Msanii wa muziki wa kizazi kipya Faridi Kubanda ‘Fid Q’ akitumbuiza katika uzinduzi wa Tigo Thumni katika tamasha la Pasaka Beach Party ilofanyika Coco Beach jijini Dar wikiendi hii Mheshimiwa Temba akiwapagaisha mashabiki walihudhuria uzinduzi wa Tigo Thumni katika tamasha la Pasaka Beach Party lililofanyika Coco Beach jijini Dar wikiendi hii
mwanamuziki mmongwe wa muziki wa kufokafoka Joe Makini naye alikuwapo kukonga nyoyo za watu waliofurika katika uzinduzi wa Tigo Thumni katika tamasha la Pasaka Beach Party lililofanyika Coco Beach jijini Dar wikiendi hii
Wasanii Mheshimiwa Temba (kushoto) na Chege Chigunda ‘Mtoto wa Mama Saidi’ wakifanya vitu vyao wakati wa uzinduzi wa Tigo Thumni katika tamasha la Pasaka Beach Party lililofanyika Coco Beach jijini Dar wikeindi hii
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Faridi Kubanda ‘Fid Q’ (kulia) akitumbuiza katika uzinduzi wa Tigo Thumni katika tamasha la Pasaka Beach Party lililofanyika Coco Beach jijini Dar
Baadhi ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wakikabidhi Thumni kwa Ofisa Uhusiano wa Tigo, Jackson Mmbando ambapo kila aliyekabidhi thumni moja alipewa zawadi ya vocha ya muda wa mawasiliano wa sh 10,000 wakati wa uzinduzi wa Tigo Thumni katika tamasha la Pasaka Beach Party lililofanyika Coco Beach jijini Dar wikiendi hii
Sehemu ya umati wa watu waliohudhuria uzinduzi wa Tigo Thumni katika tamasha la Pasaka Beach Party lililofanyika Coco Beach jijini Dar wikiendi hii







Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. ANKALI,hii imekaa vp hapa?maana Blog hii Wazee wa Vodacom akina Mafuru na Mwanvita ndo wanaiweka Hewani ,sasa wewe kuleta mambo ya TIgo inakuwaje Mdau?au ndo Blog ya Jamii?

    ReplyDelete
  2. Hha ha aha hahaaaaaa hongereni sana tigo kwa ubunifu wenye manufaa, punguzeni basi na bei ya tigo kwenda mitandao mingine japo iwe tsh 1 mtakuwa mmetuokoa na adhabu au adha ya kutembea na simu tatutatu

    ReplyDelete
  3. Hongera, hii ni funika bovu. Ni kweli, tigo siku hizi kila mtu anatumia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...