askari wa zimamoto wakipambana na moto uliokuwa unateketeza maisha club ya ostabei jijini dar mapema leo. hakuna aliyedhurika na janga hili ambalo chanzo chake bado kujulikana, japo redio mbao zinataja hitilafu zilizotokana na umeme. moto mtindo mmoja
sehemu yote ya mbele ya maisha club imeteketea

mama hellen sweya, mmiliki wa maisha club, akifarijiwa
mama sweya akiwa hana la kusema, akimuachia Mungu kila kitu






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. Were the premises insured?any casualities like injuries.how did the fire start?sigarate,matches,started deliberately?anyway,this could be a lesson to manage hazards.poleni and investigate

    ReplyDelete
  2. Tujifunze wananchi wenzangu. Huyu mwenye hii club unaweza kuta hata insurance ya jengo alikuwa hana.

    Ndo tatizo watu bado tunafanya biashara za enzi hizoo....

    Pole pole tutafika tuu.

    ReplyDelete
  3. mungu kilakitu kwani hana bima?

    ReplyDelete
  4. Pole sana MAMA kwa mkasa huo, hali ngumu. Watu fire insurance wanaweza wakasaidia kama ilikatiwa, lakini pia wanamaswali yao ya mtego kuhusu moto ulianzaje, unajuwa tena biashara za insurance ni za ujanja ujanja, POLE SANA MAMA MUNGU AKUPE NGUVU, TUNAKUOMBEA.

    ReplyDelete
  5. Pole sana mamiii. Mungu akubariki na kukurudishia zaidi.

    Michuzi tunaomba picha tuone ilivyokuwa kabla ya kuungua inaonekana ilikuwa nzuri...sijawahi ona wala isikia naona ni sehemu imejengwa miaka ya karibuni?

    ReplyDelete
  6. Imefika wakati wafanyabiashara waanze kujikusanya na kujenga vituo vya zimamoto kwenye maeneo yao ni cheaper kulinganisha na hasara wanazokuja kupata kwenye matukio ya moto. Kuisubiri serikali ije ifanye hivyo watasubiri muda mrefu zaidi. Pole Mama Sweya.

    ReplyDelete
  7. Pole nyingi sana kwa Mama Hellen Sweya,Twakupa moyo,Wewe ni Mama mjasiliamali hasa.Mdau nimeguswa na hili janga.

    ReplyDelete
  8. i do hope its insured, am going to also insure my residential house, costs a ton but worth a while when disaster strike !

    ReplyDelete
  9. Kwa mdau aliye uliza club maisha ipo wapi,ipo Osterbay mtaa wa Haile selassie,sio msasani wala masaki.

    ReplyDelete
  10. Duh pole sana mama, ndio ukubwa huo vumilia tu. but nilipoona hiyo maisha club nimekumbuka sana kilima........ sijui bado kipo. MSAADA TUTANI, Mdau

    ReplyDelete
  11. we anony wa Mon Nov 09, 04:46:00 AM ni ya siku nyingi kidogo ilijulikana kama mambo club zamani.

    jamani kila kitu kimebakia scraper lo ,pole sana mama ,imeniuma mno

    ReplyDelete
  12. POLE MAMA,HIZO NDIO MARKETING STRATEGIES ZA WAFANYA BIASHARA WA TANZANIA.ILA MUNGU KAMA AMEKUPA BINADAMU HAWEZI KUKICHUKUA.

    POLE SANA!!

    ReplyDelete
  13. ndugu zangu kwanza tatizo linapotutokea tupeane pole hii siyo time nzuri ya hayo yote mnayo zungumza huu ni sawa na nusu msiba au msiba kamili,kwa hiyo mimi naomba tumpeni pole tu mama hellen,mambo ya kutafutahiyo club ilipo au makosa yalikuwaje ni tumeshachelewa,maisha ilikuwa KIOTA maarufu DAR na wengi walikuwa wanajivinjari hapo kwa kila wiki,na hilo jengo lipo tanzaniaikiungua moto nasisi wabongo tuna rudi nyuma pia kimaendeleo,kama marekani yale majengo yao yalipofanyishiwa pale newyork raia walihuzunika pia.na sisi tuwe na huruma kwa hayo

    ReplyDelete
  14. kwa waliondoka Bongo zamani, Maisha used to be Mambo club.

