
Barack Obama akila nondozz wakati wa mahafali ya kumaliza sekondari shule ya Punahou School mwaka 1979 huko Hawaii (samahani, sio Jakarta, Indonesia).

mama na mwana

Akipongezwa na nyanya yake wakati wa mahafali ya kumaliza sekondari . Hawa ndio waliomlea alipokuwa Hawaii wakati mama yake alipokuwa anaishi Indonesia.

enzi za ujana wake huko Hawaii

akiwa na baba yake wa kufikia na mama pamoja na mdogo wake Maya

Barack Obama Sr. akipozi na mwanae huko Honolulu alipokwenda kumuona. wakati huo Obama mdogo alikuwa darasa la tano

Barack akiwa bado dogo

Barack Obama na babu na nyanya wake Stanley na Madelyn Dunham walipomtembelea mwaka 1982 huko New York ambako Obama alikuwa akisoma chuo kikuu cha Columbia university.

Barack Obama akiwa na nyaya yake kwa upande wa baba, Sarah Hussein Obama

Toka shoto ni dada yake Auma, mama ya dadaye Kezia Obama, Obama's nyanya wa kambo Sarah Hussein Onyango Obama na ndugu mweingine. Juu wa kwanza hajatajwa, Obama mwenyewe, kaka yake Abongo (Roy) Obama na wanaofuata hawajatajwa.

Mungu ampe nini tena Obama na familia yake... Donda?
Obama's first morning as president-elect was spent in more prosaic duties. He had breakfast at home in Chicago with his two daughters, then headed to the gym for a workout. He planned a stop at campaign headquarters later to thank his staff.Obama won at least 349 Electoral College votes with two states still too close to call. With 96 percent of the popular vote counted, he led McCain by 52 percent to 46 percent.
Democrats gained at least five Senate seats and about 20 in the House of Representatives, giving them a commanding majority in Congress and strengthening Obama's hand. Four Senate seats remained undecided.
ahaa obama huyo na ua lake kweli riziki ya mtu usilalie mlango wazi wa kushinda ni wa kushinda tu,jamaa ana akili nyingi sana + msomi, anastahili kuwa na akili zinazomwagika zenyewe kwani inasemekana babu yake mzee baba ni mhaya wale wasomi waliotukuka kwa kupenda elimu, hongera obama