Home
Unlabelled
kuchimba dawa: shindano
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hi,
ReplyDeleteHapo ni mbugani au pembeni mwa barabara ya msituni na hao Wazungu walishamwona Simba,Mmoja wao ndio huyu mdada akashuka na Toilet paper akajifanya kama anajisaidia ili kupata taswira wanayotaka na kuona Simba atafanya nini,Pia inawezekana walikuwa wanafanya Tangazo fulani,Wazungu huwa wanafanya michezo ya hatari sana,Unaweza ukatazama hata JACKASS STARS Steve O na Chris wanavyocheza na Wanyama hatari katika vipindi vya WILDBOYZ.
acha niishie hapa,nicheki hapa na zawadi yangu hiyo
mtoni87@hotmail.com
NATUMAINI HAPATAKUWA NA MAJANI YA UPUPU HAPO, KWANI MUWASHO WAKE KWA HUYO BINTI UNAHITAJI SIMBA AMKUNE BARABARA KATIKA SEHEMU NYETI KAMA HIYO, NAELEWA SIMBA HATAMPARUA NA MAKUCHA YAKE, ATAMPAPASA HUYO MZUNGU ILI ALAINIKE TU NA SHUGULI IFANYIKE RASMI, KWANI BINTI WA KIZUNGU KATULIA HUKU AKIISUBIRI KWA HAMU NA STAILI YAKE, BINTI WA KIZUNGU HANA WOGA WOWOTE ANASUBIRI TU (KWAO WANAWAITA PET LION)""SIMBA HATA AWE MKALI VIPI AKIONA.........ANATULIA"""
ReplyDeleteMDAU KUTOKA - MLANDIZI/KIBAHA
Simba anasema; 'duh, ngoja nimwache kwanza amalize kutoa uchafu nipate nyama safiiii'
ReplyDeletemtoto
Simba ananyemerea mavi ya mzungu.
ReplyDeleteBabake hii kali!! Kama ndani ya ngorongoro crater vile!! hapa mzungu alitoka mkuku hadi ndani ya gari hakuna cha kupandisha jeans wala kuchamba!! nadhani begi na toilet paper vilibaki mwituni na hakwenda choo tena mpaka aliporudi kwao!!!!
ReplyDeleteMdau Amerika Kaskazini
Duuh,,never seen b4..."DO NOT DISTURB" will do 4 caption
ReplyDeleteSimba: "Wow, kaumbika...!? ..Aaargh...harufu...duh...hapafai hapa!"
ReplyDeleteSimba:Mmh si rizki hii, nikimfanyia huyu watasema ooh nimeua albino, mwache amalize shughuli yake aende zake...
ReplyDeleteMtasha: Mungu wangu hili basi lisije kuniacha huku porini...Nimekoma kulakula hovyo
Msafiri akiwa ame hatarisha maisha yake kwa kujisaidia kichakani wakati simba akimnyemelea
ReplyDeletesijaipenda picha hii. siyo vyema kumpiga mtu picha wakati akichimba dawa. pamoja na kwamba simba yupo nyuma anamnyemelea. mpiga picha labda alitakiwa kumtahadhalisha mchimba dawa.
ReplyDeleteUnapozidiwa na haja huna muda wa kuangalia kama kuna wanyama wakali au la, kama mwanadada hapa anavyopata haja bila ya kujua kama kuna Simba jirani yake.
ReplyDelete"TAHADHARI KWA WACHIMBA DAWA"
ReplyDeletekamongo@24.com
Mdau wa TBA
mama mzungu: "akija simba hapa nduki, sichambi...!!!"
ReplyDeleteSimba: "kudadadeki... hawanipati... wananitega na kesi ya dili..."
Mama mmoja msafiri wa kizungu akichimba dawa baada ya yeye kujihakikishia usalama wakati huo huo simba akishangaa yanayojiri mbele ya macho yake na hajaamua bado nini cha kufanya! - Ze mdau, Ben
ReplyDeleteWADAU ZANZIBAR
ReplyDeleteANAKUNYA
Wow I feel so good after relieving myself. To hell with all who were were looking at me.
ReplyDeletewhen it comes to pee..i care less of my life !
ReplyDeleteUkiwa bongo, fanya kama mbongo...!
