


Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hapo tulishalambwa 3-0 baba ake
ReplyDeleteKwa mtazamo wangu, naona haya mashindano ya miss universe kwa Tanzania yana mafanikio zaidi kuliko ya Voda miss Tanzania. Nadhani kitu kikubwa au tatizo hapa kwa miss Tanzania ni ma-organiser/watayarishaji/waratibu wao si wabunifu na wako muda mrefu mno bila mafanikio yoyote. Kwakweli miss Tanzania haina mvuto hata na wala hakuna mafanikio ya washiriki. Ukiangalia washiriki wa miss universe Tanzania, wakina Flaviana.........si wenyewe mnajua vitu vyao wanavyofanya popote walipo. Je washiriki wa miss Taz wanafanya nini so far?
ReplyDeleteWito: Mtayarishaji miss Taz, abadilishwe ili kuwepo na changes.
Nawasilisha, ila ni mtazamo wangu tu.
Hivi inakuwaje vazi mpaka linaitwa vazi la Taifa, mimi ni mshamba siuji! Au mtu yeyote unatengeneza kivazi halafu unaita vazi la Taifa! Kama hicho kilichovaliwa na huyo dada ni vazi la Taifa, basi ina maana sisi ni watembea uchi, yaani Taifa la watembea uchi!!
ReplyDelete