jackson na martha na wapambe wao kabla ya
kuelekea kwenye mnuso baada ya kumeremeta
anko akila konozzzz kwa jackson na martha kwenye mnuso wao
jackson akiwa na mdau wake wa karibu mno masanja ambaye ni bosi wa masoko wa tigo. jackson ni afisa habari m
yenu lilipigwa sana kwenye mnuso wa jackson na martha.
hapa wadau wa tigo wakiyenua
masanja anataka mechi na anko kuchapa yenuzzzz. haftaimu hakufika....
jackson na wadau wa itv






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. michuzi nimependa mkwara wako usoni hadi jamaa kasahau machejo.

    ReplyDelete
  2. ANKO NANIHII, NDO KUSEMA UMEKUBALI KUWEKA CHINI UNIFOMU KWA AJILI YA MAONI YA WATU AU ULIKUWA HAUKO KAZINI. ( hapa inakuwa kati ya jua na mvua unapenda nini - kama ule wimbo) HAYA ENDELEA NA KUCHAPA KAZI. RAHA UNAPENDEZA KWA ZOTE UNIFOMU AU HIYO SUTI

    ReplyDelete
  3. michuzi kwa minuso!! mbaya!!!

    ReplyDelete
  4. sasa michuzi hiyo suti si ndio ungemuazima bwana harusi?

    ReplyDelete
  5. Hakuna lolote unataka tuu tuone hiyo suit uliyovaa...inaonekana ulipewa zawadi na wadau!

    ReplyDelete
  6. Arusi za Bongo zimezidi uzungu siku hizi! Best wishes to the happy couple!

    ReplyDelete
  7. Michuzi picha ya kwanza bwana harusi ni yupi?
    haya mambo yakuvaa kufanana na wapambe yanachanganya

    ReplyDelete
  8. KAKA MICHU, MBONA UKO UKO TU PEKE YAKO KWENYE MINUSO NA MAMBO MENGINE, SHEMEJI YETU VIP MBONA HATUMUONA NA WEWE!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...