Hatutoshangaa hata kidogo ukituambia kwamba siku hizi unapowaongelea kina Michuzi ni vyema ukafafanua zaidi unamuongelea yupi. Kuna Ahmad na kuna Muhidin, na pia kuna Othman. Leo sisi tunamuongea Ahmad. Ukitaka kujua memngi tembelea Bongo Celebrity
BOFYA HAPA

Vile vile unaweza kupata mahojiano ya
wadau wengine lukuki hapo Bongo Celebrity
BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. MzeeKifimboChezaApril 16, 2010

    Namuona DOGO hapo. Katuliaa.
    Anatuburudishaga kwenye JIACHIE kule.

    Mwambie tu ajifunze zaidi kutofautisha matumizi ya herufi R na L katika sentensi zake.

    Vinginevyo anajitahidi kwa kweli

    ReplyDelete
  2. Huyu ndio yule aliyekuwa anakaa Mbweni? Au ni Othman?

    ReplyDelete
  3. MBONA HII NI KAMA KOPI YA MUHIDINI WANAKIJIJI MNASEMA GANI HAPA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...