Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Mh. Bernard Membe

By Mkinga Mkinga
The law to allow Tanzanians to hold dual citizenship should finally be enacted by the end of the year, Foreign Affairs and International Co-operation minister Bernard Membe said yesterday.

Speaking in Dar e s Salaam at an International Organisation for Migration (IOM) meeting, Mr Membe said research conducted on the proposal had established that the new law would not harm the country.

"The government is regretting locking out Tanzanians overseas during the 49 years of our Independence, while some African countries have been granting dual citizenship to their people," Mr Membe said.

Tanzanians living abroad will receive the news with jubilation, as they have for many years campaigned for the introduction of such a law to enable them to belong to both their host countries and their motherland.

Many have complained that lack of such a law disadvantages them, as it denies them opportunities they could access if they were citizens of the countries where they work. Yesterday, Mr Membe explained that the issue had taken many years to conclude because the ministry did not wish to "rush such a sensitive issue".
He added: "We decided to conduct a thorough research before introducing this law, which deals with the basic rights of a person."

The research had enabled the government to establish that dual citizenship "is not bad, as some people were trying to depict it".

The minister went on: "On the contrary, there will more benefits for the country and the individuals, if we to adopt the law to enable our fellow Tanzanians living abroad to market our country as well."

During the research, it had been found that Tanzanian experts working abroad had been contributing immensely to their host countries. Therefore, he said, the enacting of the law would enable them to also assist their motherland without any hitch.

Mr Membe said the ministry had already started to move to tap the great economic potential of the Tanzanians overseas. After receiving the report, the ministry established a special department to deal with the affairs of those in the Diaspora.

"Everything regarding how to deal with the Tanzanians living abroad is almost ready. We need to fully utilise their skills and wealth to push forward our development agenda," he said.

The Dual Citizenship Act, the minister added, would give those abroad the right to adopt the citizenship of their host countries while maintaining their Tanzanian nationality. Under the current law, a Tanzanian who adopts the citizenship of another country is automatically stripped of his nationality.

Minister Membe said they had directed all the country's embassies and high commissions overseas to register all Tanzanians to enable the government to have full information and data on the nationals living abroad.

Speaking to reporters at the meeting, which brought together experts from various ministries, embassies and some Tanzanian experts working in the UK, Mr Daniel Mwasandube, a quantity surveyor based in Britain, said many Tanzanians had opted to leave the country in search of better lives.

He said most of them "are very patriotic but lack of supportive laws", such the one granting dual citizenship, has blocked them from serving their country better.

"Many Tanzanians cannot land high paying jobs abroad, though they have the qualifications, simply because employers look for people who hold the passports of those countries," he said.

In preparation for the introduction of dual citizenship, the Law Reform Commission was tasked to conduct a national study and gather the public's views.

In 2006, the commission recommended amendments to the relevant laws so that Tanzanians can also enjoy dual citizenship.

According to the 'Final Report on the Introduction of Dual Citizenship in Tanzania', the commission chaired by Judge Anthony Bahati, said the issue deserved "a positive and forwarding-looking consideration".

The commissioners said it was high time Tanzania adopted dual citizenship because in a globalised world, the country could not develop without interaction with other nations.

Dual citizenship, according to the commission, was desirable as it conferred benefits both to the country and nationals desiring to hold the citizenships of other countries.

"A person with dual citizenship has greater flexibility in his choice of where to live and/or work," reads part of the report.

But the members of the commission also recommended that national identity cards be issued first before adopting the system.

Once it becomes law, Tanzanians will no longer have to renounce their citizenship, and the same will apply to foreigners wishing to take up Tanzanian citizenship, if their countries of origin allow that.

Source: Sheikh Hassan Mbamba
www.mpluskconsultants.com
GLOBAL ADVANCE TANZANIAN NETWORK

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 34 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 25, 2010

    Aliangalia na disadvantages au aliangalia tu advantages?

    Alikwenda kwenye nchi ambazo ni third world countries ambazo zinafanya dual system na kuwauliza wao wanaona faida ya hii kitu?

