The Memphis Grizzlies are sending No. 2 overall pick Hasheem Thabeet down for a stint in the D-League.

The move has not yet been announced, but two sources close to the situation on Thursday confirmed Thabeet's impending D-League assignment to the Dakota Wizards to ESPN.com.

Thabeet will thus become the highest draft pick ever sent to the D-League by an NBA team. Players can only be assigned to D-League duty by their NBA teams during their first two seasons as a pro.

Thabeet's forthcoming assignment to the Wizards -- Memphis' North Dakota-based affiliate -- was first reported by the Web site RidiculousUpside.com, which covers the D-League extensively.

Although the Grizzlies acknowledged that Thabeet was a long-term project when they selected him with the No. 2 pick in June over the likes of local collegiate star Tyreke Evans, Memphis was hoping that the 7-foot-3 center could survive as a backup in his first NBA season.
But Grizzlies coach Lionel Hollins announced earlier this week that second-year center Hamed Haddadi of Iran would begin receiving Thabeet's minutes behind starting center Marc Gasol.

The Grizzlies, according to NBA front-office sources, offered Thabeet and second-year guard O.J. Mayo to the Golden State Warriors for Warriors guard Monta Ellis before the Feb. 18 trade deadline but were turned down.

Thabeet, 23, is averaging just 2.5 points and 2.9 rebounds in 10.3 minutes per game for the Grizzlies and will supplant Portland's Martell Webster -- who played eight games for the now-defunct Fort Worth Flyers in the D-League in 2005-06 as the No. 6 overall pick in the draft -- as the highest draftee ever to play in the NBA's official minor league.

For Source CLICK HERE

For more on D-League CLICK HERE


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 72 mpaka sasa

  1. Safarihii anaweza asione Ikulu tena na serikali yetu siunaijuwa akianguka tu watamsahau hawatokumbuka aliyowafanyia na mwazo walivyomsheherekea. Hasheem tunakuombea kila dua uzidi mafanikio na usidondoke hapo ulipo inshallah mwenyezi atakupa kila atachokupa shukuru kwani kila kitu kinatokea na sababu. MD

    ReplyDelete
  2. Come On Thabeet, you were picked for one reason only; "You can Play Ball". Focus and do just that...May God be With You All the Way.

    NE,
    Reading, UK

    ReplyDelete
  3. Hasheem Pole sana. Mkuu rudi bongo ukagombee UGUNGE. Bahati mabaya waliokuwa wakikupokea airport na Ngoma watakukimbia na kukucheka, wewe ongeza bidii, utafika tu hata kama hiyo ni minor ligi. Mungu mkuu amekutoa mbali na hatakuacha kamwe.
    Mdau, Mbeba BOXI No1

    ReplyDelete
  4. Hashimu inabidi utafute kocha wa pembeni (tuition)...pesa ulionayo uitumie kwenye kukuza kipaji chako ili dau lako lipande baadaye. Wachezaji wengi maaru kama Jordan walikuwa na kocha wa tuition. Hivyo basi trip za kwenda bongo wakati wa off sizoni achana nazo...jifue kishenzi...na angalia sana wapambe wasikulostishe wakati bado uja ng'ara ktk NBA. Wasiliana na Orojuani akusaidie au Dikembe wakusaidie kutafuta kocha wa tuisheni...kama utasikiliza ushauri huu na wa watu wengine wanaokutakia mafanikio basi ujue utafanikiwa tu. Mimi mfano nilikuwa mkali sani darasani lakini ili nijiimarishe zaidi ilibidi nichukue tuisheni pale forodhani sec. kwa Lukinga na baadaye kwa Machi Know pale jangwani.....Tuishe ni muhimu Hashimu!!
    -Mdau Wakudumu!!

    ReplyDelete
  5. Nilishawai kusema kwamba NBA sio college ball. You have to play ball kubaki NBA. Kijana alipo anza mapepe summer time anasafiri around the globe ili alambe reputation ambazo hajazipata nikawaambia waungwana wake wakaribu mwambieni kijana kwamba NBA is uphill battle and there are more than one seven feet players who couldnt survive the ground battle.

    Dont get me wrong wapo waliotoka D league nakuja NBA lakini ni wachache sana. Kama Hasheem ataendelea na uvivu and uzembe the next move atakimbilia Israel League au Italy....

    NBA analyst

    ReplyDelete
  6. TAFUTA NCHI AMBAYO (CLUB) INACHEZA KWA KIWANGO KIZURI UKACHEZE WEWE BADO UKO SAFI, FEDHA YA OWNER INASUMBUA KIDOGO WANA (PUNGUZA) MAMBO MENGI.

    ReplyDelete
  7. Mimi sijaelewa kuna A-league, B-league, C-league, D-league na kuendelea?

    Je NBA ni A-League? au D-League ni Dakota League?

    Mdau uliyeleta habari hii tufahamishe maana huu mchezo wa huko USA sisi wengine tunashabikia majina tu hatuufahamu kwa ndani.

    Mdau
    Jijini London

    ReplyDelete
  8. D-League Salaries

    Salaries in the development league range from $12,000 to $24,000 a season, paid in part by money from the NBA. Due to such modest salaries, some Idaho Stampede players share an apartment in Boise. Jermaine Blackburn and Ronell Taylor's three-bedroom apartment is a testament to lives spent on the move. The white walls are completely bare. The focal point of the room is a huge television set where they spend most of their down time playing video basketball games. The team covers apartment rent and utilities. Blackburn and Taylor pay for their groceries and the monthly $40 charge for leasing a washer and dryer. Taylor, a 24-year-old guard from Alabama, says they split all costs down the middle.

    Life on the road presents further financial challenges. While traveling, NBA players are given $100 a day as spending money. Players in the Development League are given $30. That means meals are often limited to fast-food restaurants like McDonald's.

    The players talk about money and lifestyle in a matter-of-fact way. They don't complain. Many could be earning more money in Europe, but they know that the NBA often turns to players in Development League towns like Boise, Sioux Falls, or Bakersfield when they're in a crunch.

    Team Spirit in the Development League

    With talent scouts constantly on the lookout for excellent individual performances, Development League team coaches often have a difficult time teaching unselfish, team-oriented basketball. Bryan Gates coaches the Idaho Stampede. During a game against the Bakersfield Jam, he urges his huddled players not to let up.

    "We've got to take it. We've got to knock 'em out right now. Game is ours," he says.

    Coach Gates is successful in pulling the team together, and they win the game. In his post-game speech, he acknowledges the collective quest in the Development League to move up to the NBA.

    One particular player on the team is a constant reminder of that desire. Eddie Robinson played for the Charlotte Hornets for two years before signing on with the Chicago Bulls. That contract paid him $32 million a year. At the age of 24, he was set. He did what many instantly rich players do: bought his mom a house, bought himself a silver Bentley, and built a gym for underprivileged kids back in his hometown. He hired a financial team that Robinson says also invested his money and put him on a budget of $1,000 a month.

    "That's after all my bills are paid. I have like that much money to do anything with," he says.