ReplyDeleteMtalii huyu anajisaidia, huku akitaka simba asogee karibu apate picha yake...
ReplyDelete"Du atapona mtu hapa kweli?"
ReplyDeleteMariam.
Bad Idea!
ReplyDeleteMdau India
When you gotta go you gotta go and that goes for both of them…
ReplyDeleteMdau India
Binadamu: "Hebu nimalize hii shughuli haraka kabla halijatokea la kutokea"
ReplyDeleteSimba: "Mh jamani huyu ni mnyama gani tena mbona sijawahi ona tangu nizaliwe!"
Baada ya kuzunguka huku na kule, dada Maggie akamuuliza yule jamaa mhuduma wa mbuga waliyefuatana naye
ReplyDelete`Naweza kujusaidia kidogo' akauliza
`Hamna taabu unaweza ukashuka hapo, yule simba hana maneno keshashiba'
Maggie bila ajizi akashuka kwenye gari nakutafuta upenyo kwani mkojoulikuwa umembana sana.
Yule simba aliyekuwa ametulia akiwaangalia, alivuta hatua kuelekea alipojibanza Maggie,ambaye alikuwa akiendelea kujisaidia bila wasiwasi. Hali hii kidogo ilimpa wasiwasi yule mhudumu wa Mbuga, na kabla hajachukua hatua yoyote, Maggie alikuwa keshamaliza shughuli yakena kurejea garini.
M3
Tofauti na hadithi nyingi zilizopo kitaani, Wanyama wanaosemwa wakali kama Simba mara zote sivyo walivyo mpaka wapate fadhaa, mara nyingi Simba humkimbia binadamu na kumkabili pale anapokuwa anajihami. Hapa anaonekana Mtalii akichimba dawa bila hofu ya aina yoyote ile ambapo yupo pia karibu na mlinzi wa watalii anaejulikana kama scout kumdhibiti Simba huyo iwapo atajaribu kuleta madhara.
ReplyDeleteKwenye mbuga zetu amani tupu!
""""Hapa ni salama kujisaidia, hakuna binadamu anayeniona!!!!"""
ReplyDeletemambo ya adobe photoshop hayo....
ReplyDeleteKwa kawaida simba akiwa mawindoni ni lazima ajifiche, kwa kuwa anaonekana wazi basi dhahiri kuwa simba huyu si mwenye madhara. Vitu vifuatavyo vinafanya huyu dada awe salama kabisa.
ReplyDelete1. Mpiga picha kisha mwona simba hivyo ni wazi kuwa alikuwa akimfuatilia kwa karibu sana atamfanya nini dada
2. Simba huyu inaoneka yupo umbali mkubwa sana toka kwa dada hii ni kutokana na uwezo wa kamera kuwa na multi-focal capacity na kuunganisha as one object.
3. Huu pia ni mchezo kama ilivyo michezo mingine ambayo hawa jamaa hupenda kuifanya kuonesha kitu ambacho si kawaida.
cheki link hii hapa. http://www.youtube.com/watch?v=9fOtJi8dL_8
mzungu achimba dawa bongo style, baada ya kushikwa na tumbo la kuharisha na kujamba kwa sauti. sasa simba akawa anajiuliza 'huyu mnyama gani tena ananguruma na kutoa mate kuliko mimi?'