    Wahindi watachota mahela yote hapo na kuzipeleka India....

    Na mafisadi waliokimbiza watoto wao huko nje wameona hawana lolote linalowaendea vizuri zaidi ya passiport sasa wanatafuta jinsi ya kuwarudisha nyumbani..

    Poor my lovely country mimi nina qualify kuwa citizen wa hii nchi kwa zaidi ya miaka 5 sasa lakini kwa kuipenda nchi yangu siafanya hivyo...mke wangu ni naturalized citizen lakini na watoto ni citizen by birth lakini mimi mpaka leo sijawahi wala kufikiri kuwa siku moja nitabadilisha uraia...walioamua kufanya hivyo walale salama...

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 25, 2010

    Hongera sana Membe,ingawa wengi hawatalipokea vizuri hapo nyumbani,lakini sisi tuliokosa kazi nyumbani na kupata nje ya nchi tunashukuru sana.Nchi yetu imepitia mabadiliko mengi, mengine yalikuwa ni magumu kueleweka lakini baada ya muda watu walielewa.Hata hili la uraia wa nchi mbili litaeleweka,litapita,yatakuja mengine,yataeleweka na yatapita.Mungu akubariki Membe na wote mlihusika kufanikisha suala hili.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 25, 2010

    Hili ni swala la msingi na la kibinadamu. Tuache malalamiko yasiyo na msingi. Ukweli ni kuwa sie Watanzania tupige mzigo, tuache porojo longo longo, tuwe wakweli - hakuna cha mhindi wala Mkenya wala Mruwanda! Wewe ukiwa na watoto wako wamezaliwa nchi mbalimbali utawagawa kwa vile wamezaliwa sehemu mbalimbali? Je hutaweka misngi kuhakikisha kuwa wanao wote wana nafasi nzuri za kujijenga na kujenga familia yenu kubwa?

    Tuwe wamoja wote wote kabisa. Iwe wewe ni Mtanzania unaishi nje au ndani, uwe kwenye mwezi au kwenye Jua. Tuwe na sheria zinazofanya kazi na zenye usawa na nafasi kwa wote kujiendeleza na kuendeleza taifa lao.

    Tujaribu kuweka ushabiki pembeni na kuliangalia hili kama jambo zuri kwa sisi sote kama familia moja kubwa.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 25, 2010

    Check this out,
    "The goverment is regretting locking out Tanzanians overseas during 49 years of our independece, while some African countries have been granting dual citizenship to their people"
    Membe,Benard.Tanzanian
    Secretary of State.
    speech. 24 jun,2010.
    I could'nt agree with him more.The guy is f...ing right.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 25, 2010

    Ninaheshimu maoni ya anonymous # 1.Lakini ninapenda kutofautiana naye kuwa unapofanya"research"siyo lazima usafiri.Ulipofundishwa kuwa kuna sayari tisa zinalizunguka jua wewe,wanafunzi wenzio na mwalimu wako hamkusafiri kwenda kuhakikisha kama zipo.Hata hivyo for the sake of the argument waziri Membe kasafiri sana.

    ReplyDelete
  6. Mheshimiwa Membe uzidi kubarikiwa kwa kuchangamkia suala la Dual Citizenship; na mambo mengine ambayo yataleta maendeleo kwa taifa letu!
    Kamala.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 25, 2010

    LIKES THIS

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 25, 2010

    Hawa ndio viongozi tunaowakubali Napenda kupongeza binasfi mh kwali
    hili Kidumu Chama cha mapinduzi
    Mdau wa majuu
    na annoyer wa mwanzo basi eti una mke wakizungu wakina Asha ashura, mwanaidi hujawaona Shwani

    ReplyDelete
  9. I really thanks our Leaders for making this possible.It is the system that is currently adopted by many countries in the world.It gives opportunities to those in oversees to participate in the development of their countries in different capacities by using the skills they acquired while in the countries of their naturalizations,without forgetting their abilities to invest back home.All these can have positive economic impact in our country.Good Bless Tanzania

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 25, 2010

    Mdau wa Fri Jun 25, 02:49:00 AM:

    Tatizo ni exposure, (Most of Tanzanians legally living outside Tanzania are qualified people who can handle alot more than you ever imagined), sijui elimu yako imeishia wapi, but you look primitive...try to learn or improve.

