NGUO YA BI HARUSI PAMOJA NA WAPAMBE IMEDIZAINIWA NA JOHA SIMBA WA UPANGA
MAARUSI WAKIKATA CAKE

MAWIFI NA MAARUSI



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. kama bi jokha ni hodari hivyo mbona anamshonea nguo mwanae kama babie?

    ReplyDelete
  2. misupu we mbona hueleweki! sasa kila mtu akiweka picha za harusi yake itakuaje jamani. embu tuchuje mambo ya kuweka na kuacha!

    ReplyDelete
  3. Anon wa kwanza naomba nikufahamishe vinzuri Joha Simba aliyedidesign hizi nguo ni Mwenyekiti wa wazazi kata ya Upanga na pia mjumbe wa halmashauri kuu ya NEC na siyo Joha Lemki ambaye na yeye pia ni fundi wa nguo na sio deigner

    ReplyDelete
  4. watu wengine bwana. Sasa we anony wa 2:18... naona hata post chini ya Hakingowi na Wilna umecomment. ambacho huelewi nini? kama humuelewi si ule kona, umelazimishwa kusoma blog hii? Blog = web log. it is a personal log/diary, na mwandishi ana uhuru wa kuitumia atakavyo yeye ili mradi havunji sheria. Usipopenda yaliyomo humu fungua blog yako na wewe. Hii ni blog ya jamii; inaweka mambo yahusuyo jamii kuanzia habari za ndani na nje na pia taarifa za wadau aka wanajamii wanapokuwa ktk vakesheni, wanakula nondo, etc

    Isitoshe, baadhi ya picha zinazowekwa ni picha alizopiga Michu mwenyewe au watu wake wa karibu, hivyo anatangaza biashara

    ReplyDelete
  5. Ongera da Joha, keep it up
    Mdau, UK

    ReplyDelete
  6. kwani hawa ni wakina nani katika jamii maana picha hazieleweki kaka. uwe unaweka na ufafanuzi basi.
    ni hayo tu.

    ReplyDelete
  7. wewe McZobi ndio ule kona, michuzi kakuambia hii picha kaipiga yeye? kama ishu ni kutangaza biashara si aseme basi,ili tujue kuliko kila kukicha kutuwekea picha za watu ambao hawatambuliki kwenye 'JAMII'.. hii si blog ya JAMII bwana?

    ReplyDelete
  8. Acheni ubinafsi nyie mnaolalamika picha za watu kutolewa kwenye blogu, hili ni gazeti tando halina tofauti na gazeti la kawaida na kazi yake ni kupashana habari. Utawajua watu wote huku duniani utaweza? Na hao picha zao za harusi zinazotoka magazeti ya kawaida watu wote wanawajua?

    Hao maharusi wenyewe ndio wameamua picha yao iwekwe kwenye blogu wanatangaza ndoa yao kwa ndugu, jamaa na marafiki na kuwapasha wengine ambao pengine wako nje ya nchi, umaarufu hapa katika Jamii unakujaje? Huku sasa ni mwanzo wa kujenga matabaka, mbona maharusi ta watu wanaoishi Ulaya na Marekani yanatolewa humu kwenye blogu ya jamii na hamlalamiki ila za kutoka Bongo ndio mnalalamika. Hiyo ni dalili ya inferiority complex, kila mtu ni maarufu kwa namna yake na yuko kamili sio lazima ajulikane kama Papaa Msofe au sijui mwanasiasa gani au sijui nani na nani waishio nje.

    Michuzi endelea kutoa picha na siye tunatazama after all wenyewe wamekuruhusu utoe picha zao anayeona anakerwa apite akiona hiyo picha atafute kitu kingine aangalie!

    Hongereni maharusi mmependeza!!

    ReplyDelete
  9. Hongera jamani, mungu awajalie maisha yenye furaha na amani, na bi harusi ujifungue salama, AMEN...maana hali inaonyesha wazi, somebody is expecting...teh teh

    ReplyDelete
  10. we anony wa 7:20 kajifunze kiswahili. Unajua maana ya neno BAADHI? Sijasema zote kapiga yeye, and more specifically, sijasema hii kapiga yeye. Some uelewe mbumbumbu, ndio maana umefeli hata vidudu. Nimesema baadhi anapiga yeye, baadhi watu wake wa karibu so zinawekwa kama tangazo humu. Na kwa kuongezea hata zile ambazo hajapiga yeye anaweza kuziweka vilevile for whatever reason he feels like. At the end, blogu ni kitu binafsi, na kama Misupu akiamua kumuweka fulani ni kwa raha zake. We kula mbele

    ReplyDelete
  11. hey hebu nyamazeni hamumlipi michuzi and this is what you get when you have a free blog....matangazo ndio yanamlipa

    designer wa nguo keshachangia hapo. kama hamtaki matangazo basi mumlipe



    Ila kwa bibi harusi I feel for you ....mawifi wote hao!!!! kazi unayo.....

