Home
Unlabelled
Pinda atawazwa kamanda wa vijana mpanda
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hahahahaha, kamanda wa vijana?.. kwani ujana unaanzia miaka mingapi mpaka mingapi, tujitahid kuona aibu basi ya ngoswe mwachie ngoswe.. mmmh na kingunge nae kamanda wa watoto, Tanzania hii
ReplyDeleteOOoh my God..!! Nilitarajia kamanda wa vijana kuwa na umri wa kati ya miaka ya 18 na 35, kumbe I was wrong. Nini hasa maana ya "kamanda wa vijana", kwani si anapashwa kuwa kijana kwa definition sahihi ya ujana ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.
ReplyDeleteMimi nashangaa,eti makamanda wa vijana akiwemo Pinda na Kingunge ni wazee.
ReplyDeleteHivi kweli wazee wa CCM hadi ukamanda wa vijana wapo.Vijana wenyewe wako wapi?Kwa nini ukamanda wa vijana wasipewe vijana wenyewe wapate uzoefu wa uongozi?.Nazidi kushangaa Pinda Kamanda wa vijana,Kingunge kamanda wa vijana.Wanapaswa kuwa makamanda wa wazee.
"Kaimu Kamanda wa Vijana wa CCM Taifa, Mh. Kingunge Ngombale Mwiru"
ReplyDeleteAh! Kwa mtaji huu kila mtu kijana humo ndani ya CCM! Sasa wazee akina nani? Au walewasokuwa na madaraka wala shule? Maana wale ndo huwa CCM inawatumia kuwaeleza mambo yasokuwa na kichwa wala miguu, halafu utasikia eti Rais alikuwa akiongea na wazee wa mkoa.....!
Kigumu chama cha mapinduzi.......
Kiitikio: Kigumuuuuuuuu........
Hata Michuzi ni CCM tu huyu...
ReplyDeleteAmetupa comments zote zilizotolewa kuhusu hao mastar waliopozi kwa CCM na sasa amefunga comment link....
Well utake usitake ukweli utasemwa.....
Kama CCM unawapalilia basi sema tu hii no blog ya CCM na sio ya Jamii kama unavyoiita....
Basi nahii comment uitupe lakini ujumbe umeupata.
Grow up, stop being a hypocrite, and for gods sake stop insulting people you want to take you and your blog seriously.....
Be fair
sexiest man alive Mizwenge Pinda! What a handsome cutie pie!
ReplyDeleteSafi sana mtoto wa mkulima.Inaaonyesha jinsi gani unakubalika.Ila angalia usikumbwe na upepo wa wingu ufisadi.Tunakuhijati sana kutuwakilisha sisi wanyonge
ReplyDeleteYeees!!Mmejionea mbunge wa zamani enzi za Nyerere?...chek home kwake!!Safii,apo alijenga barabara ambayo hadi leo haijafanyiwa ukarabati wowote,alijenga shule yenye vyumba vi3 hadi leo hamna jipya..alijenga zahanati ambayo leo hii madaktari wanaikimbia kwa wingi wa wagonjwa kutoka wilaya za jirani zisizo na hospitali!!Nyerere na serikali yako nitakuabudu siku zote!!poor ME
ReplyDeletemwaka wa uchaguzi kila goti litapigwa... tehe tehe tehe....
ReplyDeleteI like Pinda kweli ni mtoto wa mkulima viongozi wengine waige basi kutembelea watu kama hawa huku uswazi
ReplyDeleteKWANINI WATANZANIA TUGHARAMIE SHUGHULI ZA CHAMA CHA MAPINDUZI? FUNGU LA GHARAMA HIZI LINATOKA WAPI? WASOMI NA WANASIASA TUOKOENI KUTOKA KWENYE GHARAMA HIZI HARAMU. PINDA ANAPANDA NDEGE YA SERIKALI, ANATUMIA MAGARI YA SERIKALI, ANALIPWA POSHO YEYE NA KUNDI LA WATUMISHI WA SERIKALI ANAOONGOZANA NAO NA KUTUMIA MUDA WA SERIKALI KWA SHUGHULI ZQA CHAMA CHAKE, ZOTE HIZI WATANZANIA WALIPAKODI TUNAGHARAMIA, KWANINI?
ReplyDeletetehe tehe tehe kamanda wa wazee CCM mbona tunadanganyana?ndo mana hakuna maendeleo wizi mtupu...!ata kipofu ataona hao ni wazee!
ReplyDeleteMimi ni hizo rangi za kijani hunichefua ile mbaya zikivaliwa na viongozi wenye akili kama Mhe. Pinda, huwa nafurahi tu zikivaliwa na yanga.