    By the way ..good work Membe we all support this idea, it is really matured.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 25, 2010

    Quote: "Minister Membe said they had directed all the country's embassies and high commissions overseas to register all Tanzanians to enable the government to have full information and data on the nationals living abroad".

    Ndugu Waziri, tatizo la Balozi zetu wanafikiri sisi tukijiandikisha Ubalozini basi tunataka kusaidiwa. Hii ndio mentality. Kwa hiyo wafanyakazi wa balozi zetu hujaribu kutukwepa kadri wawezavyo. Kila nchi ninayokwenda huwa najaribu kuwasiliana na Ubalozi kama nakaa mbali na Ubalozi uliko. Kwa sasa niko Italia. Nimewasiliana na Ubalozi Roma lakini hakuna majibu. Labda wako busy kugombea vyeo huko Tanzania. Hata sioni kwa nini nijiandikishe.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 25, 2010

    Kwa watu ambao wanahusika na swala hili chini ya uongozi wa waziri Membe nawapa hongera kwa kazi nzuri. Ni kweli watu wengi wataendelea kuona kama kuna tatizo na kuruhusu uraia wa nchi mbili. Lakini inabidi tuangalie mfano wa nchi nyingine, kama Ghana, Senegal nk. Hizi nchi si kwamba ziko nyuma kia maendeleo ni nchi amabazo ziko mbele ktk kuendeleza maisha ya watu wake kama ilivyo Tanzania. Kwa maana hiyo nafikiri ikiwekwa misingi mizuri especially transparances katika hii issue ninaona hakuna kibaya kwa baadae.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 25, 2010

    Huyu anony wa 2:49 kweli haelewi kitu. Hivyo yeye anafikiri kuwa kwa kutokuwepo kwa uraia wa nchi mbili ndio wahindi hawawezi kupeleka hela zao nje ya nchi? Hii sheria anayoielezea Membe ni bomba kabisa. Tena sisi tulio nje ndio tutaweza kuwa karibu zaidi na nyumbani kwa jinsi hii. Hongera Waziri. Tena msiicheleweshe kuipitisha hii any longer.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 25, 2010

    Hapa patamu sasa. This goes a long way to opening opportunities for Kenyans eyeing Tanzania.

    Paulo Kamau
    Nakuru

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 25, 2010

    well i don't opposse the idea but everything has its pros and cons....dnt just luk at the advantages cz there are also disadvantages of it.I remember when we started compaigning about privatisation is was as if its our economic saviour but so far so BAD..as they come,they leap,they go,leaving as as poor as always.THINK TANZANIANS!!!!!!!

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 25, 2010

    ARE YOU PREPARED AU mmekurupuka tu na kuona wenzetu wamefanya kwann na sisi tusifanye???

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 25, 2010

    Dooo,Kamau umeludi tena kwenye mada yetu muhimu kama hii??pls!!!!!!

    I think,it's fantastic opportunity for Tanzanians abroad to help effectively back home.Big up Membe,many blesses.So far, I can see a very promising country and a productive future coming along polepole!Nice going on.

    ReplyDelete
  18. mpanda ngaziJune 25, 2010

    wewe mdau wa kwanza nawe ulikaa na kujiuliza kama maoni uliyoyatowa ni ya chuki kwa kuwa tu huko nje ya nchi au huna urai wa nchi nyengine?

    Unadhani urai wa nchi yeyote ile unapatikana kirahisi kama vile unapokwenda sokoni?

    kila nchi ina masharti yake kibao na mengi ni magumu kutimizwa. Kuna nchi wamefika hata kuwa unafanya mtihani, uwe unasema lugha yao na uwe umeishi kihalali katika nchi hiyo kwa miaka kadhaa. Na tanzania itaweka masharti yake kwa kila anaetaka kuwa mtanzania. usifikirie tu kuwa kwa kupitishwa sheria hii ndio kila mtu atakuwa mtanzania.