    But in 2004, Robinson broke his foot. He's been out of the NBA since then trying to heal. His comeback attempt has brought him to the Idaho Stampede, where he's become a kind of basketball Yoda to his teammates. He imparts wisdom about life in the NBA and about the winner-take-all economics at the top level. He doesn't need the salary he makes in the development league, so he sends it all to his family in Michigan.

    "I'm not really here for that – you know – financial mo"ey," he say". "I mean, I love playing basketball and… this is the leagu' that's going to get me back to the next "evel."

    Because so many players feel the same, the competition is fierce to make it into the Development League, despite the paltry money. Lance Allred remembers pre-season tryouts for the Stampede, when bad shoes literally ripped the skin off the ball of his foot.

    "But it's camp, and you're not guaranteed, so you got to keep playing on it. So you just put some Neosporin on and wrap it up and just rub some dirt on it and bite the bullet and go back out there," he says.

    Allred is propelled by the allure of the NBA jackpot, which is more lucrative than ever. As the NBA aggressively courts overseas markets, revenues and payrolls stand to grow even more.

    source
    http://www.npr.org/templates/story/story.php?storyId=7239948

    ReplyDelete
  9. Naendelea Kupokea maoni yenu kuhusu habari hii isiyofurahisha.
    ahsanteni

    Mdau

    ReplyDelete
  10. Kuna utamaduni USA kuwa kila unalofanya fanya kwa bidii na maarifa na utakuwa successful. Hasheem unatakiwa kujitahidi. It is a shame for a 2nd overall pick kwenda ligi ya Minors. If you are not careful, that might become your grave (professionally). May God help you realize this.

    ReplyDelete
  11. UBE-SHOW ULIZIDI ETI ANAWASIKILIZA WANASIASA ULIPOKUWA BONGO HATA HUKUWAONA, BADALA YA KUTAFUTA UGALI NA MAHARAGE WEWE UNAKAZANA NA DRAMA, BWA NA MDOGO TAFUTA MAISHA, ACHANA NA ALINACHA ZA POLITICS, UKIDORORA HUTAWAONA HAO, NI MATAPELI WA POLITICS

    ReplyDelete
  12. Hakika niliyokuwa nikiyafikiria yametokea. Mimi kama Mtanzania imeniuma sana kuona Hasheem ameshuka toka pale alipo tufanya kuwa na fahari kwa kuwa na mtanzania anayecheza ligi yenye nyota wanao heshimika si Marekani tu bali na Dunia.

    Nimjuavyo mimi Hashimu na si Hasheem toka akiwa Shule ya Msingi, Sekondari Makongo, Mtaani Sinza Makaburini na hata pale katika viwanja vya Chuo Kikuu, mimi nikielekea uwanja wa mpira wa miguu yeye akielekea kwenye uwanja wa Basketball, "si kutaka kujifanya namfahamu sana" ila Yah! namfahamu sana kwa sababu ni age- mate wangu, tumekuwa pamoja, na kucheza michezo pamoja na hata madrasa tumesoma nae pamoja kwa Ustaadh Ally pale Sinza makaburini.

    Ngoja nije kwenye hoja yangu ya msingi, haya yote yanayo mtokea ndugu yangu, rafiki yangu na kijana mwenzangu tuli yaandaa sisi wenyewe. Tulimfanya ajione yupo ulimwengu mwengine wakati ndo kwanza alikuwa ameanza.

    Si mbaya kuitwa na Rais but tulitumia muda mwingi kumpa treatment za kifalme kuliko kumwandaa kisaikolojia ili aweze kukabiliana na mabadiliyo ya ghafla ya maisha yake ili a last longer kwenye wasifu wake huu mpya na wa ghafla.

    Kwa kijana yoyote yule angeweza kubadilika kama alivyo badilika ndugu yangu wakati nilipokutana nae street. Hasheem alishakuwa Mmarekani na si Mtanzania tena, Kiswahili lafudhi ikabadilika na kuwa ya mtu aliyezaliwa Marekani na kupewa tution ya Kiswahili na mzazi wake, coments zake zilikuwa za kudhihaki watu si marafiki zake tu hata viongozi wa michezo na jamaa zake kwa ujumla, kwa kweli ndugu yangu alikuwa ana jiweka katika namna ya kuwa yupo ulimwengu mwengine na kamwe hastahili kuwa kutika ulimwengu wetu.

    Ninacho walaumu watu wake wa karibu hata familia yake ni kwamba tuliona kabisa mwenendo huu hautamfikisha mbali lakini tulikaa kimya, si mlaumu kwani hata mimi ningekuwa katika hali yake ningeweza kuchanganyikiwa na kujiona nimefika.

    Hasheem si kwamba si mchezaji mzuri bali aliridhika, na hii inatokana na kutokuwa na washauri wazuri, inaonekana kabisa hakuwa anafanya mazoezi ya kutosha, kwenye game japo alikuwa anacheza dakika chache hakuwa na nguvu, speed nk.

    Ni mbaya sana kwa sababu amevunja Rekodi, mbaya zaidi ni Rekodi ni ya kijinga, coz kuwa second pick kwenye draft then unapelekwa kwenye D-League haijatokea kwenye Historia ya NBA na kurudi ni shughuli maana kuna vijana wanatangaza njaa huko kinoma, na hiyo kitu haipewi nafasi saana kama league ya college, so mpaka wakuchomoe urudi NBA "kumekucha".

    Tunakuombea urudi tena NBA lakini kaza buti usitumie muda mwingi kujulinganisha na kina Steve Nash, LeBron James ama kina Dwine Wade hao wenzako wako mbali, acha kupoteza muda mwingi kwenye facebook ama kwenda kwenye baby-shower! fanya mazoezi ya nguvu lala GYM utarudi kwenye form,urefu sio issue focus kwa unachokifanya hiyo ndiyo career yako.

    Mungu Mbariki Hasheem, Mungu Ibariki Tanzania.

    ReplyDelete
  13. Hiko ndicho unachokipata ukiendekeza beer,mademu na kutumia muda mwingi kwenye FACEBOOK baada ya gym..dogo anatuangusha wabongo sio kidogo..pick 2 halafu unaenda NBDL sio mchezo..

    ReplyDelete
  14. kwa maelezo yenu wadau ina maana D-league ni kama KUSHUKA DARAJA si ndio??so ina maana tayari eshashushwa au yuko mbioni kushushwa asipoonyesha kiwango?

    ata siamini mwee hashimu nakuombea

    ReplyDelete
  15. anon wa 07.21 feb 26...umezungumza vizuri na ukweli mtupu nakushukuru kwa kumpa mawazo mazuri dogo...mkimpondea haisaidii kitu zaidi ya kuwa hater

    ReplyDelete
  16. Duh watu wamejawa na chuki....yaani mijitu mingine inafurahiiya mwenzao kushuka daraja. Acheni roho mbaya jama...usikute kunawatu walimchezea ndumba, wabongo noma!!.