ReplyDeletemdau dokitari
"Kama bado hajaenda haja, ataenda sasa"
ReplyDeletesimba: "kudadadeki...lakini rizki ni rizki tu, ndo hali ya uchumi hiyo"
ReplyDelete"LIWALO NA LIWE"
ReplyDelete"SIMBA AOGOPA MAVI YA MZUNGU"
ReplyDelete"KUCHIMBA DAWA NA KUOGOPA SIMBA, NINI ZAIDI"
ReplyDelete"mmh chakula safi kabisa, tatizo harufu"
ReplyDeletemdau chiggs, deslam
msafiri kafiri
ReplyDelete"A LIONESS IS GUIDING A TOURIST IN SERENGETI"
ReplyDeleteHili ni tangazo la Promotion za aina ya adventure utakazopata katika Mbuga za Wanyama wa Porini.Siyo kweli kwamba huyu Mama hakumuona Simba akiwa karibu sana na yeye.Na siyo kweli kwamba huyu Mama kweli alishikwa na Haja Kubwa au Ndogo na alishindwa kujizuia kiasi cha kuhatarisha maisha yake.Gari lake bila shaka lilikuwa karibu sana in case of anything.Lakini kwasababu tukio kama hilo la kujisidia hadharani hususan kwa Mwanamama huleta hisia nzito na ku ATTRACT A LOT OF MISGUIDED ATTENTION,maana kila mmoja atakuwa anawaza la kwake,lakini bila shaka yoyote kwa Wanaume wa Kiswahili mawazo yao hayatakuwepo kwenye Simba bali "Kule Mahala Fulani",kila mtu akijiuliza itakuwaje,je kweli Simba huyu akijongea "Atamla huyu Mama au Atakula Vituuuuz!".Ni Utundu tu wa wenzetu Watu weupe katika ku attract attention na kuweka "Historia" hata kwa mambo ambayo huku kwetu huyachukulia ni ya kipuuzi tu kumbe Kibiashara Yanalipa.Huyu Simba akijongea sana kama Mama ana uharo basi "Itakula kwake!",maana Simba naye ni hodari sana kwa majamboooz!
ReplyDeletePost Card hiyo itauza saaaana.Why?People always like the opposites!
ReplyDeleteHuyu mama anaharisha kwa nguvu na kelele za mharo zikichanganya na harufu mbaya ya mavi ya huo mama zinamwogopesha huyo Simba kumsogelea.
ReplyDeletePhoto shop?
ReplyDeleteMdau, Gezaulole.
rdor7819@hotmail.com
'maumivu ya kichwa huanza poolepolee'
ReplyDeleteNever thought there could be a peeping tom here!
ReplyDeleteSimba: She is a sitting duck
ReplyDeleteWakatabahu
Mzungu: Loh simba akitokezea nimeliwa.
ReplyDeleteSimba: Fanya haraka mzungu nikumalize
Mzungu:This roaring diarrhoea is going to kill me.
ReplyDeleteWakatabahu
Duuuuu! huyo simba anapiga chabo akajimalize mbele.
ReplyDeleteHuyu dada inawezekana anajisaidia haja ndogo au kubwa, moja. Pili, inawezekana amemaliza haja zake vizuri na akapanda gari na ndipo akaoneshwa na mpiga picha kuwa nyuma yake alikuwepo simba akimsogelea. Baada ya hapo, inawezekana amesali sana kuona ananusurika. Lakini pia inawezekana aliliwa na simba mara tu baada ya picha hii kupigwa. Kama aliokoka, hatarudia kuchafua mazingira ya hifadhi za wanyama ovyo. Asante. karagwe2005@hotmail.com
ReplyDeleteBalozi wa nanihii, tunaipenda blog yetu pamoja na wewe mbuge wetu wa nanihii.
ReplyDeleteIla tuangalie, picha za wamatumbi tunaweza kuzichezea tutakavyo kwenye blogs zetu kwa vile baadhi yetu hatujui haki zetu pamoja na sheria zengine bado Tanzania hazijatengenezwa. Huko ughaibuni kwa "wazungu" wanajua haki zao na kufungua kesi ni "MTAJI", kuna sheria Personal Data Protection... Angalia kesi kati ya Godfrey Lawrence v. Demon Internet Limited.
Ila idea ya vijishindano kama hivi nimeipenda, na zinapunguza stress ya maisha manake nimecheka mpaka basi. Ila kwa kuboresha naona mpaka Ijumaa comments zitakuwa nyingi. Labda utafute mshindi wa kila siku then Jmosi ndo unatafuta overall winner.
Nawasilisha.
Alizidiwa na ndio maaana hakuweza kuyaona yanayoendelea.
ReplyDeleteMdau MBIJE,A-Kafanabo
e-mail:mfumuke@yahoo.com.au
mambo ya photo shop hayo babu
ReplyDeletemdau macrol kuala lumpur
"Hairuhusiwi kwenda haja ndogo/kubwa katika eneo hili....la sivyo..."