ReplyDeleteCCM sounds like Prophecy these days, and THATS A VERY DANGEROUS PRECIDENCE,
ReplyDeletein short people are so desperate and falling towards this trend, I dont blame them, to them seems the only way out of getting a few bobs or as an investment for future pay roll, whether that being a small gift such as A kilo of rice, or receive favouritism from the CCM elites particularly during GEneral election campaign.
FOR INSTANCE, WHEN I AM LOOKING AT THOSE PICTURES, I SEE OUR PRIME MINISTER ON CENTRE STAGE OF CCM ACTIVITY, BUT I SUSPECT THE PAYROLL FOR THIS ACTIVITY ARE NOT COMMING FROM CCM COFFERS, RATHER THAN PUBLIC FUND. AND THERE IN MY OWN OPINION THE RED LIGHT HAS BEEN CROSSED, WHAT DO YOU THINK WADAU....?
Picha ya mwanzo inayoonyesha wanachama wapya wa ccm, hivi hao wazee walikuwepo wapi miaka yote hiyo na ndio kwanza leo wanakuwa wanachama wa ccm?
ReplyDeleteccm ni chama cha mwanzo katika vyama vyote vya siasa vilivyohai sasa hapa tanzania, inakuwaje hawa hawakuwa wanachama toka enzi hizo? tena nakumbusa sawa sawa huko nyuma kadi ya ccm ilikuwa ni lazima full stop.
hawa wazee kama wengi katu ya hao waliopo hapo ni wale waliokusanywa tu kwa nguvu kufanya ionekane ni kundi kubwa limejiunga na ccm, ujanja huu tushauzoea tanzania bwana na tunajua kwani wengine tushafanyishiwa hayo!!!
Michuzi usibanie hii
Ali Sadiq
Kwetu zanzibar, malindi. Hatuogopi mtu hapa, simba kavuka bahari kutoka bara na hasira zake kufika ufukweni tumempoza na kumpa chai, yupo hadi hii leo hajaondoka!!!
eti wanachama wapya wa ccm, kila mtu anajua hali mbaya walizonazo zimetokana na uongozi mbaya wa hiyo hiyo CCM, kweli wajinga ndio waliwao!
ReplyDeletehivi unapobana meseji unadhani ccm watakupa ubunge wa viti maalum? umeweka hizo picha ili tuzisifie na kuzipigia debe ndo urushe comment? hujui kuna vyama vingi na sio kila mtu ni ccm hatuwezi kusifia pumba kila saa kama wewe ukome kubana meseji zetu bana hayo mapumbu yako meusi tii pusi wee
ReplyDeleteSijui ni kwa nini watu wanapiga kelele juu ya michuzi kuwa mwana ccm. ofcourse michuzi ni mwana ccm akikubali au akikana, ushahidi ni post zake zote, ni mara ngapi unaona habari za vyama vyengine hapa? ni mara ngapi umesikia amesafiri na msafara wa chama chochote cha upinzani isipokuwa ccm? safari zake zote nje zina connection na serikali tawala.
ReplyDeleteNi hiari yake, ni uamuzi wake kuiita blog hii ya jamii. hilo ni jina tu sio lazima awe anaitumikia jamii. infact amesema blog ya jamii lakini hajasema ni jamii gani.
labda nyie mnaosikitika mgelianzisha "blogu ya jamii ya watanzania" au "blog ya jamii ya watanzania wasishikamana na upande wowote" n.k
Mukrim
MK massive
UK
hivi unapobana meseji unadhani ccm watakupa ubunge wa viti maalum? umeweka hizo picha ili tuzisifie na kuzipigia debe ndo urushe comment? hujui kuna vyama vingi na sio kila mtu ni ccm hatuwezi kusifia pumba kila saa kama wewe ukome kubana meseji zetu bana hayo mapumbu yako meusi tii pusi wee
ReplyDeleteJamani tupunguze jazba. Kila mtu ana uhuru wa kufanya anachokitaka. Kama unaona hapa maoni yenu yanabanwa, njooni hapa: www.vijanafm.com
ReplyDeleteTufungue macho Vijana!!!