    OK now, Hasheem!!. Take this as an opportunity to prove your self, you know you love the game of Basketball, dude is passionate about the game....and you still get paid to do your favourite thing,play ball...so it's all good. Ushauri wangu kwako....go out there and play your game, I mean dominate the league. They will regret not fighting for you, and guess what...you still can play ball in Europe if it all fails. You're still The Dream home boy.

    Wengine mnashabikia na ku-criticize bila kuelewa hali halisi, the man was injured very early in his career. He hasn't been given enough time to showcase his game. He did good, he's better that LA Laker's Mbenga and many other guys on benches.

    Good luck to you son!

    ReplyDelete
  17. Hata hifo umechitahiti, tusemaje sasa?

    ReplyDelete
  18. hatumsemi vibaya lakini alizidisha kelele. Kurudi NBA sio rahisi tuwe wakweli. Ni habari inayohuzunisha sana hii iwe funzo kwa mastaa wetu wote.

    ReplyDelete
  19. Wat a BUST....Inauma sana! mi kama mbongo imeniuma sana.

    ReplyDelete
  20. dah wabongo kweli ni wabongo tu yaani mi nkashangaa tu kweli mmbongo NBA wapi na wapi bwana.but was told with a friend in the state that the guy is tall with no fucken talent now i start to believe in him.
    ndo manake sa umaarufu sasa inakuwa kama ni aibu mtupu.
    njoo ucheze stars tunatafuta wachezaji

    ReplyDelete
  21. Waosha vinywa tulizeni mpira. Hii timu nzima ya Grizzlies si timu nzuri, na Hashimu hapa anatumiwa kama "bangusiro". Hii timu ilifungwa mechi nane mfululizo na wakasema kwamba tatizo ni Allen Iverson na wakamtimua. Timu ikaanza kufanya vizuri na kuwa na matumaini ya kucheza "playoff". Timu imeanza kudorora tena, na wanaanza kumshambulia Hashimu kwa sababu tuu ndiye "the easiest target". Mchezaji ambaye anacheza NBA kwa msimu wake wa kwanza, labda hawa Grizzlies wanategemea mambo makubwa kuliko inavyotakiwa.

    Tupo tunaokusapoti bwana mdogo Hashimu na tumeshaona kwamba unaweza kucheza kikapu katika hali ya juu. Kumbuka, Bob Marley alishasema....
    "Why do you look so sad, and forsaken...when one door is closed don't you know....many more is open"

    ReplyDelete
  22. Very disapoint anabidi aje hapa atueleze what hapen manake kila mtu anaongea lake tu

    ReplyDelete
  23. kusema ukweli, thabeet game bado...we all know he was picked for the nba coz of his defensive prowess, but then again in nba, with little time hez had on the court so far, he ddint even show like he is the same Thabeet who won the most defensive player in college basketball.

    Pia, tukumbuke grizzlies wameharibu sana this season, so lazma marekebisho yafanyike, that happens even in soccer...benitez was a hero last season at anfield, ask the kop how they feel about him now?

    Pole ndugu yetu , but thats not the end of everything, u can still keep ur heap up high, WE TANZANIANZ ARE ALL STILL PROUD OF YOU YOUNG MAN.

    ReplyDelete
  24. Damn this is sad. I'm nt a n NBA expert but I have been reading comments everwhere and the general feeling is that Hashim lacked drive and/or was not worthy of the 2nd pick. That being said, its up to him to prove everybody wrong. It hard getting to the top. Its even harder staying there...

    ReplyDelete
  25. Nifafanulieni

    ReplyDelete
  26. MI SIELEWI! KWANI TIMU YAKE IMESHUKA DARAJA KAMA VILE, LIPULI,TUKUYu, COSMO, PAN AFRICAN, RELI N.K? AU YEYE NDO KASHUKA DARAJA LAKINI TIMU YAKE IKO GADO KAMA VILE MWAIKIMBA NA YANGA AU GABRIEL NA SIMBA? BANAEE MI SIELEWI!

    ReplyDelete
  27. Yeah kweli waenga walisema ng"ombe wa maskini hazai na akizaa anazaa mapacha....Inauma sana kuona kila kitu sisi wabongo ni watu wa mwisho tu siki zote , we expected that this guy at least he will push up our country world wide ,but as usually the results remain the same,it is really sad news for all Tanzanian doesnt matter our individual visions we have but the fact is that we lost good ambassador......
    I remember i was one of those who have been against coverage visit of Mr. Hasheem in Dar-es-salaam last summer it was too early for him to do what i did in Tanzania..... and i condemn local media for spreading false information about Hasheem"s future in NBA! wabongo mmezidi kwa upambe na unafiki mie nafikiri ni ukosefu wa shughuri za kufanya maana issue ya Jamaa ilikuwa breaking news kila siku, watu walisahau kwamba Jiji letu lina matatizo kibao ya kutatuliwa instead of that people gathered together to discuss NBA -SUPER STAR haya sasa leo mnaanza kumponda.mtoto wa watu mmemtia kichwa matokeo yake game haipandi sasa....
    Tatizo la Hasheem is social problem(mtu kama huyo alitakiwa apata masakologisti wa kuongea naye muda wote ili kumwandaa as internation prayer kuondoa uwoga hiyo hipo kila sehemu hata maraisi uwa wanafanya hivyo kabla hajaanza kazi) inayotokana na umaskini tulio nao kijamii, vijana wengi wa kitanzania wanakulia kwenye umaskini na maisha ya taabu (kijiweni)kwahiyo mtu akitoka kidogo basi anaona ahaaaa life limit ni hapa tu unaanza watoto,kilaji ,show off mtaani ile watu wakujue uliokuwa nao kijiweni as results una anza ku-give up kwenye training taratibu ngoma inatoka. Ndiyo maana unaona mpaka leo hatuna hata mchezaji mmoja inayecheza hata ligi daraja la pili ulaya (proffesion prayer).
    Many of my friends tuliocheza mpira wote primary,secondary mpaka Umiseta enzi hizo walikuwa vijana talented prayers matokeo yake ni kwamba mtu alikuwa akisajiliwa na club ya daraja la kwanza(PAMBA,SIMBA,YANGA ,RTC..) ana hacha na shule kwamba nimeisha pata maisha tayari, matokeo yake wengi wao wako hoi kimaisha..Kwahiyo hiyo kasumba ya kuridhika haraka tunayo sana hata huku Ulaya, in general wabongo siyo waangaikaji kama wenzetu wa nchi za Africa magharibi....
    Sasa my dear Hasheem vuta pumzi achana na wapambe in advice i would like to quote Basketball genius ,and let this be your future guide....(((((If you're trying to achieve, there will be roadblocks. I've had them; everybody has had them. But obstacles don't have to stop you. If you run into a wall, don't turn around and give up. Figure out how to climb it, go through it, or work around it.
    Michael Jordan )))))))))

    Mdau wa Kanyigo!

    ReplyDelete
  28. sasa wakaanga sumu wamepata vya kuongea lol utadhani wao wako perfect !

