Home
Unlabelled
punda-miliazzzz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyu ni punda chotara!!!
ReplyDeletemimi nadhani tumwite
ReplyDeleteDoze - ni kifupi kwa king'eng'e au kimatumbi
do = donkey
Ze = zebra
asante
Mkulima
khaa!
ReplyDeletemshamwita ndama then mnauliza anaitwaje! HUYO NDAMA
Ebwana ndo maana akaitwa
ReplyDeletePUNDA - MILIA, ikiwa na maana ya punda na mistari yake , yaani milia.
Hivyo huyo sasa ndo punda mlia kamili wa kufuga na wala sio wa porini.
HABARI BAROZI WA ZAIN,aina hii ya punda inapatikana sana Congo DRC anakuwa punda mwenye rangi moja lakini hiyo mistari kama ya punga milia inakuwa sehemu ndogo sana ya mwili wake na uko Congo aina hii ya punda inaitwa OKAPI.
ReplyDeleteNDIYO TUSEME HAKO KATOTO NI HAFCAST
ReplyDeletebaba ni pundamilia na Mama ni Pundakihongwe.Hivyo mtoto aitwe Hongwemilia
ReplyDeleteNIPOINT FIVE(CHOTARA)WaKipundamilia na Farasi.
ReplyDeleteHuo mchanganyiko hauna jina la kiswahili kwani si kawaida kuonekana. Kuna mfanyabiashara mmoja mkubwa mwenye asili ya kiasia wa mjini morogoro aliwahi kuwa na punda wa namna hii,labda aulizwe walikuwa wanamwitaje!!
ReplyDeletepunda milia wa hiyo rangi anapatikana jamhuri ya democrasia ya congo tuu. anaitwa OKAPI. kama yupo tanzania itakuwa kwa mara ya kwanza duniani maana huyo punda anapatikana congo tuu. kaka michuzi chunguza.
ReplyDeleteHUYU NI ZELUZELU. NI KAMA MI NINA BINAMU ZELUZELU
ReplyDeleteKwa kiingereza Zonkey au Zebroid/zebra mule
ReplyDeleteAnaitwa ZONKEY!
ReplyDeletekuna mdau ametoa comentzzzzzzz ila huyo ni chotara na si OKAPI. OKAPI.... haishi zaidi ya congo kwa sababu maeneo hayo tu duniani ndiyo inapatikana aina fulani ya majani ambayo mnyama huyo anakula.. agalia vizuri hiyo picha si ya kuchanganya but ni real image...
ReplyDeletekwa picha ya okapi sahii fungua hapa....http://groinstrong.com/wp-content/uploads/2008/06/okapi.jpg
.
Comentzzz kama zako kwa huku kwetu kilimanjaro tunaziita (Radio THB)
mdau Moshi
Jamani kwani mmeambiwa hii picha imechukuliwa Tanzania?
ReplyDeleteAmesema ametumiwa sasa achunguze nini? Kama wanapatikana Congo au sijui wapi huko who cares?
Mmeulizwa aitweje period hayo mambo mengine ya nini?
Jifunzeni kujibu maswali kiufasaha
Aitwe Zebra the Donkey au Donkey the Zebra
ReplyDeleteDUME NANA HAPO "PUNDA" AU "PUNDAMILIA" ?
ReplyDeleteHuyu si 'mule' kweli? Ni kama hybrid ya Stallion na Donkey.
ReplyDelete