Mlezi wa ATSA DR.Mshokolwa akitoa nasaha zake kwa wanATSA huku Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa aliyezuru Algeria Kikazi Mh. Bernanrd Membe akimsililiza ka makini mwisho wa mezaMH. MEMBE akiwa katika picha ya pamoja na viongozi w juu wa ATSA, Kutoka shoto ni Rais wa ATSA mh.SEIF PEPO akifuatiwa na Mh.MEMBE ,akifuatiwa na makamu wa Rais wa ATSA.mh.Habibu H.RUHOMBO na mwisho i mwweka hazina na wa atsa mh.OMARY PINDO
Mh. Membe akiwa katika picha ya pamoja yeye na ujumbe wake na viongoz a juu wa ATSA kutoka kuli ni DR.mshokolwa akifutiwa na mbe wa mbea mjini Mh.BENSON MPESYA akifuatiwa na mkurugenzi wizara mambo ya nje anayeshughulikia mauala ya Afrika balozi.
Mh.Membe akiwa katika picha ya pamoja na ana ATSA walio hudhuria kikao kicho na wazir(hakuna wanawake kwa kuw kikao kilikuwa ucku napia cha kishtukiza kutokana na ratiba ya waziri, katika ATSA kuna kina dada pia)

Waziri wa mambo ya nje mh.Membe alipata fursa ya kuongea na baadhi ya wanafunzi wa kitz wanaosoma Algeria juzi usiku pindi alipopeleka ujumbe maalum wa rais JK kwa rais wa Algeria A. BOUTAFRIKA.

Mh. Membe kwa upande wake aliwapasha habari za nyumbani zinazo husu siasa,uchumi na kijamii zikiwemo za umuhimu wa uraia wa nchi mbili na suala la mgombea binafsi.

Kubwa zaidi Mh. Membe alitoa ahadi ya kushughulikia matatizo yote yanayohusu wanafunzi watanzania wanaosoma katika nchi mbali mbali sio tu ALGERIA kwani hata yeye alisoma je ya nchi hivyo basi ajua vizuri matatizo yanayowasibu;
Wadau wa ALGERIA kupitia ASSOCIATIO OF TAZANIAN STUDENTS IN ALGERIA(ATSA) wamemshukuru mh.MEMBE kwa mchangowake binafsi aliotoa kusaidia umoja huo na uchapakazi wake hodari.

ATSA inajianda kikamilifu kufanya mapokezi ya nguvu katika kuipokea timu ya mpira wa miguu TAIFA STARS itakapo kuja kucheza na ALGERIA hapo mwezi wa september katika mzunguko wa kombe la Afrika(CAN 2012).
Waalgeria wamesha aza kuingiwa na hofu juu ya Taifa Stars hasa baada ya kupigwa jeki na bank ya NMB hadi kwenye magazeti yao yana andika www.algerieinfo.com
Imetolewa na Idara ya Mawasilano uongozi ATSA
Rais +213554333727(mh.Seif Pepo)
M/rais+2135517173920(mh.Habibu H.Ruhombo)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. tunashukuru kwa ugeni ingawa ilikuwa ghafla sana!
    mbona mpiga picha wetu hakuwepo dada celina! siku nyingine tunakuomba uwepo tuna missi picha yako nzuri!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...