Mnaona balaa hilo??????? wale wenye midomo mirefu wakiona watu wanalalamika kuhusu mambo kama hayo wanajifanya kutoa majibu ya ujuaji
ReplyDeletesasa kuna kijana hapo???????
semeni sasa nyie makada wa ccm kuna kijana hapo????????
na huyo aliekuwa mbunge wa zamani inaonekana alitumikia uma kwa roho safi na bila ufisadi maana huo mjengo wake sio mchezo
ukiwa unatumikia wana jamii ni vyema nawewe mwenyewe ukajenga hukohuko unapotumikia na ukaishi na hao unaowatumikia
leo hii utasikia mbunge wa mbeya au mbunge wa shinyanga anaishi msasani dar es salaam
wabunge mawaziri wote wanajenga msasani mikocheni mbona wasijenge huko wanapotumikia ?????????
haya waosha vinywa wa CCM fungueni midomo yenu kuendelea kuwatetea watu kama hao
angalia wapiga kura wa ccm ni wale wazee ambao hawakuenda shule tokea enzi za mwalimu na ni watu ambao wakipewa khanga tu na kilo 2 za sukari basi ujuwe kura kwa ccm
lakini na uhakika baada ya miaka 20 ijayo wazee watakuwa wametangulia mbele ya safari na vijana wa sasa watakuwa wamepata elimu bora hawatokubali kuburuzwa
asante ankal kwa habari.
Unajua siasa ni kama ze comedi vile, unachotakiwa kufanya kuvuta hisia za watu ili upate kila unachotaka "ULWA" au "KULA".
ReplyDeleteMimi pamoja na juhudi zangu zote za kufuatilia sijajua hasa "KAMANDA WA VIJANA" kazi yake nini? , Je Vijana hawa ni WANAJESHI?, maana tunajua neno KAMANDA hutumiwa jeshini. Vipi kuhusu Umri nao maana mpaka vikongwe nao ni makamanda wa Vijana, kwa nini wasiwe makamanda wa wanawake, wazazi, wazee n.k?
Kuna uhusiano gani katika kuwa kamanda wa vijana na kugombea UBUNGE?, Maana naona mfumuko wa makamanda wa vijana umekuwa mkubwa sana 2010. Je mkoa unaweza kuwa na kamanda zaidi ya mmoja, kwa maana kama mimi pia nataka kugombea ubunge na pinda jimbo moja naweza simikwa Ukamanda wa mkoa wa rukwa pia? ili tuwe na uwanja sawa katika kura za maoni yaani kamanda kwa kamanda.
Halafu haya majoho wanayovalishana kama sheikh anaingia kutoa hotuba ya ijumaa au mfalme Mautikitiki anajiandaa kuongoza jeshi la kulikamata jua lisizame yana maana gani hasa?.
Maana mimi ninaona mchezo wote ni kama wa KUIGIZA TU LOL!
Ushauri wa bure kwa CCM hasa kwa hili neno la Kamanda wa Vijana....watumie Mlezi wa vijana anagalau ita-sound poa.
ReplyDeleteHuyu mbunge wa zamani kweli ni mzalendo halisi ambaye anaipenda nchi yake na nina uhakika aliwatumikia wananchi wake kwa moyo safi bila kuleta ufisadi. Kazi nzuri sana Mzee Nsalamba.
MBUGE??? HUYO NDO ALIKUA MBUGE HASWA 0 PERCENT UFISADI, WABUNGE WALEO JE??? WATARUDIA MAKOSA KAMA HAYO!!!!!!!TUBORESHE MFUNGO WA PENSION KWA WASTAAFU VINGINE UFISADI KWISHA KAZI KUBWA MANAKE HAKUNA ATAKE KUBALI AZEEKE KWA TABU NAMNA HIYO
ReplyDeleteHII NI BLOG YA CCM.JAMANI TUANGALIE BLOG NYINGINE .TANZANIA INA USHABIKI NA SIO UKWELI NA UWAZI.SASA HAO VIJANA NA UCCM UMETOKA WAPI KAMA SIO KUWACHANGANYA WANANCHI?SASA HIVI TUSIANGALIE MASTAA WANAKWENDA WAPI AU WANASHABIKIA NINI ,TUANGALIE UKWELI UPO WAPI TUENDELEE NA SIO KUBURUZWA TU.tuwaelimishe wananchi kuhusu hii issue sasa.safari hii ccm mna kazi .hata wamlete fifty cent na wamvalishe jezi ya ccm,hawapati kitu.
ReplyDeleteMBUNGE WA ZAMANI AU ? SIJAFAHAMU NAONA KACHOKA KAMA ZAMANI
ReplyDeleteMichuzi, umekosea lugha katika kichwa cha habari na hivyo umemdhalilisha sana Pinda. Sio "kutawazwa", ni "kutawadhwa". Kutawazwa (ni mambo ya chooni, linatokana na neno kutawaza.
ReplyDeleteDuuH! Yaani umekuwa UFALME sasa! Huna haja hata ya kwenda shule - Wakikutunuku tu basi wewe utazeekea huko huko. Kweli tuko nyuma.
ReplyDelete