Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. hahahahahahahahahaha.Ndiyo mambo yetu waswahili.Si mnaona jinsi kina Shayo na mashaka wanavyotafuta ujiko kwa mgongo wa me-choose.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 10, 2009

    That's what I am talking about man!!!! English all the way!!!! I mean we could use Swahili as well but if people have no clue, it ain't his/her problem!!!

    Carry on Mpangala!!!

    P.S Rainy seasons by the microphone!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 10, 2009

    Hahaaaaaaa

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 10, 2009

    hii ni sumu tumeshaimeza watanzania, kama huongei kingereza kizuri si msomi,ili uonekane msomi basi hata uchanganye kiswa/english. hata kazi mtu aliesomea nje akajuwa kingereza atapata kirahisi hata kama chuo alichosoma hakijulikani au hana taaluma hiyo.Wazazi wanakimbilia zinazoitwa internatinal school sio kufuata ubora wa elimu bali kingereza tu.Viongozi wetu ndio hao kiswahili hawajuwi hata kingereza kubabaisha tu.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 10, 2009

    kaka michu, hao wabunge wamechanganyikiwa, kwani hawajui mahakama ni chombo cha kusimamia sheria na hizo sheria hutungwa na bunge kwa kiingereza, tena kwa kushangaza, wabunge wanajadili kiswahili ila maandishi yote ya bunge yanakuwa kwa kiingereza na miswada yote ipo kwa kiingereza,hilo ni tatizo waanze hao wabunge kwa kutunga sheria kwa kiswahili kwenye maandishi halafu waiambie mahakama isimamie sheria kwa kiswahili pia, nawakilisha

    ReplyDelete
  6. Sera ya lugha ya Tanzania ni moja kati ya sera za lugha za kuchekesha kabisa duniani. Baada ya mikakati ya kukifanya Kiswahili kuwa elimu ya kufundishia elimu ya juu (kuanzia sekondari na kuendelea) kukwama, sera hiyo imeshapitwa na wakati na imebakia kuwa sera ya undumilakuwili mno - huku haiko na huku haiko. Sijui inamsaidia nani! Mtoto anamaliza darasa la saba hajui hata kujitambulisha kwa Kiingereza halafu kimiujizaujiza tu anategemewa awe ameshafahamu Kiingereza anapoingia fomu wani kiasi cha kuzimudu sawasawa "Newton's Laws of Motion". Kuanzia hapo elimu inakosa maana na inageuka kuwa mchezo wa kukariri tu na kama huwezi kukariri basi umekwisha. Kwa walioko mijini na ambao wazazi wao wana uwezo wa kuwapeleka Academy (ambazo ziko kila kona) basi wana unafuu lakini kwa watoto wa kijijini (ambao kwa bahati mbaya ndiyo wengi), ni giza tupu! Sera hii ya lugha ni kiinimacho na inahitaji kubadilishwa kwa manufaa ya kila Mtanzania. (matondo.blogspot.com)

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 11, 2009

    kwa suala la kuhusu kiswahili ni jambo la kushangaza saana hata nchi nyingine za ulaya hata hao waingereza wanatushangaa kwa kuona kwamba tumeacha vya kwetu na kufuata vya kwao na kiingereza kingekuwa kina fundishwa mashuleni ka somo tuu na masomo mengine yakawa yanafundishwa kwa kiswahili

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...