Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 22, 2010

    Pole kwa Paka!

    ReplyDelete
  2. mkata issueMay 22, 2010

    Yaani utaratibu wa kuuwa paka na kunywa damu eti ndiyo awe na uwezo wa kazi ni mbinu tu ya vitisho na hiyo inamshusha kabisaaaaaa na kuonekana kuwa hajaiva katika maadili ya kurejesha hadhi ya Tiba asilia.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 22, 2010

    Watu wa DC na Houston mmesikia hiyo? Dr. Manyaunyau anakuja, patakuwa hapatoshi huko lol.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 22, 2010

    Ha-ha-ha teh-teh-teh mbavuuuuuuuuuuuuuuu Eti John alimanuliwa hapo jana hahaahah. MICHUZI ANASAKIZIA MICHUZI SIUINGIE TU NDANI KWA DAKTARI MANYAUNYAU AU USHAZOEA WAGANGA WA TMJ HOSPITAL hahahaaha. JOHN ALIMANULIWA HAPO JANA HAHAHAHAAHA KAZIKWELIKWELI PAZI.

    ReplyDelete
  5. hawa ndio wanaorejesha maendeleo ya jamii zetu.

    popote uendapo katika dunia hii wafuasi wa mambo haya ya ushirikina ndio huwa duni sana kimaishi na kimtizamo.

    Ningeliomba wahusika wa ustawi wa wanyama.waliangalie hili suala la kuchinja paka!

    kwa maoni yangu hili ni kosa kubwa ,kumchinja myama kama paka kwa kutimiza imani za kichawi.

    hawa huanzia paka na humalizia kwenye viungo vya binaadamu.

    kama kweli tanzania inafuata sheria ni lazima ifahamike kuna uhalali gani mganga huyu alioutumia katika kuuwa kwake myama asiye na hatia.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 22, 2010

    Dr. Manyaunyau, ukitua Amerika na kuwachinja paka kama unavyofanya huko Bongo, basi ujue kuwa Animal Society of America hawakuachi; hivyo utatia akila yako.

    ReplyDelete
  7. Mimi sisemi kutu nanyamaza kimya,
    Sijui kama haya mambo ni kweli,Ama haya mambo si ya kweli,Kweli sina uhakika.

    Ila nawaonea huruma sana Paka,kwani wakufanya bila sababu.Wazungu wanavyo penda paka hivi sasa ukija usa na ukaanza kuchinja paka wao.watakupeleka polisi kaka yangu.

    Mdau
    usa

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 22, 2010

    Ni Yesu tu, ndiye sululisho la wachawi..

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 22, 2010

    Go to hell the so called Dr. manyau....! Wewe kijana mdogo badala ya kufanya kazi inayokubalika, unashibia kwenye kudanganya watu kwa ushirikina. Watanzania wenzangu, achaneni na imani potofu, tumtegemee Mungu tu, hakuna aliye juu yake, siyo uchawi, siyo ushirikina. Wakristo tuombe kufunikwa kwa damu ya Yesu na sio ya paka! Eti anasema ataenda Amerika, unajua haki za wanyama wewe? acha porojo zako na kudanganya watu, njoo uanze kunywa damu ya paka alafu uone moto wake. Kwanza hata usije, utatudhalilisha watanzania wote tunaoishi huku.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 22, 2010

    Animal rights should be respected !!!

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 22, 2010

    Duh mganga adi ana gari na laptop kwlei si mchezo!! hinaonyesha ni idadi gani ya watanzania wanaamini kwenda kwa waganga! Uganga deal!!Big Up manyaunyau bora wewe unatumia kipaji chako halali kuliko wanao kaba

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 22, 2010

    Ushauri wa bure kwako Michuzi mwambie Manyaunyau huku Arabuni asipime kuja , atajikuta amekamatwa na kuswekwa lupango maana jamaa ni wshirikina lakini serikali hazitaki kusikia mambo hayo kabisa, na zinapiga vita mambo hayo anaweza kudanganwywa kwamba soko ni kubwa na hao hao ambao watamgeuka baadaye na kumfanyia kweli akajikuta pabaya milele

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 22, 2010

    Safi sana mnaolalama animal rights. Lakini isiwe paka tu ng'ombe, mbuzi, samaki, kuku, uduvi, etc, vyote hukatishwa uhai wao kikatili kwa ajili ya misosi yenu!

