Soma KWANZA JAMII la Wiki Hii Mitaani na Mtandaoni:

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 02, 2009

    Ni kwa manufaa ya wamarekani si-watanzania.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 02, 2009

    lile gazeti la uchumi nalo..limeamua kuuma na kupuliza kuhusu Tanzania na hali ya kichumi

    http://www.connect-world.net/box/News/June/Tanzania_and_Mozambique_manage_boom_wisely_02060906.html

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 03, 2009

    Jamani amkeni hizo sifa za kitoto eti anamvuto sasa ndio nini? Inamsaidia nini babu yangu wa Kisarawe?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 03, 2009

    Mungu tusaidie Waafrika katika mawazo yetu.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 03, 2009

    michuzi watu acha u-ccm wako. usibanie maoni ambayo ni challenges hivyo utakuwa haujengi kaka! wewe unataka huyo bwana joseph mbele apongezwe tuuu hata akiandika pumba?? sasa hizo alizoandika si ni pumba? profesa mzima anaandika ushabiki! au kwa sababu kaandika kwenye gazeti lenu?? acha hizo bwana kama maoni hayamtusi kwa uyabanie. usifanye watu tuione blog yako kama yenye kuegemea upande mmoja au unaogopa serikali kwa kuwa wewe ni mfanyakazi wa serikalini?? unadhani hiyo kitu ingekuwa kwenye forums nyingine kama jamii au bidii au siasa wangebania? watabaniaje wakati tunajadili kujenga nchi?? kama ni hivyo basi hukuwa na sababu ya kutupostia sisi upuuzi huu!!
    haya endelea na profesa wako huyo feki anayeandika pumba tupu bila points za maana!
    Wako
    Big G
    Texas

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 03, 2009

    Kwa maana hiyo sisi watanzania tunapata faida gani ? Kwani profesa wa kitanzania akimsifia kikwete haitoshi ? Na mbona hata siku moja hatuoni kichwa cha habari kuwa profesa mtanzania kamsifia kikwete ? Mhariri wa gazeti nawe inabidi tuanze kuangalia uwezo wako wa kazi ukoje, ama la basi una lako jambo !! Hiyo habari haina manufaa kwa taifa letu.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 03, 2009

    Dear Prof Mbele,
    It is true in Tanzania as in many third world countries talk a lot about development,about expanding the number of goods and services and the capacity to produce them.Goods Make our lives more useful and easy and happy.So it is very clear by now that all this development is for man and is made by man,you see it always comes back to man.Man is the main purpose of development.Bu Man cannot be developed by another,he can only develop himself,it his ability to work deliberately (in cooperation with others) for a self determined purpose that distinguishes him from another man.This is what development mean.

    Therefore having said that our people needs to be reminded to work tirelesly with their own defined puposes and missions so as to make their lives good.All presidents meet other presidents it is a human nature to meet other people but Tanzanians need to be reminded he will not come back with a stach of bag filled with money.

    Ni hayo tu kwaleo,
    David Matthew,
    Electrical engineer,
    Ohio

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 03, 2009

    Binfsi sijaona mafanikio ya safari za Mh JK kwenda ughahibuni labda kama mafanikio ni baada ya miaka 10 ijayo ila kwa sasa bado! Nasema hayo nikiaminikuwa kazi kubwa bado inatakiwa kufanyika kuziba mianya ya Rushwa kubwa na ukusanyaji wa mapato ya ndani na kuyatumia kwa maslahi ya Watanzania sio kwa maslahi ya watu wachache.Pia kusisitiza wasimamizi wa Bodi za Chakula,Dawa na Lishekuwa na ubinadamu sio kuruhusu madawa FEKI na vyakula FEKI vyinavyotumiwa na Watanzania

    Mathalani Pesa ya kigeni katika bajeti ni zaidi ya 45% na inafuatiliwa na mataifa wahisani kujua imetumikaje? je kodi zetu nani anajua zinatumikaje? ama ndio hizo safari za Mh kuzunguka Ulimwengu mzima akiwa na utitili wa wajumbe? na mianya ya EPA?

    By Mutasingwa, G.John

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 03, 2009

    Hivi gazeti la kwanza jamii ni la nani? mbona lina harufu ya ufisadi? si limeanzishwa juzi tu na jamaa anayeitwa Majid na hata mwezi haujapita ameanza kugawa nakala za bure chuoni Mlimani atafunga biashara siku zisizo nyingi!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 03, 2009

    michuzi itakuwa vizuri sana tena sana kama utaacha mchezo wa kutuwekea hilo gazeti la kipuuzi la kwanza jamii. sisi si wajinga tumelichunguza na tumeshagundua lina mwelekeo gani na lina ajenda gani!!! sasa usitake kutulazimisha wote tuwe na mapenzi ka yenu. huyo profesa mbele joseph na yeye anajishushia heshima kwa kuandika uozo kama huo!! profesa gani unaandika kutetea kitu bila points zozote za maana na zeneye kushawishi??
    hebu ngoja niikopi hii story halafu niende nikaimwage kule jamii forums, na kule bidii forums, na kule siasa.org halafu uone watu wanaojua kuchambua issues sio huyo mchovu anayejiita profesa!! halafu wewe michuzi huo mchezo wako wa kubania comments ambazo zina pinga interests zako ukome!! umetuanzishia blog ya kishabi au umeanzisha blog kwa watu wote hata wale wenye itikadi tofauti na zako na serikali yako inayokupelekaga marekani??? why you don't want to allow freedom of speech. acha watu waongee bwana!! la sivyo uwage unatuwekea picha na habari tu bila kuweka hivi vijisehemu vya maoni!!! jaribu kuelimika bwana. ukitaka usipost hata hii******wewe!!

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 03, 2009

    Tehee heee heee, kwiii kwiii kwiiii. Ana mvuto. Teheee heee heee. Nani anataka kunywa naye chai?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...