ReplyDeletehUYO DEREVA KWANINI ALISIMAMISHA GARI HAPO....NA TATIZO NI MANISPAA ZETU KWANINI WASIJENGE VYOO VYA MABARABARANI....DADA SIJAIDIE MWAE..MDAU NORWAY
ReplyDeleteWADAU PICHA HII INA MAFUNZO MAKUBWA SANA PINDI TUNAPOSAFIRI NI MUHIMU SANA UNAPOSHINDWA KUJIZUIA HAJA KUBWA UKAANGALIA KWA UMAKINI ZAIDI KUANZIA WANYAMA WAKUBWA NA HATA NJOKA NA NGE KAMA WEWE UNABEBA WATALII WAKO USALAMA WAO WOTE UKO JUU YAKO NI VYEMA SANA UKAWA MSTARI WA MBELE KATIKA KULINDA USALAMA WAO NA ILI HALI YA KUNYA KICHAKANI ISITOKEE UNATAKIWA UNAPOBEBA WAGENI WAKO IWE TOKA HOTELINI AU NYUMBANI HAKIKISHA UNAULIZA KUNA YEYOTE ANAPENDA KUJISAIDIA? NA UKIFIKA SEHEMU KUNA KUNA CHOO PIA UNAWAULIZA YOTE HIYO NI KATIKA KUEPUKA HALI KAMA HIYO HAPO ISITOKEE SIO JAMBO LA UTANI NI HATARI SANA, SIMBA HUYU HAPO SURA UKIMSOMA KWA WALE WATAALAMU WA WANYAMA ANAONYESHA MSHANGAO KWANZA KASHANUSA HARUFU NA AMEGUNDUA HARUFU HII SIO YA MTU WA MAENEO HAYA HEBU NGOJA NISOGEE KARIBU NIJIONEE, SURA YA SIMBA YULE SIO YA UKALI KABISA NI YA MSHANGAO NA YUKO KATIKA MOVE YA KUSFOGEA KARIBU NA KUHAKIKISHA.
ReplyDeleteASANTE SANA
KIPEPEO
CAPTION. ''EWE MZEE WA MWITU ULIYE NYUMA YANGU, NAOMBA UNILINDE MPAKA NIMALIZE KUJISAIDIA, MAANA BILA HIVYO BINADAMU WANAWEZA KUTAKA KUNIKAMATA WANIFANYIE UBAZAZI WAO KAMA KUNICHUNA NGOZI , KUNIIBIA VYA MWILINI, AU WAKADHANI MIMI ALBINO NA IKAWA SHIDA. DUNIA IMEHARIBIKA, BORA NILIWE NA SIMBA KULIKO KUDHALILISHWA NA WALIMWENGU!''
ReplyDeleteMkuu wa Wilaya ya Nanihii...
ReplyDeleteHii picha uliyotuwekea- kama ni photoshop au la sio suala kwa sasa - ila umevuka mpaka. Huu ni udhalilishaji.
Ukiwa muungwana na mtu responsible, nategemea utaitoa picha hii!!
Nashangaa wachangiaji 55 (isipokuwa mmoja tu) hawajaonyeshwa kukerwa na hili.
Mdau.
Wasiwasi wangu Nyoka bwana, akigonga deshi deshi..... watafunga wapiiii?
ReplyDeleteCAPTION:
ReplyDeleteTHAT ASS IS MINE !! Just like the way I like it RARE - Not those WELL DONE black asses !!!
Sam - ATL
duuuuuu! yananukaaa! ngoja amlize ndio nimbake.
ReplyDelete...'FEACES PASSERS WILL BE PROCECUTED BY A LIVE LION! PLEASE DO NOT TEST TO SEE IF IT IS TRUE'!
ReplyDeleteSimba: Dah!, haya mapalapili vipii? waja leo watuachia janaba, Hapa sirudi baada ya wiki nne amesha-niharibia weekend nzima na baba watoto inabidi tuhamishe watoto na makazi dinner imeharibika leo, mambo yale yale wanatutega na vibomu vya machozi. Next time takuja na baba watoto tumefunga pua tukuwahi kabla hujashusha hiyo talala yako.
ReplyDeleteau,
Simba: Heeee Kumbe nao kama sisi, pekunduuu
Msafiri.
Simba: Kinyesi cha Mzungu Bana, kweli tofauti, Yaani nisimama hapa Nusu saa nzima na harufu haijanifikia, kingekuwa cha Ndugu zangu hapa sekunde mbili tuu hali ya hewa imechafuka.