    ReplyDelete
  14. Kama baadhi ya viongozi wetu wangekuwa sio washirikina huyu jamaa angekuwa asingefikia hapo kujineemesha kwa njia ya kuchinja paka huku tukijidai na sisi tumo katika kulida haki za wanyama,hii inaonesha ni jinsi gani viongozi wetu wako karibu na waganga washirikina ndio tegemeo lao kiziba mambo yao...kamata mara moja kwanini anachinja paka bila hatia?

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 22, 2010

    Siwezi kusema kuhusu nchi nyingine nisizozifahamu, lakini namwambia Dr Manyaunyau akienda uingereza na kuchinja paka na kumnyonya damu, hasa hadharani, hiyo itakuwa ni tikiti yake ya kwenda moja kwa moja gerezani
    Wakatabahu

    ReplyDelete
  16. Jamani naombeni tuwe waelewa, amesema anakwenda nchi za wazungu kuongea ujuzi haendi kufanya mauganga huko ila mwalitambuwa kuwa kuna kitu kinaitwa Secret Societies ambayo ina control ulimwengu ambao wako kwenye freemasons and Illuminati wanao mwabudu lucifer(Ibilisi na shetani ) ambao wameanzisha mambo ya new world order. sasa basi Dr. Manyaunyau naomba kabisa ukienda huko usitulete huo ujuzi wa freemasons wala illuminati pamoja new world order kwani hatutaki nchi ya Tanzania izidi ingia katika mambo ya freemasons wala illuminate pamoja na new world order. Ukituletea mambo hayo ya freemasons,illuminate na new world order namwomba Mungu huyu aliye umba ulimwengu huu vitu vinavyo onekana na visivyo onekana akuondoe katika huu ulimwengu, kuliko uwapoteze watanzania na imani za kimashetani za huko kwa wazungu

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 22, 2010

    Niliizima hii clip pale aliposema kuwa yeye huchinja paka na kunywa damu yao. Duh! Kwani ametaja kuwa ana safari za nje ya nchi? Aibu hii! Huyu dogo kweli hajatulia!!! Yawezekana hafahamu kuwa nchi nyingine zina sheria zinazowalinda wanyama....

    ReplyDelete
  18. Hakuna lolote nyie mafundi(waganga)hamna lolote...hamtibu kitu chochote zaidi ya kuwapa watu imani na kuwachelewesha kwenda hospitalini hadi wanakufa.ukija marekani hapa huchinji paka wa mtu na ukinchinja basi hurudi bongo utachezea jela taaamu.habari ndio hiyo.

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 22, 2010

    Ha ha ha watu mnafurahisha sana, hivi animal rights iko kwa paka tu? Tuache unafiki mnyama yeyote ana haki ya kuishi hakuna mnyama ambaye amehararishwa kuuwa na kuliwa, kama kuna uchungu sana kuua paka na kumla tuone hivyo hivyo kula ng'ombe na wanyama wengine

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 22, 2010

    muacheni mwezenu ale.mnataka akale polisi,anaeamini muache aende.nchi yenyewe haina ajira,hongera manyaunyau,and he look fine,drive nice car for his standard.keep it up brother

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 23, 2010

    Anahitajika zaidi mji wa kusoma kuliko bongo. Dr., hivi wale paka wa muhimbili ni wa ukweli au ni miili tu??? Kwa nini usiyatafune hayo, au yanaumwa?

    ReplyDelete
  22. AnonymousJuly 14, 2012

    acheni majungu watanzania

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...