Hii ni foleni ya luku katika sheli ya BP ya red cross hapa dar. tanesco wametangaza kwamba huduma ya luku itasimama kwa siku kadhaa kwa sababu kibao ikiwa ni pamoja na ukarafati wa mitambo hiyo. inasemekana hakutakuwa na LUKU kwa masaa kadhaa kwa muda wa siku nne kuanzia leo. Ah, afadhali akina sie twatumia karabai na vibatali...
Home
Unlabelled
LUKU kwishney dar??
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
KAKA MICHUZI ASANTE KUNIRUHUSU KELENDELEZA LIBENEKE LA KUPINGA UFISADI NA USENENE.
ReplyDeleteJAMNAI HAWA MA SUPERSTAR WA RICHMOND AMBAO WANAYAFANYA MAISHA YETU MAGUMU KIASI HIKI, MBONA HAWAJAONJESHWA SEEGEREA AU KEKO
NASHANGAA MZALENDO ANAVYOWEZA KUIFANYIA NCHI UNYAMA STAILI YA WAHESHIMIWA AMBAO NDIO WANAMILIKI RICHMOND?
KWA NINI WAZIRI MKUU ASHIRIKI KWENYE MATESO DHIDI YA RAIA WAKE STAILI YA RICHMOND? ALAFU BADO YUKO BUNGENI
MM NAONELEA HAWA WATU WARUDISHE HELA KWANZA KISHA WANYONGWE
ZIDUMU FIKRA ZA MZEE WA PAMBA JK
ZIDUMU
KIDUMU FIRKA ZA RAIS MTARAJIWA 2015
ZIDUMU
ZIDUMU FIKRA ZA MAKAMU WA RAIS 2015
ZIDUMU
MASENENE YOTE KAMA US-BLOGGER YALAANIWE
YALAANIWE
MAFISADI YOTE KAMA VIJISENTI NAYO YACHAPWE MBOKO
YACHAPWE
MALIMBWENDE YOTE YANAYOVUNJA MAGARI YA WATU YAOMBEWE DUA MOLA AWASAIDIE
YAOMBEWE
MKEREKETWA, YOMBO VITUKA!!!!
-------------------------------------------------
Dakika 30 za Internet Café Zimekwisha
swali ni moja tu, hivi lini vitaanza kutandikwa viboko jamani?? umeme wenyewe ni asilimia 9 tu ya nchi inaupata, halafu kuupata yenyewe kwambinde kama hivi!!
ReplyDeleteJe Tunarudi kwenye enzi ya foleni za Mikate, Nyama, Sukari, Sembe, Mafuta, Petroli n.k. .... Sijui tunakoelekea... leo nimekaa kwenye foleni baada ya siku nyongi sana, imenikumbusha utoto wangu wakati nilikuwa nikitumwa kuunga foleni ya maziwa na mikate hapo kwenye raoundiabout ya DTV... Masaa tatu mpaka gari la SIHA ije... tukumbuke tulikotoka.
ReplyDeletejamani foleni sio kitu cha ajabu, huku ulaya kupanga foleni ni kwa kila kitu cha kununua,na wala sio ajabu , na kama kuna matengenezo ni kitu cah kawaida katika teknolojia. so sio ajabu.
ReplyDeleteweweww unayesema huku ulaya uko ulaya ya wapi? Russia? Ondoka huko haraka sana
ReplyDeleteEXCUSE ME, YOU SAID TANESCO WAMETANGAZA, WAMETANGAZA WAPI??? DID YOU CHECK WITH PUBLIC RELATIONS MANANGER BEFORE MAKING SUCH STATEMENT??
ReplyDeleteDuh macho yangu au maana nimetamani kulia,bongo tambarare?watu wamechoka mpaka inatia huruma!!!
ReplyDeletemmmmh nitaendelea tu kubeba box period!