anko nanihii akiwa na medi mpakanjia (kulia)
kwenye hafla moja siku za nyuma jijini dar

HABARI ZIMEINGIA SASA HIVI ZINASEMA MOHAMED MPAKANJIA, ALIYEKUWA MUME WA MAREHEMU AMINA CHIFUPA, AMEFARIKI DUNIA MCHANA HUU KATIKA HOSPITALI YA LUGALO ALIKOKUWA ANAPATIWA MATIBABU, DURU ZA KARIBU NA MAREHEMU ZIMETHIBITISHA.
KWA SASA GLOBU YA JAMII INAWEZA KUTOA TAARIFA HIYO TU,
ZINGINE ZITAFUATIA BAADA YA KUHAKIKIWA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 34 mpaka sasa

  1. Inalilahi Waina Ilahi Rajioon...RIP Medy

    ReplyDelete
  2. I nna lillah wainna ilaii rajiun hakika yetu ni wenye kurejea kwa mola si cha kumlaumu mola hapana ila kachukuwa kile alichokitoa poleni sana wafiwa bibi pole sana hapo sandali. ngatunga

    ReplyDelete
  3. Wa Inna Lillah Ilahi Rajoon....May Your Soul Rest in Eternal Peace Medy

    ReplyDelete
  4. RIP Medy. So Sady yaani yeye na x-wife wmeenda so young. Poleni sana ndugu jamaa ma marafiki.

    ReplyDelete
  5. poor Rahman...May his Soul Rest In Peace Bro!!!

    ReplyDelete
  6. INALILAHI WAINA ILAHI RAJIOON.
    MUNGU AMLAZE PEPA PEPONI.
    AMIN.

    ReplyDelete
  7. Inalilahi Waina ilahi Rajinoon!
    Mwenyezi mungu akupumzishe mahala pema peponi...Meddy Mpakanjia.
    Poleni ndugu na jamaa wa marehemu.
    Kutoka
    The Ngoma Africa Band aka FFU

    ReplyDelete
  8. akapumzike kwa amani... mwenyezi mungu humuita kila mtu kwa nafasi yake. wote tu njia moja.

    I pray for his children.

    RIP meddy

    ReplyDelete
  9. Apumzike kwa AMANI...

    ReplyDelete
  10. Bwana alitoa na bwana ametwaa, Jina la bwana libarikiwe. Amina

    ReplyDelete
  11. Ephata SozigwaSeptember 14, 2009

    R.I.P. friend.

    ReplyDelete
  12. Med, REST IN PEACE

    ReplyDelete
  13. Nshimimana aka DumisaneSeptember 14, 2009

    Poleni Sana tena sana, Familia ya kina Mpakanjia.

    tuko pamoja katika kipindi hiki kigumu sana.

    Sikujua Kama Itakuwa Hivi.

    = = =
    Buffalo (R.I.P.),
    New York

    ReplyDelete
  14. mhh namuonea huruma tu son wao...mungu amtie nguvu za kukabiliana na kutokuwa na wazazi,ss wapenda udaku ndo watatajirikia hapa kwa mara nyingine maana watafukua vya ukweli na uongo hadi vya uvunguni...

    ReplyDelete
  15. inlilah waina ilaihi rajiuni!!

    hakika ametangulia tunafuata

    ReplyDelete
  16. so sad,poor rahmaninyo
    mulimuandama sana baba wa watu kwa personal issues,haya sasa semeni mengine

    ReplyDelete
  17. R.I.P
    Medy . Hakika sisi kwake ni marejeo. yeye ametangulia na sisi tunafuatia . utakumbukwa kwa mengi hasa majirani zako wa K/nyama Quba, mola awape moyo wa subira familia ya marehemu hasa mtoto
    wake Abdulrahman(Abdulramadhino).
    Katika kipindi hiki kigumu.
    mdau Leicester Uk.

    ReplyDelete
  18. Mungu Mkubwa..hili fumbo la mauti kwa kweli ndo analowapiga bao hao wanaojifanya wanaweza kila kitu duniani zaidi yake..

    R.I.P MEDI

    "Atakalo Mola"

    ReplyDelete
  19. R.I.P! Inasikitisha sana maana wameacha mtoto mdogo.

    ReplyDelete
  20. behind the sin??? or behind the scene??? mm andikeni kiswahili.
    RIP Medy

    ReplyDelete
  21. Wote tu njia moja.

    R.I.P Meddy.

    Mkulima-kijijini Gezaulole.

    ReplyDelete
  22. R.I.P medy namuomba Rahman mwenyezi mungu ampe nguvu ni mdogo sana kuondokewa na wazazi wote wawili lakini mungu ndiye ajuaye, poleni sana familia ya Mpakanjia

    ReplyDelete
  23. Poleni wafiwa na inasikitisha mtoto wao mdogo kubaki bila wazazi, inatufundisha binadamu kuwa tayari muda wote. Je wewe umejitayarishaje?

    ReplyDelete
  24. R.I.P Mohamed. Kila mmoja wetu tupo njia hiyo wote. Haijalishi ni vipi lakini ukweli ni kwamba mauti wote tutaonja. Mungu uipe familia yake nguvu ya kupita katika wakati huu mgumu.

    ReplyDelete
  25. R.I.P Aisee poleni sana ndugu zangu japo tupo mbali lkn kimaombolezo tupo pamoja Abdul Mpanganjia.titi Mpakanjia.Chilly Mpakanjia.swaumu Mpakanjia na Nassor Mpakanjia mtunzeni mtoto wenu Rahman kwani huo ni mzigo wenu.
    Mdau
    Kisiju Pwani

    ReplyDelete
  26. Poleni sana wafiwa Mungu awape nguvu katika kipindi hichi kigumu, Wanadamu tukumbuke sisi sote tu mavumbi na tutarudi mavumbini jina la bwana liidimiwe.Amina

    ReplyDelete
  27. RIP, brother...Mnyaazi MUNGU aendelee kuwafariji wafiwa katika kipindi hichi cha msiba.sasa kaka MICHUZI tupe more details kuhusu mambo ya msiba yanavyoenda.Thanx
    Mdau-UKEREWE

    ReplyDelete
  28. RIP, brother...Mnyaazi MUNGU aendelee kuwafariji wafiwa katika kipindi hichi cha msiba.sasa kaka MICHUZI tupe more details kuhusu mambo ya msiba yanavyoenda.Thanx
    Mdau-UKEREWE

    ReplyDelete
  29. bwana alitoa na bwana ametwaa!jina lake lihimidiwe milele kwani ndie ajuae siri ya kifo.amen.

    ReplyDelete
  30. michuzi umeondoa comments ambazo zilishawekwa, at least ungechuja zinazofuata sio zilizokwishatolewa, au uliacha kichafua hewa ukalala bila kukizima.

    ReplyDelete
  31. Polei sana ndugu na jamaa wa Muddy,Mola awape subira woote,Pia poleni sana madada mliotembea na muheshimiwa,safari inawakaribia..King A from Arusha

    ReplyDelete
  32. binadamu wnashangaza sana huyu kidume hivi anajua kwamba sote tutakufa na kifo kinakupata popote wkati wowote munggu ndio ajuaye.unapowasema hao madada inaonyesha kiasi gani ulivyokuwa hufikirii mbali,kesho mama yako akifa ni kwamba ametembea na meddy?fikiria mara mbili kabla hujaropoka.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...