    ReplyDelete
  29. Kama mmoja alivyopendekeza hapo juu inabidi utafute coach wa tuition. Saa zote training kwa ajili ya nguvu na skills, hamna cha weekend wala nini.
    Kwa urefu ulionao hatakiwi mtu yoyote achukue rebounces infront of you. Talent ya shot blocking uliyoionyesha college fanya hivyo hivyo NBA. Jifunze mengi kutoka kwa uchezaji wa Mutombo kwani style zenu zinataka kufanana. (Au hata Superman ambaye alitokea high school) Kumbuka Mutumbo alivyokuwa ananyoosha kidole chake kusema hafungi mtu hapa.
    Achana na mambo ya kiswahili maneno mengi vitendo zero, achana na siasa na Ikulu, achana na facebook, fans, minuso ya wabongo, au ujiko wa aina yoyote ile, hapa US kitu kimoja tu kinachokulinda PERFORMANCE.
    Jaribu kuwa karibu na coach, uongozi na wachezaji wenzako katika kipindi hiki kigumu, wakati unavuta muda to prove yourself. Usiogope wachezaji wengine but have confidence in yourself. Usiwe laini/mayai, cheza kwa nguvu na speed. Tafuta mbongo wa karibu kama training partner unamlipa hela nzuri, any free time anakusukuma gym or court kukusaidia kurusha mipira and other practises. Kama una girlfriend for now mweke pembeni kabisaaa maanake hizo nguvu unazihitaji. Vinginevyo ni kumuomba Mungu wako na mambo yatajipa tu. Tuko nyuma yako na positive kwamba utafanya vizuri.

    ReplyDelete
  30. Mwanaspoti - USAFebruary 26, 2010

    It is really disappointing kwa 2nd overall pick kwenda D - League! but I am a little skeptical with the whole decision...The Grizzlies should give him a chance in the NBA by trading him to other teams, there are so many teams which needs him for real! Grizzlies wana Centers wawili ambao ni wazuri so the playing time for Hasheem was deteriorating all along. Kama wachangiaji wengi walivyosema anahitaji kuongeza bidii NBA sio lelemama endelea kujirusha but how do you balance that with your entry to profession basketball? atumie muda huo kujifua kwani kina Lebron James hawakufika hapo kirahisi. Nakubaliana na mdau aliyesema atafute mwalimu wa ziada; Kareem Abdu-jabbar amewasaidia ma center wengi ktk NBA akiwemo Shaq...ingawa kuna vitu ambavyo inabidi Hasheem avifanyie kazi yeye mwenyewe kama ku-shoot! he gotta learn how to shoot man! angaliakina Yao, Hakeem na Ilgauskas uwezo wa kufunga nje ya paint umewapa credit kubwa. I know Hasheem will read our comments in here all i want to tell him is to work hard Developmental League is not a grave kuna wachezaji kama Aaron Brooks ambaye ndio star wa Houston waliibuliwa kutoka D-League after being drafted. For his size and the position he plays (Center) he has a very good chance of boucing back. There are very few 7ft centers in the NBA Yao Ming, Dwight Howard, Zydrunas, Marc and Pau gasol(brothers), Shaq etc. Hata kocha wake sijapenda sana attitude yake he's been so unprofessional sometimes amekuwa akimtishia kumpeleka D-League for so long he was supposed to encourage him and not threating him! Kaza buti dogo wabongo tunakupenda and we will always cheer for you.

    ReplyDelete
  31. I heard on ESPN long time when analyzing Thabit.They said the guy is tall which is advantage for him,however,he is not skillful because he hasn't played basketball since his childhood.He has been playing soccer in his childhood.ESPN said you need to develop skills when you are child while playing unorganized basket.I was convinced with the analyst because i can see how Brazilian or African develop their skills in soccer,because they are playing since they are child and unorganized.

    ReplyDelete
  32. Candid ScopeFebruary 26, 2010

    KADIRI YA UZOEFU WANGU HAPA MICHEZO YA NCHI HIZI NI KUJITUMA KWA NGUVU ZAKO ZOTE NA AKIILI YAKO YOTE IWE HAPO KATIKA MCHEZO.
    VYUONI WANAFUNZI WANAFANYIWA KILA KITU NA CHUO NA WALIMU WAO. lAKINI LIGI YA KULIPWA NI JITIHADA ZAKO MWENYEWE KWANI WANAKULIPA HIVYO TUMIA AKILI YAKO NA NGUVU ZAKO VINGINEVYO UNAENGULIWA NA MWINGINE ANAINGIZWA HAPO.
    KUMBUKA KATIKA TIMU ANAYOCHEZEA HASHEEM MMOJA WA MASTAA WALIOPOKEWA KWA KISHINDO NI YULE GWIJI ALLEN IVERSON KACHEZEA MECHI TATU AU NNE KAONA MAJI MAREFU KATOROKA NA SASA YUKO TIMU YAKE YA AWALI YA PHILLADEPHIA. ALLEN IVERSON NI MCHEZAJI MWENYE SIFA YA KUWA MFUNGAJI BORA WA NBA KWA MIAKA MINGI HAPA HATA KUMPIKU KOBE NA MMOJA WA WANAOSHIKILIA REKODI YA mvp ALL STAR WA NBA.
    CHA MSINGI NBA NI KUJITUMA KWA NGUVU NA AKILI ZAKO ZOTE NDO SIRI YA MAFANIKIO. TUSIJE FIKIRIA KAMA UCHEZAJI WA RADHAA WA KIBONGO.
    MICHEZO MINGI NILIYOMWONA AKIPANGWA HAFANYI JITIHADA NA HIVYO MASHABIKI KUTOKUWA NA LA KUMTETEA KWA YAMTOKEAYO.
    MWAJIRI WAKE ANATAKA PESA ANAYOMLIPA IONYESHE MATUNDA SI MRADI KUWA NA LIST YA WATU KWENYE TIMU.
    ASHAKUM SI MATUSI, WABONGO TUJENGE UTAMADUNI WA KUMWENZI MTU BAADA YA KUONA MATUNDA SI KUMVIMBISHA KICHWA WAKATI HATA HAJATIA MGUU NDANI KUONA NINI KINAENDELEA.

    ReplyDelete
  33. When will teams learn you can't teach fundamental basketball skills and this kid has none. He is just a tall dude. He can't dribble a basketball or shoot a basketball. He dominated on defense in college playing mostly zone. He can't run or gaurd anyone. Absolutely worthless pick and Memphis should fire whoever made it.

    ReplyDelete
  34. This is not as big of a deal as some people here are making it. Hasheem Thabeet just needs to develop his game. There's nothing wrong with that. He's from a poor country and he didn't even start playing basketball until he was 15. If he was in the United States someone would have grabbed a hold of him much earlier.Mdau Columbus

    ReplyDelete
  35. Hasheem wewe hauna Shetani wa mumlaumu. Waangalie wenzio wakina mashaka John, hawaonekani kwenye mapati sasa wewe hata nusu mwaka hakuna lakini NBA buti, mzee hapa umechemka picha na tototzzzz kwishney. Mange sijui atatupa zile picha zenu?

