NATUMAINI KILA MTU ANAFAHAMU ADHA ANAYOIPATA PALE ANAPO POTEZA SIMU UKWELI KIKUBWA KINACHOUMANI NAMBA ZAKO ZA SIMU ZINAKUWA NYINGI ZIMEPOTEA.
LEO HII KUNA VIFAA AMBAVYO UNAWEZA KUWEKA NAMBA ZAKO ZA SIMU 1000 NA KUKIHIFADHI NYUMBANI. CHOMBO HIKI KINA UWEZO WA KUCOPY NAMBA ZAKO ZILIZOKO KWENYE SIM CARD YAKO NAKUZIHIFADHI.
PIA KUKUONYESHA JINA NA NAMBA WAKATI UNAPOHITAJI KWA HARAKA.NIKITU AMBACHO KILA MMOJA WETU NAFIKIRI ANAKIHITAJI.
WASILIANA NASI KATIKA NO ZILIZOTAJWA HAPO JUU BEI NI NAFUU SANAAA PIA UNAWEZA KUPIGA NO 0712404044 KWA MAELEZO.
MDAU MKOMBOZI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 21, 2008

    Kama kawaida waoshaji hatukosi yetu:
    Kwanza NAULIZA HIVI UMESEMA 'PALE ANAPO POTEZA SIMU..." kama simu yangu kubwa na inapotea na hako kadude kadogo kanapotea pia, nikipoteza hako inakuwaje au mna Backup of Backup.

    PILI: FOR THOSE WHO CHANGES OR LOST PHONES REGULARY sio kiingereza kabisa, fanyeni tafiti au toeni kazi kwa wenye fani zao jamani, halafu unauza Arusha na Dar si uweke tu kiswahili maana tangazo lote kiinglishi kibovu na walengwa wazungumza kiswahili. TUNA MATATAIZO GANI SISI JAMANI?
    HIYO DONT WAIT TO REGREAT NIMEACHIA WANYE UCHUNGU NA KISWAHILI!


    MDAU THE HAVENOTS
    OSLO, NORWAY

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 21, 2008

    Safi sana. Mimi nakihitaji kidude hiki ila sina uhakika ni sh ngapi?
    je mdau unaweza kutupa viashiria vya bei? mimi nina simu yangi ya nokia (ile mwanzo ya tochi) namba zimejaa, nyingine nahifadhi kwenye draft sms. sijavutiwa kununua i-phone ila nahitaji pia huduma ya radio ( i mean simu ya iwe na uwezo wa kupiga na kupokea, kutuma na kuandika sms, kusikiliza fm radio, na kuhifadhi namba nyingikiasi cha mia 5 na ushehe) je kidude hiki kitakidhi mahitaji yangu?

    Mdau Kiwoso

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 21, 2008

    kaygee_boni@hotmail.com
    aisee hebu post bei, jina kamili, na ikiwezekana kama vinapatikana tanzania hii nianze kufuatilia fasta. natumia computer yangu kuhifadhi contacts(sysnchronization) ila nafikiri hako kadude katafaa pia.maana usafiri wa public huwa unanicost angalau mara 2 kwa miezi sita kuibiwa simu.he!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...