Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. dah si mchezo kitu kimekwenda shule usipime!!! safi sana hii kwa mtumaji na kwa michuzi pia. mdau weka na nyingine basi kama unazo yani hapa nakula raha si mchezo, na ka budweiser kangu baaaaridi pembeni huku mkono ukiwa juu ya kifua moto cha saa sita cha fiancee wangu. safi sana hii nimekumbuka nyumbani kwakweli!!!
    Jerry, NC, US

    ReplyDelete
  2. lol
    Michuzi kula tano ya haraka haraka
    weweeeeeeee
    you just made my day
    asante sana Michu !!!!!!
    lyrics on the other hand (very interesting)
    sikutegemea kabisa walikuwa wanamaanisha hivi.
    at least next time i will know what i'm listening 2
    umenikumbusha mbali sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    mdau Canada

    ReplyDelete
  3. Wow, this is nice....Nakumbuka wazee wetu wakicheza, vitendo na kuimba as if Huyo anayeimba hayo mamneno ni matamu na anamwimbia mpenziwe.....lol kumbe ni mwanamke anampasha shoga yake!!!!!!!!!! Kutokujua maana ya wimbo..

    ReplyDelete
  4. Mzee, nimekuvulia kofia. Hii nyimbo naipenda sana, ukweli sikuwa najua kabisa nini alikuwa analalamika. Thanks.

    ReplyDelete
  5. Hii imetulia ni vizuri umetujulisha maana yake maana wngi tulikuwa tunasikiliza tu.

    ReplyDelete
  6. Huo ndio utunzi, mtu anatunga mashairi yenye akili na yasio kwisha muda wake. Hayo ya kina Mamou na shoga zake yalikuwepo na hata sasa yapo, bora huyo Mamou mumewe alikuwa Kinshasa kampeleka huko Ubeliji kulea watoto, badala yake anafanya umalaya. Wako wanaoishi miaka hii na waume zao huko Ulaya na Amerika lakini tabia zao kama Mamou, na waume zao hawawezi kuwafanya kitu wanaogopa sheria/polisi, maana kitu kidogo tu, umeni abuse anakimbilia polisi.

    Naomba utuletee na ya Mario kama mtu ana tasfiri yake, nayo inahusu mama aliechoka kulea mwanaume tegemezi!

    ReplyDelete
  7. mdau wa jan, 12:25:00 PM nimekubali comment yako. umenikuna kidogo manake states hii kubwa nami nina kidosho changu cha kibongo naishi nacho hapa skani, nisije nikawa namegewa na mimi, manake mhh kiko sharp kwelikweli kwenye simu yake!!
    aidha nimependa ombi lako la wimbo wa mario. Kaka michuzi ukiweza tundika hiyo basi tusikie huyo shuga mami aliyechoka na kulea jibaba.
    NC

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...