    ReplyDelete
  36. I quoted this from Memphis website

    "Circumstances have not been as kind to Thabeet, who never should have been a lottery pick. But he has not helped himself. His struggles already apparent, he fired up his critics during NBA All-Star Weekend. While Tyreke Evans, the former University of Memphis standout who went No. 4 in last year’s draft to the Sacramento Kings, was busy scoring 26 points in the T-Mobile Rookie Challenge, Thabeet was posting messages on Twitter about how much fun he was having at the mall."

    sio ku-hate, but Hashimu aliridhika mapema. Watanzania tulimpa kichwa sana to the point he believed he was a superstar already.

    ReplyDelete
  37. Kwa ufupi ni kuwa timu yake haijashuka daraja, bali Hashim kashushwa daraja akajifue zaidi ili akiweza kuthibitisha kuwa anaweza kucheza tena watamwita kwenye timu.

    Kama umetazama mechi alizocheza utaona kuwa hajaonewa hata kidogo. Jamaa anakimbia tu uwanjani, hajitumi wala hana munkari kama wenzake kina Kobe au LaBron James, no machachari, magoli hafungi wala hajitumi kutafuta magoli yake binafsi.

    Namshauri, awe ngangari uwanjani, apige mikwara mingi kama wenzake na ajitume kupiga vikapu.

    Leo anacheza na timu yake hiyo ya daraja D, cheki hapa
    http://www.nba.com/dleague/

    ReplyDelete
  38. Hey hasheem needs to prove his ability.unajua tatizo ya sisi watanzania ukishapata success kidogo basi unataka show offs nyingi na kutaka fame ambayo muda wake hujafikia..Huyo hasheem kuna watu wengi sana ambao they helped him while he was in the transition kuchaguliwa nba but alivyochaguliwa tu wale watu akakosana nao unajua watu wako wa karibu ndo watakwambia makosa yako lakini sio wale ambao wapo na wewe kwa ajili ya fedha na umaarufu wako,kijana hajitumi kwenye game na wala he is not showing any sign of improving sasa ndo ameona matokeo yake,yani ni aibu sana mtu kutoka nba na kupelekwa d league mana at most watu wanatoka d league ndo wanakuja nba kwa hiyo kijana inabidi akaze buti sana tu..aachane na mentality ya kwenda tanzania na kuanza kuwaponda watu while he hasnt yet accomplished his goals..now he needs to be consistent on his games achana na sifa za kizamani yani you don even act kama celebrity bana we kila siku facebook kutuma ujinga na kuweka picha tu wenzako wakina lebron na wade got no time for dat ila wwe kwa sababu ni limbukeni ndo unataka kujionyesha na hii yote ni kutokana na sudden change ya maisha mana kutoka kwny poverty hadi kuwa millionare..kaza buti mzee achana na ushamba ww wabongo only will show love ukiwa on top tu ukiishiwa we utabaki na ur family tu wale wote mnaojirusha nao hutawaona kk..kk michuzi asante sana kwa hizi taarifa although umechelewa kidogo kuipost mana hii headline ilitokea feb 20...huyo jamaa wake wa karibu wengi sshv anajifanya hawajui na kuanza kujihusisha na watu ambao wamekuja baada ya yy kuwa rich we mwache tu when the money goes ndo atajuta kuzaliwa mana inavyoelekea ss wanaweza even terminate tha contract ndo sijui ngoma atachezewa na nani pale airport...concentrate on your game kijana hizo millions wala wabongo hawaogopi mana wao wakipiga za EPA hawana tabu..ni hayo tu michuzi usibane hayo ni mawaidha ya mdau wa kikapu..columbus

    ReplyDelete
  39. Jana nilikuwa naangalia local news hapa Connecticut,mtangazaji akasema "He[Hasheem]perhaps should have stayed for his senior year" ukweli ni kwamba,kijana bado mayai mno...he needs to Hustle,piga chuma..unaona vile vijamaa vidogodogo NBA lakini vina nguvu balaa,huu mchezo unahitaji Stamina maan!uongo mbaya tuendelee kujipa moyo wa TZ lakini hiyo ndo imetoka babu,i hope ana plan B...RUDI SHULE,you could be the tallest Lawyer if you got it in you,Michu usibanie hii lazima apate message,sio kumfagilia na kumwekea EXCUSES!......Mdau Connecticut.

    ReplyDelete
  40. hiyo timu yenyewe ni mdembwedo.wasitake kumuharibia kazi.yeye ni rookie na pia kabla ya kumchagua walishajua background yake hivyo ilikuwa wajipange fresh kumsaidia kwa hali na mali ktk suala la mazoezi hadi kiakili.
    Yao Ming aliingia USA akiwa hana kipaji zaidi ya urefu.lkn bidii ya makocha na yake mwenyewe ikasaidia.
    Hashimu anahitaji/alihitaji msaada wa kina ili kuhimiri dhoruba ya NBA.hiyo timu yake/kocha ndiye aliyemuanguasha.

    usikate tamaa Hashimu,kaza buti kwani safari bado ndefu.

    ReplyDelete
  41. Haaaa JAMANI SISI WABONGO TUMEKOSA NINI KWA MUNGU JAMANI? AMA KWELI NG'OMBE WA MASIKINI HAZAI!!! SASA HASHIM HATA MWAKA HAUJAPITA WANAKUSHUSHA TOKA A KWENDA D. TOKA KUPATA MILLIONA KWENDA KWENYE VIJIELFU. YAANI ULITOWEKEA HISTORY WATANZANIA KWA KUWA THE FIRST IN NBA 2ND PICK. SASA UNATUWEKEA HISTORY CHAFU ZAIDI KWA KUWA THE FIRST HIGHEST DRAFT PICK EVER TO BE SENT TO THE D-LEAGUE BY AN NBA TEAM" MUNGU ATAKUSAIDIA TU. KAMA IKIWEZEKANA JIONDOKEE TU RUDI NYUMBANI BABA. AU UKIFIKA HUKO FOCUS KWENYE MICHEZO ACHANA NA MAPARTY YA WATANZANIA , TAFUTA TUITION FOCUS BABA NA MUNGU ATAKUSAIDIA. DOOOOO INAUMAAAAAAAA. ZILE NGOMA AIRPORT NA WAZIRI KUJA KUKUPOKEA HAUTAZIONA TENA!!! SASA UTAONA TABIA YA WATANZANIA WATAKUSAHAU KAMA MBOGA YA JUZI.WE NEED TO SUPPORT HIM, HE IS STILL OUR SON. HE NEEDS US MORE THAN EVER.!!!!

