and use Africa like guinea pig, I would love to debate Pernille

    ReplyDelete
  20. TO PERNILLE
    Presumably you aren't as gullible as you sound...Just like you felt you had a right to publish your opinions, so do those individuals who thought your opinions were nothing but BS...

    Your opinions were overly curt!

    For us Tanzanians, I'll even dare & include the entire continent...beauty is all about those"small tree trunks" & junk in the trunk & DEFINITELY NOT anorexic looking girls/ women...

    Maybe you should switch topic & discuss what kind of dresses to showcase those tree trunks;-)

    ReplyDelete
  21. PERNILLE,

    NOBODY IS STOPPING YOU FROM SAYING WHAT YOU WANT, ALL THAT PEOPLE WANT HERE IS A LITTLE BIT OF RESPECT. WHEN YOU COMMENT ABOUT OTHER PEOPLE, YOU ARE EXPECTED TO DO IT IN A CIVILIZED MANNER.

    FOR EXAMPLE, TANZANIANS COMMENTING ABOUT DANNISH WOMEN WOULD NOT NECESSARILY MENTION THAT THEIR BODY STRUCTURES ARE UNATTRACTIVE BECAUSE THEY ARE TOO "FLAT" AND LUCK "CURVES". THAT WOULD BE UNCIVILIZED WAY OF DESCRIBING THEM!

    SO PLEASE KEEP ON WRITTING WHATEVER YOU WANT, BUT IN A POLITE WAY.

    ReplyDelete
  22. Mbona huyo Pernille bado hajaomba msamaha? Kwa vile ni mzungu anaona hakuna haja ya kuomba msamaha? Kwenye posti yake hakuna ombi la msamaha.

    ReplyDelete
  23. Mimi nimekuwa nikikereketwa na wazungu (na wadosi pia, sio siri). I am also very surprised by unyonge wetu sisi wabongo. Hawa wageni wanaanza kukosa adabu hapa kwetu. I have seen it at the ATM machines, Shoprite, Sweet-Easy, kukutimulia vumbi when they drive-by, Na kadhalika.
    Lets stop this colonialistic attitude before it gets out of hand. Remember how we used to laugh at ndugu zetu wa Kenya…That shit is now at your own gate...

    ReplyDelete
  24. Amen

    Lets stop this Neo-colonialistic attitude...

    ReplyDelete
  25. AnonymousJune 17, 2009

    PERNILLE PLEASE READ...
    ok...am gonna try to state the obvious here,..We all know of our rights to say whatever we please. Am gonna take a leap of faith here and assume that You Pernille are aware of how much this whole thing is spinning out of control,..also you are aware that this could not be good for your NGO or the name of Danish people
    (as you have generalized the africans or Tanzanians however you piblished it)
    Now, we all know Pernille can say whatever she wants as all Tanzanians can,.... But....Pernille as i jumped the gun and assumed you are smart woman I will also assume that you are aware of what you did being wrong in the sence of publishing it on your blog? Right? lets again assume am right,.. then do you think the right thing should be for you to say am sorry? because am reading all this and the only thing i could think of is people are not understanding your take in all this or you simply are enjoying the problems you are creating...
    so in a plain simple non-complicated way please answer my two simple questions,..

    Pernille do you think what you said in public about Tanzanian woman was hurtful? if you think so shouldn't you apologize?

    Am going to assume that you are a very rational individual.
    ...peace out!

    ps. Pernille,..Please dont make a fool out me, am counting on you.

    ....Please everyone before you attack me for trying a different approach to this, give her one more chance to apologize, i respect all of your opinions...absolutely!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...