globu ya jamii inakualika kufurahia ngoma ya mganda toka kusini mwa nchi yetu
Home
Unlabelled
ngoma ya mganda
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
globu ya jamii inakualika kufurahia ngoma ya mganda toka kusini mwa nchi yetu
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bro Michuzi umenikumbusha mbali kwa Ngoma hii, hii ndiyo ngoma ya kwetu,wakati natoka kufanyiwa suna mimi na mdogo wangu hapo Dar tulipigiwa ngoma hiyo.
ReplyDeletehalafu babu alichumbia bibi kule nyasa kwa sababu ya kuwa mtaalamu wa ngoma hii.
MITHUPU UMEKOSEA BWANA NGOMA HII SI YA KUSINI BALI NGOMA HII NI KUTOKA NYANDA ZA JUU kUSINI YAANI MBEYA NA SEHEMU ZA MWAMBAO WA ZIWA NYASA.
ReplyDeleteKULE MWAMBAO WA ZIWA NYASA INAFAHAMIKA ZAIDI KAMA MGANDA NA INAFANANA KABISA NA LIN'GOMA YA WANYAKYUSA
Natamani kama bendi zetu au wanamuziki wetu wangechukua mirindimo ya hivyo vigoma na kuvitengenezea muziki kuliko kutuibia na muziki wa kikongo
ReplyDeleteWow Bro Michuzi umenikubusha kunyumba!!! We acha tu. Asante sana.
ReplyDeleteMIMI SIONI PICHA michuzi hii ni mara ya ngapi sijui unabandika vivuli/utupu....
ReplyDeleteni ngoma ya wakisi Ludewa-kando ya ziwa nyasa!!
ni hayo tu
Kaka michuzi asante kwa kipande hiki cha ngoma ya mganda. Mimi ni mnyasa au mkisi asilia kabisa, kutoka katika ukoo wa akina Mwinuka, kumbe nilipoiangalia video hii nilifurahi sana.
ReplyDeleteCiao, al prossimo.
Asante sana kaka Mithupu. Leo umenikumbusha kulikuli nyumbi hii bombi hii. Yani nyumbani kabisa.
ReplyDeleteNgoma ya Songea hiyo na wachezaji ni very smart. Nguo na soksi nyeupe. Na huchezwa na wanaume tu.
Nimefurahi sana kwani nimekumbuka sanaaa nyumbani. Kiasi kwamba nami ilibidi nisimame na kucheza. Ngoma ya kunyumba
ReplyDeletenimecheza sana hii ngoma
ReplyDeleteMganda upo pia USA
ReplyDeleteAngalia movie drumlines
Tofauti ni matarumbeta na drums
Umenipeleka kwetu kabisa, ni miaka mingi sijaiona hii ngoma!! clip ni fupi, ahsante!!
ReplyDeleteWe mtoa maoni wa pili what are you talking about? Haloooo!!! huwezi kufananisha ling'oma la mwanyakyusa na mganda wa kimanda au kinyasa.There ate two different things. Nie nimekaa saana Tukuyu nalijua saana ling'oma na vile mimi ni mmanda mwana paroji/ mwana pa machi. Mganda wa kimanda bwana mambo bila jasho wewe ni step tuuu, yaani ni hapa one step hapa, hapa two step hiyo kula mndunduuu mnduuuuu nduuu.Lakini ling'oma ni mafilimdi tuuu kudance kwa nguvu kukatita kwa nguvu majasho tele
ReplyDeleteNgoma safi, Ila 'very poor, extremely embarrasing, disgusting Video Recording!!!), au bw. Video naye alikuwa akicheza Mganda?
ReplyDeleteYES! Hii ngoma ya kwetu! Mganda, ngoma ya bila jasho! One stepu, two stepu.....
ReplyDeleteAsante sana Kaka Michuzi.
Mdau hapo juu nilitaka kuandika ulivyoandika watu wengi hawatofautishi ling'oma na mganda labda mambo ya uniform.
ReplyDeleteChemi wewe ni mkisi au mmanda? Nimeshtuka unaweza kuwa ndugu yangu.
ReplyDeleteMichuzi asante saaaana kinikumbusha mbali.
ReplyDeleteNaomba mmanda yoyote basi anayeujua umanda na asili amalizie huu wimbo tukumbushane kule ulipotoka huu mganda.
"
Mbereketo yakooo weeeee
hep hep hep
Tenga tilela malelo,
Magunga afiya mwana, mwana ayii kuchihoro kusoko la ........ kwa basinyusi ........
ena dadi
ena dadi nileki
nikandole mawu
ena mawu
ena mawu nileki
nakandole mawu
"
msengiwili mwawalongo wangu woha,
nenga nanjinu kuhuma kutuhi.
Kule Nyasa original tunaita Malipenga. Msiojua hii ngoma mkae pembeni. Asante kak akwa kunipeleka kule kwetu Likoma, Nkata bay, vwawa, nkhota nkhota .
ReplyDeleteKaka Umenikuna kweli...loh!
ReplyDeleteAye ngoma ya kunyumba walongo wangu, nifulihi sana!
Michuzi
ReplyDeleteUsengwili muni kutivekela kindu eke kya kunyumba (MGANDA). Nenga na Mmanda wa kuhuma kungelenge kwa Nkamanga.
Michuzi udumu milele, kwa jinsi nilivyo furahi hadi nikaanza kusema kikwetu. Naomba safari nyingine uweke hadi magubu tuyasikie yakiongozwa na TINARA.
Asante sana