    ReplyDelete
  42. Jamani wengine mnasema oooh eti wabongo tuna roho mbaya au tunamuonea wivu dogo tukuongea ukweli kwamba dogo kachemsha. Sasa na hawa hapa pia ni wabongo?? http://myespn.go.com/s/conversations/show/story/4946483

    ReplyDelete
  43. Naendelea kupokea comments zenu wadau. Sasa napenda kuchukua nafasi hii kumkaribisha hashimu Thabiti nae aongee machache kuhusu hili suala. eti Hashimu how far is this unbelievable stoy true? Karibu sana bwana hashimu. Jamani tunyamaze sasa tupunguze kelele na uosha vinywa tumsikilize muhusika mwenyewe. ahsanteni sana kwa usikivu wenu.karibu sana Hashimu utoe machache
    ahsante

    ReplyDelete
  44. Ni changamoto za kimaisha tu na pia ni blessing in disguise kiaina. Akiwa NBA amekuwa akicheza dakika kumi hivi kwa mechi, hupati uzoefu namna hiyo. Kwenye D-League anaweza kuwa anacheza dakika 35 kila mechi na wachezaji wenye machungu ya kutoka. Itamsaidia kupandisha usongo. Akomae tu kiwango kitapanda.
    Yanga inabidi nao wampeleke Jama Mba hapo Abajalo.

    ReplyDelete
  45. Hingera US Blogger.

    ReplyDelete
  46. Nilisema Mimi Kaa shule wewe, umebakiza mwaka mmoja tu.!!! kupata kidegree chako. Haukusikia. Sijui kama vijiela bado vipo. Rudi tu shule baba weeeee. kajipatie kijielimu labda utakumbukwa ikulu.

    ReplyDelete
  47. washikaji kazi mliacha time to come back mtalaumiwa nyie sasa ondokeni mapema

    ReplyDelete
  48. Wadau wenzangu,

    Huku ulaya inabidi ujitume bila ya hivyo utashuka chini na kurudi juu tena kasheshe. Lakini ni vizuri haya matatizo yamemkuta wakati bado ni mdogo, ana muda mwingi sana wa kufanya mengi, ningemshauri arudi university akapate digrii kadhaa arudi nyumbani atumikie taifa letu. Licha ya kwamba tuko ulaya lakini pia huku bado tunadharaulika sana na wazaliwa wa huku haswa ukiongea wanaona english yako sio nzuri. Na pale alipo ndio atamjua rafiki wa kweli nani, hashim rudi shule. My boy will bounce back. Dont give up bro everything happens for a reason.

    ReplyDelete
  49. Waswahili mshamchota mguu huyu jamaa alikuwa anakuja juu vizuri eti sasa hivi ni anatemwa. Hashim mtafute shehe yahya hussein atakuagua.

    ReplyDelete
  50. Hili ni fundisho kwetu sie watz ni akija kutokeza mtu mwingine anakuja juu hivi tunamwacha mpaka atakapotuletea ushindi wa aina fulani sio tu kuchaguliwa (mfano wa ushindi uwe, kikapu, kombe, nk) sio tu ilimradi kafanyiwa intavyu na cnn basi mnampa wazfa, wtf.

    ReplyDelete
  51. Kuntry Boy,MISSISIPPIFebruary 27, 2010

    kwa wale mlio uliza maana ya D League, it means development league. ukisha kuwa una contract na timu ya NBA halafu hukupafome vizuri hi nni hatua inayofuata baada ya kuwekwa benchi mdaa mwingi. ukiweza kuimprove kwenye hii league utarudishwa kwenye timu , ukichemsha huko pia ...BYEBYE. ila mshahara wako uko palepale mpaka contract yako iishe.
    HASHEEM STICK UR HEAD UP MEN....

    ReplyDelete
  52. Mimi sidhani kama bwana Hasheem aliaga vizuri nyumbani ushauri wa bure next time ukija bongo waambie wakubwa wako wakupeleke Bagamoyo na ukamalizie Mwakidila,Tanga

    ReplyDelete
  53. THE TRUTH(UKWELI)
    HASHEEM ana gurantii(guarantee)contract itayompa zaidi ya shilingi bilioni kumi kwenye miaka miwili.
    ANAONGOZA (sasahivi)NBA kwa block shots per 48 minutes,kwa wanojua hiyo statistic atakuwepo NBA for more than 8 years.
    NBDL(D_LEAGUE)sio daraja ya pili au yosso na D inasimama kwa DEVELOPMENT na Hasheem ni mbongo akuzaliwa na mchezo wa kikapu bali soka, the more he plays the better he's gonna get...so dont hate people!!!! ANYWAYS HE WILL BE BACK IN THE NBA IN TWO WEEKS

    ReplyDelete
  54. Coach BAHATI MGUNDAFebruary 27, 2010

    Nina mawazo tofauti na wachangiaji wengi ambao mnazidi kumpiga madongo Hasheem, I hope mgeelewa maana halisi ya 'assignment to the D League' from what i understand he is still with Memphis, na anaweza cheza D League kwa wiki moja , wiki mbili au mwezi then go back to NBA. Kwa hiyo inaweza kumsaidia yeye zaidi ya kuendelea kukaa bench akiwa na Memphis. Acheni chuki na jitahidini kuelewa kuwa hi sio siasa. Kama aliitwa Ikulu kinachowauma nini? wameenda kina Joti au nae mnafurahia alivyoumia?. kuna facts na zitaendelea kuwa hivyo labda mmpande juu mkazibe.. ni Mtanzania wa kwanza kuingia NBA, 2 draft pick 2009 and he is proffessional, disciplined and still working hard. NBA sio wajinga kiasi hicho kumpeleka D league 2nd over roll pick ambae wanaendelea kumlipa! NIna matumaini makubwa kuwa ataendelea kufanya vizuri, cha muhimu ni kuendelea kumpa moyo kwani ni mtanzania mwenzetu na anatuwakilisha!
    Coach BAHATI MGUNDA

    ReplyDelete
  55. JAMANI KWANI VIPI? HIYO TAARIFA IMEKUJA KWA 'KIDHUNGU' NASHANGA WABONGO MMEIKONMALIA KWA LUHGA YETU YA KIUMATUMBI AU NDO... AH NGOJA NIACHE NISIJE NIKAWAKUMBUSHA STAA MWINGINE ALIYEZUA GUMZO MWAKA JANA KUHUSU KIINGEREZA!! HATAHIVYO NAMSHAURI HASHIM (HIVI NI HASHIM AU HASHEEM?) KAZI ZIKO KIBAO SIO LAZIMA MCHEZO WA KIKAPU KAMA HUKO NJE KUNA BANA NJOO BONGO UWE PR MAKAMPUNI YAPO YABNATAFUTA WATU WENYE MAJINA!!

