Kaka, Habari za safari? Unapata internet wapi ukiwa vijijini? Au unatumia mitandao yetu ya simu? Natumia Zain nikiwa mikoani na inanisadia sana kitechnolojia....
November 2008
miriam odemba (kati) akiwa na basilla mwanukuzi (shoto) na tassy kwenye shoo enzi h...
barbeque ya tembo katika maandalizi Kaka hiyo ni nyama ya tembo niliifumania kijiji kimoja ikikaushwa baada ya tembo huyo kuwindwa na watalii, hapo ni...
Salam Bro Issa Michuzi, Ni Mpenzi na Mshabiki wa blog yetu ya jamii nikiwa naendeleza libeneke hapa Edinburgh Scotland Uk.Kwa niaba ya Jamii ya watanzania...
Model RANGE ROVERYear 2000Type: Station Wagon 4 X 4Mileage: 60,000 kmsInterior: LeatherColour: Deep Dark GreenPetrol EngineExtras : AC, CD Changer, Stereo,...
mdau julius akiwa katulia rock city. chini na wadau wengine na ndani ya kirumba Kaka michuzi,hivi karibuni nilibahatika kusafiri nikafika rocky city...
Meneja wa Huduma za Jamii wa kampuni ya simu ya Zain Tanzania, Tunu Kavishe(kulia) akifafanua jambo kuhusu Zain inavyotoa huduma kwa jamii, kwa wanafunzi...
kijasti akiwajibika Mambo vipi mdau wangu, Mimi mzima kaka, kipindi hiki niko kwa watani wa jadi (Nairobi) nashiriki mradi wa animation. Mradi huu uko...
Super model Sasha(Cutie Malisa) ni mrembo aliekuwa kileleni mwa mafanikio,nafasi ambayo kila mschana wa leo angependa kuwa nayo. Pressure ya kazi pamoja...
Mwasisi wa mziki wa reggae nchini Tanzania Jah Kimbute,atapanda jukwaani mjini Tempere,Finland,siku ya tarehe 7 February 2009 katika onyesho kubwa la...
the debaters and moderator prominent people from all over attended CHADEMA chairman Hon. Freeman Mbowe prepares to leave after the session Ayoub Mzee...
JK akihutubi Mkutano wa awali kujadili zahama ya mfumo wa fedha duniani na jinsi ya kugharimia maendeleo duniani leo jijini Doha, Qatar JK akihutubia...
Waziri Mkuu wa Msumbiji Mh. Luisa Diogo akisalimiana na Mama Maria Nyerere wakati alipomtembelea nyumbani kwake Msasani Jijini Dar kwa ajili ya kumjulia...
Wadau wa Songea na vitongoji mnakaribishwa kwenye Tamasha la UKIMWI linalotarajiwa kufanyika katika Uwanja wa MajiMaji kesho Jumatatu Tarehe Desemba...
JK akiwa na Mwenyekiti wa tume ya Umoja wa Afrika Mh. Jean Ping Heko JK, huu ndio utawala wa sheria(Tahariri ya gazeti la Kulikoni la November 28, 2008)MOJA...
sikiliza hotuba ya obama na mambo mengine kibao ikiwa ni pamoja na muziki wa bongo kwa kwenda globu mpya ya http://kibambaccm.blogspot.c...
wadau Munir Shemweta Kulia) na Abdulwakil Saiboko wakiwa na mai dota wa Munir, Khairat, mara baada ya kula nondozzz zao za Shahada ya kwanza ya Mawasiliano...
tabia mwanjelwa akiendeleza libeneke huko ujerumani. chini ni tabia alivyo leo Nani anayewezeza kubisha kuwa Mwanadada Tabia Mwanjelwa kuwa ni mwenye...
Familia ya Mheshimiwa Pius Msekwa inawaarifu ndugu, jamaa na marafiki kuwa kutakuwa na misa ya kumuombea mama yao mzazi aliyefariki 25.10.08 na kuzikwa...
Bwana Michuzi,Mimi Nimefurahi sana Kuiona hii blog yako, kwani kweli ni ya maendeleo.Kuongelea maendele napenda niwataarifu Watanzania kuwa Wachina sasa...
dj ritchie wa kiota maarufu cha maraha cha garden pub ukumbi wa 'graduates' mjini shinyanga usiku kuamkia leo. chini wadau wakiwa tayari kuserebuka humo...
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Kizuiani iliyoko Bagamoyo akipokea vitabu vya shule kutoka kwa afisa wa benki ya NBC Henry Nyondo vilivyotolewa na wafanyakazi...
Hizi taa za solar , zinatumia betri yenye kutumia mionzi ya jua , zinatengenzwa na WODSTA , (Women Development for Science and Technology Association...
Mdao John Mnamba katembelea mpakani tz na msumbiji linakojengwa daraja la umoja litalounganisha nchi mbili hizo. Chini ni daraja la muda kwa ajili ya...
napiga mchi kijijini ng'wanswenhele katika kata ya iseni wilaya ya kwimba. hapo usipotwanga na na kupepeta unaweza kuula wa chuya.... mwanakijiji upo???...
Mkuu wa wilaya na balozi nilikua safarini kidogo mitaa ya Peramiho nikaona nikupatie hii zawadi ya kikwangua anga cha peramiho kilichoanza kukwangua...
Subscribe to:
Posts (Atom)