ReplyDeleteor
Simba: Nashindwa Kuelewa ni kipi haswa kinatoa harufu nzuri namna hii baina ya Kinyesi au ni huyu bibi
MSuleSule
Lion - I hate tourists! Look at that one taking a dump in my bedroom! I should set an example and make a meal out of that tourist!
ReplyDeleteAsante kaka Michuzi, yaani nimecheka mbavu sina. Great pic!
Simba "Hao watalii watamu zaidi bila mavi yao."
ReplyDeleteNyie! Nawahakikishai kuwa huyo mzungu angemwona huyo simba, mavi/mkojo yangekauka hapo hapo!
ReplyDeleteNi photoshop tu hii. Haiwezekani kukawaa na tofauti kubwa kiasi hiki cha rangi za majani kati ya aliyopo mnyaji na Simba. Majani ya alipo simba ni ya kiangazi mno na kwa asilimia kubwa ni tofauti ya alipochuchumaa mtalii.
ReplyDeletePili. Haiwezekani direction aliko simba kusiwe hata na kimti kidogo katika background. lazima kungeonekana hata vijimiti at a distance-kwani panorama ya picha ni pana mno-kurudi nyuma.
Jamaa watakuwa weme-crop kakipande ka picha ya simba na mazigira alipokuwapo na kubandika hapo kisha wakatumia ka-wizard tool kurekebisha mambo.
Hatuna mzungu yeyote duniani anyaye kishujaa hivi wakati simba akishangaa. Hakuna hilo.
KAKA JAMAA ZAKO WAMESHINDWA KUFAHAMU KUWA HIYO NI JUST PHOTO SHOP. KIJANI AN UKAVU WAPI NA WAPI. HATA HIVYO MAONI WAMETOA YA KUTOSHA. WATANZANIA NDO MAANA WANATAWALIWA NA CCM, HATUTUMII AKILI.
ReplyDeletebwana nyie wasomi uchwara na wabeba MABOSKI acheni zenu hakuna asojua kama hiyo ni photo shop, kilichoulizwa hapo kama hamjakifahamu msijaze nafasi bure! ndomana mnafelii!
ReplyDeletewatu hapa wanataka kufurahishana na kupunguza uchovu baada ya kazi, nyie mnayakuzaaa mnafikiri watu wote tz siku hizi mbumbumbu? nyie ndo mna akili sababu mmevuka bahari? ovyooo!
msitukane watu kirejareja!
Nakumbusha kuwa unachotakiwa uweke ni caption.Ukweli na uongo baadae!
ReplyDeleteMwanamama akijisaidia Mbugani, bila kufahamu Hatari kubwa iliyo karibu naye,natumai alimaliza kujisaidia na kuondoka hapo salamakwa msaada wa alikuwa akichukua picha hii..Simba nae akipiga akili aanzie wapi kuhitimisha windo.
ReplyDeletewacha nile chabo, misosi baadaye.
ReplyDeleteSikupenda picha ya "live" kiasi hiki. Nafikiri Mkuu wa Wilaya ya Nanihii ungeweza kuifanyia ukarabati kidogo(ungemkata huyu dada kuanzia kiunoni kwenda juu) ili kupunguza makali. Kama huyu dada atainyaka hii anaweza kukushitaki Mkuu.
ReplyDeleteHuyu Mgeni alikuwa anatembezwa katika mbuga ya wanyama ya Serengeti akitumia magari ya kampuni ya Utalii ya Arusha mara nyingi wageni wakija nchini kwetu wanapenda sana kujaribu kila chakula wakionacho katika meza walizoandaliwa.Kilichotokea pale sio mara ya kwanza kwenda kuchimba dawa karibu mara ya tatu,alipatashida sana mgeni huyu kwani alipata (Food poison)alipokuwa anakula chakula cha jioni katika hotel moja kule Manyara na asubuhi akuweza kula vizuri breakfast kwani alisumbuliwa sana na tumbo.kilichotokea pale alienda kujisaidia na kwa mbali kuna simba, unajua wazungu wanatabia hata kama kuna hatari kitu cha kwanza kukumbuka ni kupiga picha bahati nzuri kuna mmoja aliyekuwa kwenye gari alipiga kelele yule aliyekuwa anajisaidia alishutaka nakukimbilia kwenye gari.Walivyorudi hotelini mmoja aliyepiga picha alikuwa na laptop, ile picha akaiweka kwenye laptop na baadae akaweka kwenye mtandao na kuchukuliwa hiyo picha na kuwekwa kwenye michuziblog.