    ReplyDelete
  56. So wat if hasheem is on fb al day long? So wat if he likes madem? So wat if he thnks he'z al tht? So, so wat? Why does every1 thnk tht Hasheem doesn's kno wen he's played a good game or a bad game? He knows and he feels bad wen he sux, and he celebrates wen he wins! He is human, ppl get it and stik it in ur heads! Ataendelea kucheza b-ball until wen He says it's enuff, but it won't b bcoz u'all r talkin craap abt ths minor obstacle which he is gonna get past b4 any of u can clear hivyo vi-mshahara vyenu hapo mnapofanya kazi za kitumwa!
    MICHUZI I don't thnk HT shud even dignify these comments frm haters. It will upset him even month. Duh afadhali watu wakuseme in English it sounds better thn hizi moto wanatema kwa kiswahili! Na kwale wanaolalamika eti amewa diss alivoingia NBA, suck it up! He dissed me too but u ain't heard me losing my sleep over it! Mbona nyie mmewatema wale jamaa zenu ambao mlitumia hadi majina yao kuingia sekondari, leo hii mnajifanya hamuwajui, sembuse HT ambaye kahangaika mwenyewe tena kwa kudharauliwa na kuonekana ngongoti mnamcheka anavoning'inia kwny daladala! Ndio ana hasira na nyie, ndio anafanya atakavyo na hizo pesa zake, ndio atachagua marafiki wapya...waaat u gon' do abt it, huuh?
    www.istillluvhasheem.blogspot.com

    ReplyDelete
  57. Hasheem never mind the haters,your true fans always stay with you in good times and bad times all the time.Who cares whether its a D-league or E-league or F-league.As long as u still have a couple of millions after bills,kila kitu kitakuwa kizuri tu. One thing about some people "When u get on top they will admire you and think you are wonderful,praise u,put you on front seats on parties ,and wanna take pictures with you but just as a small wind comes ur way they turn around completely as if they where not there.Gudluck in everything you do,u can still pull up.
    mdau
    duniayetukubwa.blogspot.com

    ReplyDelete
  58. mdau Istillluvu.blogspot acha kutetea eti kwa sababu na wewe ni mmoja wa wale waliopitiwa na hashim thabiti(HT so u call him) acha unafiki wewe ndio ulikuwa wa kwanza kuongea trash kuhusu hashim mpaka hapo ulipokua nae ndio ukaanza kumfagilia. umebwagwa muda wako umepita anaenda na high class sasa hivi sio level yako pls sit dwn umemaliza kupanga mafile tayari?get a lyf unafikiri atakufikiria nini japo $100? umeumia.

    ReplyDelete
  59. bwana i need to know more how was he able to survive in the college basketball and not be able the finish even the second season of the NBA and he was like the second pick in the draft......that really sounds kinda strange but wabongo we just have to get used to it!!!!

    ReplyDelete
  60. Jamani wabongo acheni hizo. Jamaa wala hajatolewa kwenye timu na ni kweli kapelekwa D-League lakini si kama mnavyosema ninyi na wala lengo la kocha wake si kumtoa kwenye timu na si kuwa hawezi kucheza, kapelekwa huko kwa kuwa anatakiwa ajifue ili timu yake iweze kumpa dakika zaidi za kucheza kwa kuwa katika ligi ya NBA hashim hapati muda mwingi wa kuwa uwanjani. Ni kweli kuwa anao upungufu, lakini si kuwa hawamtaki tena na wala hatachezea timu yake.

    Jamaa anayechukua nafasi ya Hashim wakati Hashim akiwa huko D-League (Hamed Hadad, mu-Iran) naye alipelekwa huko na kocha huyohuyo ili apate mazoezi, kamaliza muda wake na ndiyo maana kocha kaamua Hashim naye aende kwa kuwa Hadad kaonesha mafanikio kwa kushiriki katika hiyo D-League. Na Kocha wa kina Hashim haitumii D-League kama adhabu wala kushushana hadhi bali kama sehemu ya wachezaji wake kufanya mazoezi na kukuza kipaji. Hivyo Haina ubaya wowote kwa Hashim kwenda huko na jana Kacheza mechi moja na timu inaitwa Erie ya PA.

    Maelezo zaidi soma hapa chini mahojiano ya kocha wa hashim na waandishi wa habari:
    http://www.bismarcktribune.com/sports/basketball/professional/dleague/wizards/article_62a51b12-2335-11df-8fe0-001cc4c03286.html

    ReplyDelete
  61. YAH, NI KWELI BWANA MDOGO KAPATA MTIKISO KIDOGO. LAKINI NADHANI HAISAIDII KUENDELEA KUNUNG'UNIKA, KUHURUMUA, KULALAMIKA AU KUTUKANA. USHAURI UNATAKIWA ZAIDI. LAKINI NATAKA KUSEMA KWAMBA, HASHEEM NI MRADI, TENA NI MRADI MKUBWA, KWA TIMU YAKE, YEYE MWENYEWE, KWA FAMILIA YAKE NA NCHI/SERIKALI KWA UJUMLA. SASA NI NINI KINATAKIWA HAPA. (1) TIMU YAKE TAYARI KWA KULIJUA HILO, KWANI ZINAWATOKA FEDHA NYINGI, NA KUWA ANATARAJIA KUANZA KULIPA MIAKA IJAYO, IMEMPELEKA KWENDA KUJIFUA (MUDA MWINGI WA KUCHEZA)(2) YEYE MWENYEWE NADHANI ANALIJUA HILO KWAMBA, AMESHIKILIA KARATA YA MWISHO, NAAMINI ATAKUWA ANAJUA KILICHOMPELEKA D LEAGUE. SIDHANI SISI TUNAO UWEZO WA KUMSHAURI KWA USAHIHI ZAIDI KULIKO KOCHA WAKE, NA MENEJA WAKE. WOTE WANATAKA MATUNDA. (3) FAMILIA YAKE INAO MCHANGO MKUBWA SAAAANA. SINA UHAKIKA WA UELEWA WAO. LAKINI HUU NI WAKATI WA KUMTIA MOYO, KUMSIMAMIA AKAE KATIKA MAADILI YA KUELEKEA MAFANIKIO. WASIBAKIE KULEWA NA MAFANIKIO KIDOGO YA LEO LAKINI WAANGALIE MIAKA KUMI MINGINE. WAWE WAKALI KWA HALI ZOTE. KATIKA KUNDI HILI, SISI SOTE TUNA WEZA KUMSAIDIA KWA MAWAZO NA USHAURI NA KWA VITENDO PALE INAPOWEZEKANA. INATAKIWA WATANZANIA WOTE TUISHABIKIE TIMU YAKE KWA KUJIUNGA NA FAN CLUB, KWENDA UWANJANI NA KUSHANGILIA KILA ANAPO-BLOCK AU KUFUNGA(4)KWA NCHI/SERIKALI. MIMI NADHANI NI MUDA MUAFAKA SASA, WA KUACHA KUWARUKIA WALIOPATA MAFANIKIO NA KUWA PARADE, BADALA YAKE TUELEKEZE KATIKA KUWAVUMBUA KINA THABEET WENGINE. PROTOCOL ALIYOFANYIWA HASHEEM NI NZURI, TENA NZURI SANA, LAKINI ISIISHIE KUKUTANA NA RAIS AU WAZIRI TU. IHUSISHE NA PALE KUNAPOTOKEA MATATIZO. NAAMINI KABISA RAIS WETU/ MAWAZIRI WANAOHUSIKA LAZIMA WATAKUWA WAMEWASILIANA NAYE KWA NJIA MOJA AU NYINGINE. KAMA BADO INABIDI WAFANYE MARA MOJA, KWA SABABU KAMA ATAFANIKIWA HAPO BAADAYE NCHI ITAKUWA IMEMPOTEZA, NA KAMA NILIVYOSEMA YEYE NI MRADI, MAANA UNAPOZUNGUMZIA DOLA MAMILIONI, ROHO HAZIWASHITUKI. HIZO ZITAKUWAINVESTED WAPI??. NADHANI BADO HATUJACHLEWA, SERIKALI/WAZIRI MHUSIKA AFUNGE SAFARI, AENDE KUONGEA, NAYE AMWELEZE NINI WATANZANIA WANATAKA KUTOKA KWAKE. AMWELEZE BAYANA MATATIZO YAKE NA KUWA SERIKALI IKO NYUMA YAKE. KAMA TIMU YAKE HAIMLIPI, BASI SERIKALI I-INVEST KWAKE, INAWEZA MAANA IMEWEZA KUFANYA HIVYO (WORLD CUP). NIMELISEMA HILI KWA SABABU NIMEONA MICHEZO INAVYOLIPA, NENDA ETHIOPIA, UTASHANGAA NA KUFARIJIKA SANA. THABEET NI KENENISA WETU. KWA PAMOJA TUNAWEZA. BWANA MDOGO HASHEEM, NATAKA KUKUHAKIKISHIA WENGI TUKO PAMOJA NAWE, MAFANIKIO YAKO YALIIBADILISHA NCHI.
    MUNGU AKUBARIKI.

