eve e akijirusha katika pati ya kuwakaribisha bongo. usiku huu yeye na fat joe pamoja na p-square toka nigeria watatumbuiza viwanja vya gymkhana. ay na mwana fa watazindua albamu yao pia kwenye steji hiyo hiyo
fat joe akijiunga kwenye pati mara tuu baada ya kuwasili usiku wa manane kuamkia leo
dj wa eve e na wa clouds 88.4fm wakikamua usiku wa kuamkia leo kwenye pati ya ukaribisho
eve e akijichanganya kwenye pati hiyo
fat joe na wenyeji wake
wadau toka kila kona walialikwa kwenye pati ya ukaribisho
fat joe akohojiwa na dj mully b wa clouds huku chriss akingoja kurusha yake
fat joe akipungua mashabiki baada ya kuwasili dar usiku kuamkia leo

eve e akipozi na mdau iddi na mai waifu wake

mdau deo kapiteni hakucheza mbali
michuzi jnr akifuata nyayo za konozzzz















Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. Wabongo mnapenda sana kujilamba ndo maana skendo za mafisadi hazitoisha...juzi kati joe alikuwa leaders kesho fat joe, eve + psq....jamani nipeni hizo dili nisake hayo mahelaaaaaaaaaaa, BONGO TAMBARALE

    ReplyDelete
  2. BONGO TAMBARAREEEEE!
    WABEBA MABOX MNALOOOOO!

    ReplyDelete
  3. Hawa waandaaji wameboa tena wameboa saaaaaaaaaaaaaaaaaaana, kwa nini mliweka kwenye sehemu ambayo haiwezi kuchukua watu wengi??? memboa to the maximum, sasa mlivyokuw amnatangaza getini itakuwa 15 alafu wanageuka kusema hakuna kulipia getini maana yake nini?? Sio wote ambao wanamuda wa kwenda kukata ticket kwenye vituo mlivyovitangaza bwana, watu tulikuwa tunasubiri tuje kukata hapo hapo getini leo mnaleta pumba zisizo na maana as if hamkwenda shule kha, mnaboa sana

    ReplyDelete
  4. Is Fat joe the first Puerto Rican American wherever in Africa?

    ReplyDelete
  5. Waste of valuable resources!People, remember we are spending hard cash to bring over those Americans - I mean we paying them in dollars.

    This business is not helping our economy at all, it only benefits a bunch of few watoto wa mjini.

    On the flip side, it could work really well, if we harnessed their influence to promote our tourism.But I don't think they are.

    ReplyDelete
  6. we any 3:21 usishindane na wabeba box hao wameshachokwa huku tunavinjar na kina kanye, lil wayne na hiyo hela wanaochukua kina kisaga si tunawaona chin ya hapo nan mjanja sasa?

    ReplyDelete
  7. kwani nyie wabongo hamna wasanii wenu wenyewe mpaka mkawadoea mababe hao wa nje kuwaburudisha!

    ReplyDelete
  8. Mke wa Idd Janguo ni mwarabu na bado anazidiwa weupe na Eve. Kweli Wamarekani weusi warembo!!! Aliyeona hata kipele kwa Eve aniambie

    ReplyDelete
  9. DEO KAPTENI BADO UPO, UNAFANYA NINI SIKU HIZI NA UPO WAPI? NAONA SASA UZEEE HUO UNAKUNYEMELEA.

    ReplyDelete
  10. MKE WA IDDI JANGUO KWA NINI ALWAYS ANAVAA KILEMBA?

    ReplyDelete
  11. duh kumbe uzuri ndiyo weupe? kazi ipo

    ReplyDelete
  12. Huku kwetu unguja, ukiwa na hela ya kifisadi ili uonekane upo njema kwelikweli lazima uowe mwarabu...nd maana wazee wetu wakipewa shavu serikalini tu utaona anaoa mwarabu, akipiga dili yakiepa anatungua mwarabu....kwa ufupi ni dili ni wavivu sanaa yani wanahitaji services kama disable

    ReplyDelete
  13. Deo Captain pale Nyegezi social mwanzoni mwa miaka ya tisini alijulikana kama DEO SUPER. Totos walimpenda sana. Uko wapi siku hizi Captain? Nakukumbuka wewe na yule bibi yako wa NBC miaka ile. Mlikuwa mnapendeza sana.

    ReplyDelete
  14. Lets take serious note, kuna mtu amesema is this wanamuziki wa marekani kuja sana bongo kunamsaidia mtanzania au mmarekani?
    If inamsaidia mmarekani, who need much more help, mmarekani au mtanzania?
    How is helping mtanzania?

    ReplyDelete
  15. Naona hapa ni hadithi ya sizitaki mbichi hizi! Hakuna la ziada, watu wanasema bongo maisha magumu, na kulaumu serikali hivi ni kweli maisha magumu? au maisha magumu huko vijijini maana tangu septemba ni kuona mapicha ya kujirusha, mara kujiramba na kote huko watu wanajaa kibao wanaingia na nini, mawe? Si Tanga, si Arusha si Dodoma si Morogoro na tangu watu wameanza kujiramba, ni starehe tu mtindo mmoja au ndio hadithi ya pinochio livu kuanzia januari mpaka disemba?

    ReplyDelete
  16. MIMI nilidhani E V E ndio Eve kama mwenyewe anavoyojiita sasa mbona mnaandika EVE E, NILIDHANI anasema EVE kumaanisha jine lake linavyotamkwa Eve, sasa mbona hapa kumeongezwa E ya nini? mmhhmmh kingereza!!!!

    ReplyDelete
  17. http://www.evefans.com/ http://en.wikipedia.org/wiki/Eve_(rapper)
    angalieni hapa kwenye web huyo dada

    ReplyDelete
  18. jamani mbona watu mna wivu sana kibaka aly alikuja kuwarusha weeeeee haatukusema kitu nyie wakija kinafulani ambao mpaka leotunajirusha na nyimbo zao mnamind. mobni mambuuuuuuuuuu baaaa ache wivu , kwani wivu kuuuwa

    ReplyDelete
  19. uzuri ni weupe???duh!!
    mikonozzzzzz yan kila dume apo bongo ni konozzz kwa dadaz,,sijui wehu gani huu?
    ebu cheki uyo dada na uo uchi apo matiti yamebandikwa sijui nini!!hhahaaaaa cheki iyo chupi ndefu nyeusi picha ya kwanza,,,kaaaazi kweli-kweli

    ReplyDelete
  20. uyo jamaa mboni nanihinoo ch@'#~*pi iko nje picha ya 3 toka chini??
    ila nawamind kinoma p-square jamaa wana tht songi la ooiyeyeiyeee
    hahaaaa

    ReplyDelete
  21. Mke wa Idi anavaaga kilemba ku-substitute Hijabu, utaenda kumuona EVE na Hijabu? Anajua Style ndo maana. Umependeza mwayego with the yellow nakshiz.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...