    Kwa wengine, naona mdau wa kwanza kauliza swali kama jengo lilikuwa na Bima, waliofuatia badala ya kujibu kama wanafahamu, au kama wafahamu wanyamaze, wao wamedandia story na kudiscuss as if wameambiwa kuwa bima haikukatwa. Wabongo tujifunze kunyamaza kama hatuna cha kusema sio kutoa uzushi

    ReplyDelete
  15. Pole Mmiliki wa Maisha Club Morogoro Stores Oysterbay DSM.

    Sasa fire brigade ilichukua saa mbili kufika hapo Oysterbay.

    Wenye magari mkiambiwa ni muhimu kila gari kuwa na kifaa cha kuzimia moto, mnapiga kelele kuwa Fire Brigade ipo.

    Pia kuna umuhimu wa nyumba zote mijini kuwa na vifaa vya kuzimia moto, maana kila leo maisha na mali za watu zina/yanapotea, laiti kama vifaa vya kuzima moto majumbani vingekuwepo ingesaidia kuepukana na vilio.

    Nashauri bunge na serikali za mitaa kutunga sheria nyumba/majengo yote mijini lazima kuwa na vifaa vya kuzimia moto.

    Mdau
    Helsinki.

    ReplyDelete
  16. i tend to think this was a business strategy. no offence to mama hellen but those are my views... I'm sure the club was insured. now mbowe and abby watch out coz wen maisha reopens u two are gonna lose ua customers to this lady!

    ReplyDelete
  17. mama pole maisha ndivyo yalivyo

    misukosuko mingi ktk maisha

    chamsingi mwombe MUNGU kwa imani

    yako usiwaze sana kwani utatafuta

    maugonjwa yasiyo lazima bure eg

    presha n.k YAKAWAIDA KTK MAISHA

    KUNA MWENZIO ALIPATA AJALI AKAFIWA

    NA WATOTO WOTE WATATU WAKABAKI

    YEYE NA MUME WAKE ONA PIGO LAKE?

    ReplyDelete
  18. sehemu za maovu na dhambi tu hizi, kiama yake mapemaaa! palikuwa hapamtukuzi Mungu. nawaombea wote waliokuwa wakikesha hapo wamgeukie Mungu. Amen.

    ReplyDelete
  19. unfortunately, fire hazards are a way of life if one is involved in such businesses.

    my pole goes out to the owner of the premises and quasi-partner(s) if any.

    i am 95% sure that mama sweya is a tanzania born phoenix and she will rise from ashes of the current tragedy and be able to rebuild her business to better and greater heights for the common good in the area.

    something good always emerges from such tragedy no matter how painful it may have been to those concerned.

    pole sana. i wish mama sweya a quick recovery and at the same time some of us hope to see an upgrade of the previous premises when she is back in business as soon as soon as ready to do so.

    pole sana.

    ReplyDelete
  20. Dear Wadau

    Asanteni sana kwa pole zenu , asanteni sana kutufariji wakati huu mgumu.
    Haya ni maisha, tumeyapokea.tunashukuru kwani yametupa changa moto ya kuendelea, kwani maisha lazima yaendelee.
    Kuanzia Ijumaa ijayo tarehe 20/11/2009 tutaendeleza starehe za Club Maisha pale FLORIDA KEY WEST CLUB (mkabala na Jackies pub Oysterbay).Tutakuwepo kwa muda.Njooni tupeane pole na tuendeleze yale tuliyokuwa tunayapenda pale Club Maisha .
    Maisha yanaendelea. by uongozi wa Club Maisha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...