Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. safi sana,si ulikuwa unamuona jamaa sio rijali
    nipe namba za jamaa anipe tekniki na mimi nina wabaya wangu nawajua lkn poa tu moto unakuja zaidi ya huo ila mimi sitaua

    ReplyDelete
  2. ila namimi natafuta dawa ya kukuza kitu,nani anajua tafathali nipeni ushauri.kitu hakiridhishi kabisa.

    ReplyDelete
  3. Mganaga wa huyo jamaa akija Bongo wataumia wengi!!!!!!

    ReplyDelete
  4. Hii ni dawa muafaka ya wale wanaojiita viwembe.......

    ReplyDelete
  5. hilo ni fundisho kwa wale wanaopenda kumega vya wenzao natamani itokee bongo manake wake za watu wanabanjuka tu nje ya ndoa zao ingekuwa murua mabwana zao wa nje wafanzwe ka jamaa lol kwa style hii maambukizi yangepungua asilimia 99.9

    ReplyDelete
  6. I am very sorry for this guy! But this could be a lesson to all who are not faithfull to their relationships.

    ReplyDelete
  7. KWANINI MWANDISHI ANAKUWA "MNAFIKI"? KWA NINI ASIANDIKE "PENILE ENLARGEMENT?"...MATUMIZI YA NENO "MANHOOD" YANADHIHIRISHA WAPI WANAUME WA KIAFRIKA TUNAFIKIRI NDIPO "MANHOOD" AU "UANAMME" ULIPO....ETI KWENYE UKUBWA WA MBOO...PUMBAF....MWANAUME NI ELIMU, KUCHAPA KAZI, FEDHA NA KUJIAMINI..NA SIO UKUBWA WA MBOO...SHENZI

    ReplyDelete
  8. NSHIMIMANA AKA DUMISANEOctober 20, 2009

    KAFA KWA BUSHA MBONA HII NI KAWAIDA TU. SIDHANI KAMA BUSHA NI KITU CHA KUSTUA MPAKA KIPEWE MADA HUMU NDANI. WEWE MWEKA HII MADA NADHANI HUJAKAA TANGA AMA NA WARABU WANA MABUSHA WENGI TU NA WALA SIYO BIG DEAL.

    ReplyDelete
  9. LOL! Hiyo dawa ilikuwa kiboko hapo zamani za kale. Huyo Sangoma aliyemwekea atakuwa tajiri mara punde!

    ReplyDelete
  10. Wewe mhangaza Nsimimana aka dumisane nadhani hujaelewa jamaa hajafa sababu ya Busha.Busha linakaa ktk kende sio katika ukuni.Lakini habari inasema ni m.boo iliyovimba sio Kende.

    ReplyDelete
  11. Dawa hizo mbona zimejaa Tanga, niandikie email nikuagize kwa wazee watundu, umbane mbaya wako. Masharti ni kwamba nawe uwe msafi. Kama na wewe kiwembe vitakurudi. tefese.frank@gmail.com

    ReplyDelete
  12. Naungana na mdau wa hapo juu hilo ni busha,na inaelekea hapo having an affair na mke wa mtu na kufa na busha was a matter of coincidence,hakuna cha uchawi wala nin

    ReplyDelete
  13. Nasikia kwenye kisiwa cha Ukara ipo dawa inanyofoa kabisa kiungo. Ukila vya watu ukitoka huko utaona kitu chako kinadondoka tu kama embe kutoka mtini.

    ReplyDelete
  14. LOBOKO LOBII PAPAAOctober 21, 2009

    Kuna mdau hapo juu sijui ni mzungu kokoo??? ana muita mwandishi mnafiki na ku iponda AFRIKAN MENTALITY kuhusu U_MANHOOD...tafsiri ya U-MANHOOD ni URIJALI fullstop...hizo fedha,elimu na kuchapa kazi sijui kama wewe ni "PUNGA" haina maana...mwanaume unaweza kujiamini wakati down there KAPUTI? zungu koko vipiiii ..mzima weye??

    ReplyDelete
  15. Acheni kuwa wachoyo nyie. Hamkuzaliwa nao hao, kwa nini mnadhani ni wa kwenu peke yenu? Kama mngekuwa mnawaridhisha hayo yote yasingetokea. Sharing is caring anyway!

    ReplyDelete
  16. mweeee

    jamani eti mwanaume pesa,kazi,kujiamini nk-hahahahaaa umenivunja mbavu kwakwel
    so kama hana ivo sio mwanaume?

    na uko chini kama hakufanyi kazi je?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...