profesa joseph mbele kutoka minnesota akiongea na globu ya jamii juu ya haya na yale

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Profesa hapa anatueleza umuhimu wa kujua tamaduni za watu wengine tunaotaka kufanya mahusiano nao yawe Kibiashara, kimasomo n.k

    Hapa nimeelewa kuwa kwa vile yeye anaimbua Marekani kwa kina, tunaweza kufaidika na ujuzi wake juu ya tamaduni za Wamarekani tuweze kushirikiana nao Kibiashara, kimichezo, kumasomo n.k

    Pia itakuwa vizuri na wadau wengine wenye uzoefu wa kina kuhusu tamaduni za China, Korea, Saudia, UAE n.k wakatuhabarisha vipi juu ya nchi hizo kwa warsha, uandika 'article ktk blogu ya jamiii' n.k

    Mdau
    Rocky.

    ReplyDelete
  2. Ongera sana sana sana!!! kwa mtazamo wako wa mbali sana!!!! yaani kidogo umfikie Mwalimu Nyerere!!!!!
    Ni wachache sana wenye akili kama wewe!!!
    PHD!
    Mdau canada!

    ReplyDelete
  3. Safi sana. Usipoipenda nchi yako na utaifa wakonani aipende nchi yako na utaifa wako?
    Nyumbani hakuna kufikiria kulipa bills kila kukicha. Kama huna unaishi kwa uwezo wako. Unacho pia unaishi kwa uwezo wako.
    Nyumbani kuna raha yake ati!

    ReplyDelete
  4. Wewe mdau wa 05:46 hapo juu acha ushambenga...kwani huyu Prof anaisha nyumbani au ughaibuni!...Unaelewa maana ya kuwa vekeshini?..Prof yuko vekesheni atii...unaisha USA, kuna raha zake atiii!

    ReplyDelete
  5. Pat-MagazetiSeptember 08, 2009

    Mimi,
    Ninaona Prof.Mbele analonga Politics na nani ana gharimia hii washa. Kama anaongelea mada juu ya Utamaduni na globorazation...sijue kama neno sahihi kwa kiswahili sasa yeye anaelimisha watu gani miaka gani watu wenye elimu gani au anafanya "emperical study" "enographic study" na ataenda kuhuza results and findings huko marekani...sasa watu wote watakaokuja kwenye washa watapewa "infromed of consent" na watu waulize kama amepatiwa IRB kufanya hii washa Tanzania...

    ReplyDelete
  6. Watanzania naombeni tuache umbumbumbu, siyo kila prof, Dr na na wengine wenye A4s (Certificates) kama wao ati wanauwezo wakushauri maswala muhimu ktk jamii. Sasa kama siyo woga wenu wa "oh Prof Mbele kaongea", huyu jamaa kaongea nini ambacho ni kigeni kwako, yaani kachangia nini ktk ufahamu wako wa mambo tofauti na kukujulisha kazi zake na umaarufu wake uko USA. Hata swali dogo la raia mbili karijibu kama mwanafunzi wa primary. Jueni kwamba Prof ni cheo, hakisomewi na wala hatunukiwi mtu kwa sababu ya ufanisi wake kiutaalam bali ni kwa jinsi gani ameweza kumpumbaza mkubwa wake wa kazi. Prof.ship ni kazi unaomba na unafanyiwa interview na kama wenzako ni mbumbumbu basi wanachukua mkali wa mbumbumbu. Sisemi Prof Mbele ni mbumbumbu "No" ila hapa hajaongea lolote la maana. Jifunzeni kukemea upuuzi..Ninasema si ati ninawivu, hapana nami pia ni msomi wa kiwango cha Prof Mbele japo ktk field yangu. Niko tayari kukosolewa na kukemewa kama nikiongea mapungufu. Asante wadau kwa kusoma na kunielewa nia yangu nzuri ya kuifungua macho jamii.

    ReplyDelete
  7. Mdau uliesema niache ushambenga nadhani ungerudia kumsikiliza Prof alivyosema kuwa HANA MPANGO WA KUBADILI URAIA. Najua yuko likizo na ameamua kuutumia muda wake kuielimisha jamii kuhushu mila na tamaduni.

    ReplyDelete
  8. Ahsante tena Michuzi kwa kutuletea mahojiano na mtaalamu mwingine.
    Dakika sita si nyingi wala si chache ni wastani mzuri wa kumsikiliza mtu akiongea yake moyoni kifupi na kwa undani.
    Hapa kuna mafunzo mengi; ila nililopenda zaidi ni kumsikia mtaalamu (anayeishi nje) lakini bado anazungumza Kiswahili safi na fasaha, asiye na dharau kwamba anajua zaidi, kifupi hii ndiyo maana ya "kusoma." Kusoma si tu vitabu au shahada.
    Hebu Michuzi tusaidie kuwakumbusha wasomaji wacheki blogu yake Profesa Mbele na moja ya makala zake bab kubwa nnayoipenda ni ile anayowasifia waalimu wa shule zetu za msingi, wasiothaminiwa kwa kila hali. Hapa yeye mwenyewe anafafanua kuwa Uprofesa "si lolote"; kwamba wale waalimu wa ngazi za chini wana kazi zaidi. Wadau waliojificha majina (Anonymous) waliomsingizia Uprofesa watafaidika na hizo makala.

    ReplyDelete
  9. waislamu wanataka dunia nzima iwe ni waislamu kwa kulazimisha msipokubali mtakatwa vichwa mbona hii issue ni very global and serious mifano ni mingi tu inatokea duniani kama ya ugaidi lengo lao ni jihadi dunia nzima iwe waislamu.mbona hii issue watu hawataki kuiongelea??????????
    swali kwako prof J Mbele

    hamad bin halib

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...