timu ya mkoa maalumu wa kisoka ya ilala leo imeshinda mkoa wa kinondoni kwa mabao 5-0 katika fainali za safari lager taifa cup neshno na mpir umeisha dakika mbili zilizopita.
ilala, inayofundishwa na kocha machachari jamhuri kihwelo 'julio', itapewa kombe na kitita cha shilingi milioni 30 zilizotolewa na wadhamini ambao ni kampuni ya bia ama tbl.
mshindi wa tatu ni mbeya ambao wameifunga arusha 4-3 katika mchezo uliochezwa awali katika mtanange huu wa wiki tatu uliojumuisha timu kutoka mikoa yote 23 ya bara.
Bwana Muhidin.Weka hii labda TFF waweza kuisoma.Tanzania is divided into 26-27? regions (mkoa)including Visiwani
ReplyDeleteTUNAHITAJI MZIZIMA UNITED KAMA ZAMANI,MAMBO YA TEMEKE ILALA SIJUI KINONDONI IS NOT FAIR KWA MIKOA MINGINE,MIKOA AMBAYO MNGEIGAWA NI ILE MIKUBWA KAMA TABORA,SHY N.K LAKINI BADO ITAPOTEZA MAANA YA NENO MKOA.MKUU WA MKOA WA KINONDONI NI NANI?WILAYA ZAKE NI ZIPI?ILALA,TEMEKE?MKUU WA MKOA WA DAR NI MH.ABAS KANDORO.TFF INAFUATA KANDA(Zones) ZA KIPOLISI!!KITU AMBACHO MNGEKIWAZA NA KUKIFANYA ILIKUWA NI KURUHUSU MIKOA YA TZ VISIWANI KUJIUNGA NA MASHINDANO HAYA KULIKO KUPANGUA DARESALAAM.KWANZA INGESAIDIA KUONGEZA NGUVU YA MSHIKAMANO NA MSISIMKO.TFF SIL VOUS PLAIT.