ReplyDeleteahsante
komba Muhili,Arusha-Tanzania
komba35@hotmail.com
naungana na anonymous wa 12:28 am.hapa tunafurahishana tu baada ya uchovu wa kazi.ni brain teaser.kwani nani hajui kuwa hiyo ni photo-shop?
ReplyDeleteduh iyo ni kali tashwira maridhawa sana
ReplyDeleteLion; Nice bum!! i need visa for a tour to europe ladies public wash rooms
ReplyDeletePHOTOSHOP! PHOTOSHOP! watanzania bwana tangu mjue kuna software inaitwa photoshop basi kila kitu ni photoshop yaani nyie na akili zenu hamuwezi kutofautisha kati ya picha real na fake? mbona rahisi sana kabla hamjabwatuka na kusema photoshop angalieni mpangilio warangi najua wengi wenu hata hiyo photoshop hamjawahi kuitumia
ReplyDelete"WOW! NICE BOOTY!, I CAN'T EAT IT!"
ReplyDeleteDuh!
ReplyDeleteimenikumbusha mbali sana,
kipindi nikiwa na miaka kama 13, likizo moja nikiwa na babu yangu tukichunga ng'ombe porini nilibanwa na nikatafuta chaka nikamaliza shida zangu nikielekea nilikotoka.
Baadae babu akanipa phylosopy moja kuwa unapoenda jisaidia porini, ukichuchumaa kamwe usigeuke kuangalia ulikotoka bali uchuchumae kutazama unakoelekea.
kwambaaaaaaaaa
huko ulikotoka ni tayari umeshapita na kuona usalama ukoje.
kutokana na hiyo picha, mimi nakubaliana na phylosophy ya babu ingawa alisoma mpaka la kwanza la mkoloni.
serengeti nightmare but this caucasus was a survivor as the lion didn't attack during long call
ReplyDeleteserengeti nightmare but this caucasus was a survivor as the lion didn't attack during long call
ReplyDeleteSimba - Mzungu huyo hana adabu kweli, anakunya sebuleni kwangu! Alaa!
ReplyDeleteHiyo inaitwa adobe fireworks.inawezekana pia ikawa ni adobe photoshop CS4.Kuna jinsi ya kupachika picha mbili tofauti na isiweze julikana kama ni picha isiyo ya kweli.
ReplyDeleteKILIBIRDS@yahoo.com
Morogoro...,
ReplyDeleteMtalii mmoja kutoka moja ya nchi za ulaya anatibiwa katika hospitali kuu ya mkoa wa Morogoro kwa maradhi ya mshtuko wa kupita kiasi.Hali hiyo ilimpata mtalii huyo alipokuwa katikati ya safari akitokea Mbeya kuelekea Dar-es-salam jana mchana.Chanzo cha habari kinasema kuwa, mtalii huyo ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja,alipatwa na mkasa huo baada ya kumaliza kujisaidia katikati ya mbuga ya mikumi na kugundua kuwa, hatua chache kutoka alipokuwa,kulikuwa na simba jike aliyekuwa amejipumzisha.
Tutaendelea kuwataarifu kwa kadiri tutavyopata taarifa zaidi.
SHESHE.
Simba: "...nilidhani yatafanana na rangi yao...kumbe wote sawa tu, duh!
ReplyDeleteSasa ni kumfanyizia tu"
Best Caption:
ReplyDeleteAthari ya 'Kuchimba dawa' katika safari za mikoani Tanzania.
This means that what you are not awear of never bothers you!!!{In Swahili we say Usilolijua ni sawa na usiku wa kiza}
ReplyDeleteThe lady's side seems to say,What you are not aware of never bothers you...In Swahili meaning Usilolijua ni sawa na usiku wa kiza but on the lion's side he is carefully moving to catch meat.What a lucky day for the king of the jungle!!!Unalala maskini Unaamka tajiri.
ReplyDelete