JK akipungia umati mkubwa wa wananchi waliofika uwanja wa Uhuru jijini Dar leo kusherehekea miaka 46 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kuume kwake ni Mkuu wa Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange
JK akikaribishwa jukwaa kuu na Rais wa Zanzibar Mh. Amani Abeid Karume. Kushoto ni Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda
JK akikagua gwaride rasmi la kuadhimisha miaka 46 ya Muungano
Wakuu wakiwa jukwaa kuu
JK akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mh. Samwel Sitta. Kati yao ni Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mh. Benjamin Mkapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Hii ni siku ya kuanzimisha ukoloni zidi ya taifa letu la ZANZIBAR chini ya kivuli cha muungano.

    Wazanzibari hatujaukubali,hatuukubali na hatutoukubali huu wenzetu tanganyika muuitao muungano.

    ReplyDelete
  2. Yahee weyeee ni mpemba au muunguja?

    ReplyDelete
  3. WEWE SEDOUF SAID NI ALKAIDA TU WEWE, RUDI KWENU ARABUNI KAFUGE MBUZI

    ReplyDelete
  4. kaka huku uarabuni hakuna mbuzi,huku kuna ngamia.

    Jee kupinga muungano ni ualkaida?mbona wataka leta siasa za mabavu?

    Kwa ufahamu wako hiyo ndio demokrasia ya kweli kaka(kuwepo walioafiki na wasioafiki)
    Achana na sisa za kidumuuuu! muda umebadilika kaka hii ni karne nyengine kabisa.

    WAZANZIBARI haturudi nyuma katika kuikomboa nchi yetu iliyochukuliwa kimabavu na wanyamwezi! hilo katu halitokubalika.

    Tushaanza na serikali ya mseto.mseto ukija ccm zanzibar wanakaa pembeni ,na hapo sasa wanyamwezi ndio watatueleza wamefata nini ZANZIBAR!

    Kaka ZANZIBAR ina wenyewe !!!!
    Jitayarishe!!!!!!

    ReplyDelete
  5. jamani mpunguzieni kuku chips rais mstaafu mkapa atapasuka! kweli namuonea huruma ule si mwili wa afya, magonjwa yote yana mnyemelea

    ReplyDelete
  6. ila suti anazonyuka kikwete za ukweli jamani..duh!!si mchezo

    ReplyDelete
  7. What do the body languages of Karume and Kikwete say? One of them seems less enthusiastic.Does that say what he feels about the union?

    ReplyDelete
  8. JAMANI ACHENI USHAMBA WA SUTI LET TALK ABOUT HUYU BWN SEDOUF MIMI NAHISI NI RASCIST THAT IS WHY I DONT LIKE CUF WOTE HAWA SI WATU WAZURI KWA NCHI YETU SI UMEMSIKIA AKISEMA KWAMBA KUNA WANYAMWEZI NA WAZANZIBARI HUYU NI MBAGUZI HATUFAI NA INABIDI TUMUOGOPE KAMA UKOMA.

    ReplyDelete
  9. hivi rais wetu hana mtu anayemchagulia suti..maana hiyo suti inaonekana kubwa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...