Home
Unlabelled
kajivekesheni...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mzee wa libeneke, papa mwenyekiti, hiyo vakesheni ni kigamboni nini. because nakaona kamnala ketu kakuongoze meli ka pale feri.
ReplyDeleteMdau Norway
mh bado kidogo tu tutaona unatuletea pics za mtalaa wetu. make vekesheni zako huwa ni zake!!! mbona husemi ni wapi huko??? zenji au??
ReplyDeletekaka hiyo ngoma hapo chini tutapona kweli ama uko lazima huende na cheti cha ndoa sehemu sehemu make inavyochezwa inanimbusha ngoma fulani ya Tanga hapo mambo ya mnazi kwa kwenda mbele.kaka lakini unafaidi mengi hapo najua ni Pweza,chuchungi na mihogo hakuna chipsi mtaani ukizoea shavu dodo, kila la heri kaa.
ReplyDeletefisadi dagaa...mambo?
ReplyDeleteila una mapozi ya pichazzz
hahahahaaaaaa
Usisahau kuagiza urojo pale forodhani! tafadhali tuweekee snaps ukifika. Nina assume ka-vacation ni unguja ama waelekea pemba?
ReplyDeleteHON.DC WA NANIHII TUPE MAVITU YA ZENJI NAKUOMBA SANAA TENA SANAA MKUU NIPATIE TASWILAZZ ZA KABURI KIKOMBE,MCHAMBA WIMA NA SEBURENI PIA PALE MALINDI ILE NYUMBA YA MZURI IKOJE KWA SASA
ReplyDeleteBado vekesheni mbili tu ili u-qualify kuwa fisadi kama wenzio akina nanihiii wa Igunga na mwenyekiti wa makampuni ya nanihii.
ReplyDeleteNdio maana jamaa wa JF wanakufuatilia na kutilia shaka vekesheni zako.
MICHUZI NAONA HUJAKOMA KUSEMA VIKESHENI JAMAA WAKO WA "JAMII FORUM" AKIKUONA ATAWAKA SANA NA KUKUULIZA HELA UMETOWA WAPI? SABABU BAADAE ATAKUONA UNAPIGA PICHA VIONGOZI BAADAE ATAKUONA FORODHANI UNAKULA MISHIKAKI YA CHELEWA ZA KUTI. JAMII FORUM ATAUWA HAHAHAAH! tunasubiri tuwekee picha za mitaa ya znz. MDAU PAZI.
ReplyDeletehiiiiiiiiiiiii!!!!!Mzee wa libeneke! Umetoka kwatu!Chicha! kweli na shati jipya! vipi fulanazzz!!!!!!!iko wapi? au unaenda ukweni,tufamishane basi kama una nyumba ndogo
ReplyDeleteChonde Chonde babaaa!!! unataka kututia simanzini!!! Weye uliona wapi mtu anaegesha kwenye chombo ndani ya maji bila ya kuwa na life jacket!!!! Hebu rudi chomboni na acha matanuzi (dRU)
ReplyDeleteMsiogope Michuzi akianguka majini anaogelea tu Mzee wa Pwani huyo hapo Oysterbay unaiona atakuwa sawa na kafikishwa safari yake tu. Jumbe.
ReplyDeletesasa tutakutumia ma auditor waje kukagua nani analipia vekesheni zisizokwisha.
ReplyDeleteisije kuwa wewe ni changu wa ufisadi na sisi tunadhani ni mwenzetu
hahahaha!!!!
kweli mdau umeliona hilo. Utakaaje kama hivyo chomboni bila life jacket, na maji ni manene kiasi hicho?
ReplyDeleteHaya mzee wa mivekesheni! unabadilisha mapipa tu kama mitumbwi!!!!!!
ReplyDeleteHakiamama mwaka huu mpaka uishe wenye roho za nanihii watakunywa sumu wajiue kwa mivakesheni yako ya kila mwezi!!!
Wee kula dunia ulikuwa magharibi mwezi uliopita na za upo kusini mwa dunia! Wahenga walisema" Fainali....................." I want to be like MICHUZI when I grow up?