hayati Zeyana Seif akipozi na wafanyakazi wenzie wa BBC London enzi za uhai wake. Picha ni kwa hisani ya BBCSwahili.com
Akimzungumzia marehemu, Bw. Solomon amesema alikuwa mcheshi na mchangamfu, na daima alikuwa tarari kutoa msaada wowote katika fani ya utangazaji.
Alistaafu mwaka 2005.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema
Imeandikwa na Mwandishi wa BBC
Zeyana Seif, mwanamke wa kwanza kabisa kusoma habari kwenye redio, katika BBC, hatunaye tena. Amefariki ghafla jana huko London.
Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili, Solomon Mugera kwa niaba ya shirika la Utangazaji la Uingereza BBC ametoa pole kwa ndugu na jamaa za marehemu.
Akimzungumzia marehemu, Bw. Solomon amesema alikuwa mcheshi na mchangamfu, na daima alikuwa tarari kutoa msaada wowote katika fani ya utangazaji.
Alistaafu mwaka 2005.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema
-----------------------------------------------------------------------------
GLOBU YA JAMII INATOA POLE KWA FAMILIA YA MAREHEMU PAMOJA NA WADAU WOTE WA BBC CHINI YA UONGOZI SHUPAVU WA BW. SOLOMON MUGERA. MOLA AIWEKE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI.
-MICHUZI
RIP...ZEYANA SEIF..
ReplyDeleteZEYANA I LIKED ,ADORE YOUR VOICE,GOD KNOWS.I M GOING TO MISS U SOOOOOOOOOOO MUCH ZEY.MAY GOD REST U IN PEACE.YOUR SECRET ADMIRER.
ReplyDeleteMemories of Those who now have gone
ReplyDeleteNo matter how the waves of life may toss
May the Happy times and Memories linger on
Enfolding us with warmth sublime and sweet
Imparting solace in our minds and heart
Remembering our Loved ones we will meet
For we are only temporarily...apart
new soul has entered heaven
ReplyDeletethat is why the angels sing
To escort them to the throne
to bow before the King
In heaven there's a party
a great big celebration
Welcoming a new resident
as they gather in jubilation
When the gates are opened
the choirs of angels sing
Joy has filled the heavens
as they're presented before the King
Sorry About Your Loss
Life is here and suddenly gone
ReplyDeletefor some it's short, for others long
The answer lies beyond our reach
it's for us to learn and not to teach.Sleep peacefully zeyana
Goodbyes are not forever
ReplyDeleteAnd nor is it the end
When angels come to call away
A loved one or a friend.
The empty place that’s left behind
Within this world we know
Reminds us just how brief a stay
We have before we go.
So when it’s time to bid farewell
To one we’ll dearly miss
Let’s just say we’ll meet again
Ina lilahi waina ilahi rajiun...May Allah grant her paradise...Ameen,suma Ameen
ReplyDeleteNimejawa na huzuni kweli kwa taarifa za msiba huu.
ReplyDeleteUlale pema Zeyana!
Tutakukosa!
SI KWELI KUWA NI MWANAMKE WA KWANZA KUSOMA TAARIFA YA HABARI BBC! WAPO KIBAO TYU WALIOSOMA KABLA YAKE!
ReplyDeleteAnon Dec 31 7:39 Asante kutujulisha au kupinga kuwa hakuwa mwanamke wa kwanza kutangaza Khabari BBC lakini huna la ziada la kusema kwa hayati, aidha kwa wafiwa? zaidi ya kusimama kidete na kukanusha hapa,kifo ni kwa kila mmoja lazima aonje mauti, onyesha angalau rambirambi basiiiii.au mwenzetu uzungu ushakukolea?
ReplyDeletePoleni wafiwa.
Inna lilah wa-inna illah rajiyn.
Nadhani si uungwana na ubinadamu Natumaini fursa hii kutoa mkono wa pole kwa familia na sekta ya habari za Kiswahili pamoja na washika dau wote wa utangazaji wa habari. Napenda pia kusema kwamba, kuanza kubisha kwanza hakuwa mwanamke wa kwanza kusoma habari BBC, watu wengine ni watu wa ajabu sana yaani daima hufukuta joto la ubishi, kweli jamani katika mazingira kama haya badala ya kuwapa pole kwanza wafiwa halafu baadaye kama un comment yako uto, lakini si kuvamia tu na kuvamia ubishi, tuwe waungwana. Kwa hakika sekta ya habari imepoteza mtu muhimu mno.Natumia fursa hii pia kuungana na wananchi madhulumu wa Palestina inayokaliwa kwa mabavu na wazayuni maghasibu hasa huko Gaza kutokana na mauaji na jinai za kinyama zinazotekelezwa na maadui wa Kizayuni. Nilituma changamoto yangu wadu wajadili mashambulio ya Gaza dhidi ya Wapalestina, lakini kama kawaida nikatiwa kapuni, no sweti iko siku braza michuzi ataacha ukiritimba na ubaguzi.
ReplyDeleteNatowa pole kwa wafiwa.
ReplyDeleteMimi naomba tubadilike na tuaache kutoa taarifa za uongo kwa marehemu. Huyo bwana alilopinga yuko sawa kabisa. Marehemu hakuwa mwanamke wa kwanza kusoma Taarifa ya habari BBC.Na ukweli utabaki kuwa ukweli.Watanzania huwa mnanikera sana kumsifia mtu akishakufa. Lakini kwa nini tudanganyane.