Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Bah hahahaha, tah tah tah, teh teh teh!
    KWakweli, hizi ndo 'imaginations' za msanii, si mchezo! Kazi nzuri!

    ReplyDelete
  2. MUUMBA NDIYE AUMBAYE ANAJUAA SAA NA SIKU NA WAKATI. KWA KUSOMA KWETU NYAKATI TUMESEMA WAKATII HUU NI MZURI ULE NI MBAYA. ALIYE NA KIUMBE ANAHITAJI HESHIMA BILA KUJALI MAZINGIRA YALIYOMSIBU. WENGI TUNAISHI LAKINI UKIRUDISHA MAJIRA NYUMA UTAKUTA WAZAZI WETU WALIYAKABILI HAYO NA SISI TUKILUWA MATUMBOMI MWAO. KWA HIYO SIONI KAMA NI JAMBO LIALIOTAKIWA KUWA LA DHIAKA. LABDA ASEME INAPUNGUZA UMAKINI WA KUFANYA MTIHANI NA APENDEKEZE NJIA NZURI YA KUWATAHINI WAZAZI(WATARAJIA) WAHITIMU

    ReplyDelete
  3. huyu msanii anafanya dhihaka na maumbile ,nimefurahi kwamba wanaruhusiwa kufanya mtihani kwani mitihani huu inaamua maisha ya badae ya mtoto wa kike wa mlalahoi wa kitanzania.

    ReplyDelete
  4. Hii safi sana nakumbuka wakati nasoma mademu wenye kupata mimba walikuwa wanafukuzwa shule lakini madume wanaowapa mimba wanaendelea kusoma.

    ReplyDelete
  5. STOP! WOMEN DiSCRIMINATION!
    Yote haya kuna siku yatapita wanawake msikate tamaa mchoraji lazima achore anachofikiri ambacho kimetokana na background yake mfumo aliolelewa ulikua unajali ubinadamu au ukandamizaji wa group moja la binadamu kwa group lingine.
    Aonavyo binadamu sio MUNGU aonavyo.
    na binadamu anaemwogopa MUNGU pia ataona tofauti.kwani duniani kusudi la MUNGU ni sisi kuwa mawakili wake.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...