    ReplyDelete
  62. Mdau wa saa 8:22 p.m...you can try "positive energy"... naona hii "negative energy" itakupa misuli usiyohitaji ktk maisha na binadamu wenzako.. nadhani mdau www.istillluvhasheem.blogspot.com anafupisha tu jina la Hasheem Thabeet. wengine wakilifupisha hawatumwi kupanga mafaili... au una bifu nae? fungua moyo sema usikike...

    ReplyDelete
  63. Mzee michuzi, mimi naona ishu ya bwana thabiti imeanza kumalizika in principle - yaliyobaki ni taarab za waosha vinywa. Hashimu pumzika sasa u-focus mbele. Bado kuna watu wengi zaidi wanaokujali kuliko hao wachache wanaochukia chuki binafsi. Familia yako iweke mbele kila siku na sala zenu zitasikilizwa tu bila shaka...
    Na sisi watoa maoni tunazidi kukuombea mafanikio hata kama kuna wanaokosoa, nao wanakuombea mazuri.

    1.

    ReplyDelete
  64. naona watu wamepata nafasi ya kusema waliyokuwa wanataka kusema awali ila fursa ilikuwa haijapatikana, take it out! Ukweli ni kwamba kwa HT kupelekwe kwenye D-league ni kiasi cha kumpa nafasi ya kucheza mechi and ku-put in action what he has been practizing and learning, kwa sababu kwenye NBA imekuwa ni vigumu kupata nafasi hiyo (dakika 11 kwenye mechi 50) is not good. Kitu ambacho nitamshauri HT ni kujituma zaidi kwa sababu atapata nafasi ya kucheza zaidi siyo mazoezi tu ila na real matches, it is not easy but it can be done, HT ameshapita vikwazo vingi kufikia alipo sasa sioni kama itakuwa ni vigumu kwa yeye kuendelea, lakini ukisoma maoni yote hapa ni kumponda tu, ni kama wabongo tulikuwa tunangoje kijana wetu a fail. Iam not suprise ndivyo tulivyo. HT umepata nafasi ya pili, wake up and work hard, I am praying for you to make it! Goodluck. No matter what happen you made and it will not be the same.

    Mdau wa springfield, MA

    ReplyDelete
  65. Jamani hajapelekwa kabisa...Mbona mmemshupalia hivyo? By March the 7th anarudi kwenye timu yake....Wakaanga buyu mmefurahi kweeeeeeeli agrrrrrrrrIt is likely that Thabeet will return to the Grizzlies after Dakota's game against Los Angeles on March 7, but Wallace said it depends on how the assignment goes.

    ReplyDelete
  66. HT alichaguliwa NBA kwa sababu ana kipaji,na kweli kipaji anacho.Ila kipaji bila kujituma nacho hupotea.
    Huyu bwana nafikiri ndoto zake zilikuwa ni kuingia NBA tu na wala si kucheza,alishaona kayapatia na bichwa kuwa kubwa na kusahau anachotakiwa afanye.Sawa kabisa kupelekwa NBAD akatie akili.Umetutia aibu wa Tz na Africa kwa ujumla.

    ReplyDelete
  67. Thabeet goes on ..... to Dakota

    STEVE WARDEN
    The Journal Gazette

    You might want to TiVo that USA-Canada hockey game Sunday and try to get out to the Coliseum for the 5 p.m. Mad Ants game with Dakota.

    It's not often that a No. 2 overall draft pick finds himself in the NBA D-League, but that's where Dakota's Hasheem Thabeet has found himself.

    The 7-foot-3 center, who was a second team All-American at UConn, will be in the Coliseum to face the Mad Ants.

    This is exactly what NBA commissioner David Stern had in mind when he formed the NBA Development League. It's a place where players can hone their skills in game situations rather than have their skills deteriorate on the end of an NBA bench.

    Thabeet has always had his defense; it's just that he hasn't tooled his offensive game yet, but give him time. And time is what he should get while playing for Dakota.

    ReplyDelete
  68. Haya jamani hashimu huyo D-League
    http://www.ridiculousupside.com/2010/2/26/1328539/hasheem-thabeets-d-league-debut

    ReplyDelete
  69. Mdau wa springfield, MA you are very intelligent
    ingalalo kafika huko na kama kukosa ni matokeo pia.
    Tumpongeze na kumpa moyo

    ReplyDelete
  70. nshimimana aka dumisaneFebruary 28, 2010

    ..Hasheem is no 'DIKEMBE MOTOMBO', y'all heard it here first in June, 2009.

    = = =
    Buffalo, (ni mbali kidogo kutoka Dakota Wizards walipo)
    New York

    ReplyDelete
  71. Nimesoma maoni haya kwa kweli sijaamini kama kweli watanzania tuna roho/mioyo michafu na yenye kutu namna hii. Huyu mwenzetu ni kijana ambaye yuko kwenye prime age, anakua na bado ana mwendo mrefu mbele yake. Atafanya mambo mazuri na pia mabaya kwani sisi wote ni sawa na binadamu wanafanya makosa na wanarekebisha/rekebishwa. Kwa hiyo basi tummpe nafasi aweze kufanya vitu vyake...kama aki screw up ana screw up kwa manufaa yake na familia yake, nyie haiwahusu. Hii nchi wenyeji hawapendi kuona wageni wanafaidika, kwa hiyo inabidi tumpe changamoto ajitahidi kuliko kumdidimiza. He needs a MENTOR...
    Mdau
    KABURU- PHILA

    ReplyDelete
  72. Jamaa akaze Msuli tu na aachane na umayai coz kwa kusema ukweli jamaa bado laini sn me mwnyw nmecheza nae mazoezi namuona alivyo mayai!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...