    ReplyDelete
  12. Mithupuuu! NIAZIME ile bakora yangu nlokuazima umchapie mamou kwa kukuanika ndani ya blog kuwa unambania vijisenti!
    Nataka nimchapie huyu anayechonga tusiwekewe wedding pics, ana nini hassa hovyoo! anafkiri watu wote wapenzi wa kusoma riwaya? na alete na yeye picha yake aloolewa ndoa ya mkeka tuibandike, chuki mavi ziishee!
    Maharusi mmependeza na hongereni sana na aunt jokha hongera sana kazi nzuri. Msalim Fatuma!

    ReplyDelete
  13. mczobi acha kupepeta mdomo.. HATUTAKI SASA PICHA ZA WATU,unalazimishia? we vipi wewe. na we unalipwa kumsupport au,ndio udeiwaka huo? usitukane watu,kisa umeongea pumba

    ReplyDelete
  14. Maarusi na wapambe wao wamependeza sana, hiyo ni kazi nzuri ya deisgner bijoha, nawaaombeeni kila la heri ktk ndo yenu, ila kwa msaada zaidi tunaomba no. ya simu ya bijoha ila na sisi hakatufanyie mambo thanks

    ReplyDelete
  15. Jamani hako kababy ni kanzuri sana nimekapenda sana

    ReplyDelete
  16. Huyo mtoto anaitwa Tonna, ni mtoto wa hellen nimefanya naye kazi, kwa kweli ni kanzuri sana tena hii picha haijamtoa ki haswa haswa hongera mama mzaa chema na maarusi hongereni sana

    Thanks

    ReplyDelete
  17. wala hamueleweki, mbona huyo mtoto wa kawaida? halafu huyo aliyemsifia mtoto kwanza ndo aliyetoa na comment ya kumu-introduce, kwani kuna nini haswa? nahisi kama vile mnatafuta kaumaarufu kweli...

    maharusi hongereni ila bi harusi ungecheka vizuri, au una mimba? ha ha ha ha haaaa

    ni mawazo yangu tu

    ReplyDelete
  18. "kula mbele??"
    pichaz za bethidei,,,teh teh tih tih adi raha hii blogu ya ze fulanaz michu

    ReplyDelete
  19. wadau ustaharabu wa fikra ni muhimu kwa wana blogo.... hapa si mahali pa matusi na kejeli.... nafurahi kuona picha hizi za brother george hongera sana... blog hii ni kwa ajili ya kupashana habari na si kwa ajili ya kuweka watu maharufu... walio maharufu ni kina jeethu patel na timu yake ya EPA... hongera mama mdogo Hellen na Keth...... Mdau Tonna umependeza sana..... Du dada Mary kumbe ulikuwepo kwenye jopo la wapapambe.... wapambe mependeza sana.... nafurahi kukuta picha hizi zako za harusu kwani hata sisi wadau tumejua kuwa umepata jiko bila kuperuzi blog ya jamii hapa ofisini kwangu nisingepata yaliojiri hivi karibuni.. katika jamii...nawatakia kila la heri kwenye safari ya maisha mapya...
    Mdau Moshi.

    ReplyDelete
  20. MAWIFI NAO HAIJAMBO!BIBIE KUWA MAKINI.

    ReplyDelete
  21. Mbona humu kuna mtu anapinga sana picha ya hii harusi kuwekwa humu? Kwani hii ndio picha ya kwanza kutolewa kwenye blogu? AU ANA LAKE JAMBO? UMETOSWA NINI, MPAKA KILA UKIONA PICHA YA HARUSI YAO UNASIKIA KICHEFUCHEFU? OYAAA MCHUMA NDIO USHAONDOKA HUOOOOO!! Wewe baki kupiga kelele sitaki picha za harusi sitaki nini utafikiri unamiliki hii blogu!! Tafuta mwingine wako wengi haooooooooo!

    ReplyDelete
  22. Huyo mwenye kusikia kichefuchefu labda mjamzito achana naye hongera zako

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...