    ReplyDelete
  19. Paulo kamau you are dreaming!

    unadhani itakuwa rahisi namna hiyo? unadhani uraia wa nchi unauzwa mnadani? utatakiwa kuwa umeishi nchini tanzania (bila ya kutoka) sio chini ya miaka 5, una kazi inayotambulika etc etc etc... kila nchi ina masharti yake kibao na mengi ni magumu kutimizwa. Na tanzania itaweka masharti yake kwa kila anaetaka kuwa mtanzania

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 25, 2010

    Haloooo Pwagu kanichekesha eti... anaunga mkono swala la dual citizenship lakini hataki akina Paulo Kamau wapate uraia... sasa walio oa Kenya nao tuwafanyeje...

    Manake hapa sasa mambo yanachanganye... Hatutaki kujichanganya au? Hapa kweli patamu na pachungu ...

    Dual citizenship itafungua mipaka na kuwapa unafuu walio oa na kuolewa, raia wa Tanzania wanaofanya kazi na kuishi sehemu nyingine ila kwa wale ambao hawasafiri HAWAHITAJI DUAL CITIZENSHIP si wapo nyumbani...

    DUAL CITIZENSHIP YA NINI... MJADALA KABAMBE...

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 25, 2010

    Mara nyingi watu hufanya maamuzi makubwa kwa kutaka kunufaisha jamaa zao wa karibu, bila kujali athari ambazo zinaweza kulipata taifa sababu ya maamuzi waliyofikia.
    sisi tunaofanya kazi zinazo husiana na maswala ya uraia ndio tunaojua kitakacho fuatia.
    kwa taarifa tu, kuna watu wengi tu ambao walipata pasi zetu na hawakuwa raia wa asili, ili mradi tu iwasaidie katika juhudi zao za kuja nchi za ulaya na marekani, na walifanikiwa kwa miaka mingi tu wakati wabongo asilia walikuwa hawaja fumbua macho kutaka kutafuta maisha nchi nyingine.
    hawa jamaa wako wengi kuliko wabongo asilia ambao kiuhalali ndio wangestahili kunufaika na hili swala la dual citizenship. lakini utawafanya nini maana wanazo pasi za nchi zao za asili, wanazo pasi za bongo na wanazo pasi za nchi wanazoishi sasa hivi.
    jamaa hawa tunawajua maana kila siku wanaulizia ile dual vipi?
    inapofika suala la uzalendo, jamaa umewashinda, wanachagua nchi ya asili.
    hawa jamaa hutawasikia wakipiga debe ila wao wanasubiria tu mambo yakamilike halafu utawaona.

    pia wapo wabongo ambao katika kutafuta maisha walijilipua kama wanatoka mataifa jirani yaliyokuwa na machafuko, na tunajua wameshapata uraia wa nchi walizokimbilia, sasa swali, mtawakubali kama wabongo au vipi, maana katika pasi zao huonyesha asili yao ni mataifa waliyoyakimbia, japo ukweli ni wabongo.

    wapo wanageria ambao wameoa dada zetu, na tunajua walivyo matapeli, je na hao mtawafanya nini watakopo taka kuwa wabongo.
    mtashangaa dar itageuzwa kuwa lagos.

    ushauri kwa waziri, fanya maamuzi yenye kuliweka taifa mbele, na si watoto au ndugu.

    mdau

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 25, 2010

    wakishaleta haya mambo nami nitarudi nyumbani kufundisha wenzangu, tuombe mungu isiwe ni hadithi tu manake tunajua kura zi jirani.

    thanks kamichu for this info, hugs and kisses from the US

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 25, 2010

    Hongera sana Mheshimiwa Waziri its time kutupa nafasi zaidi kwa Watanzania tulio nje ya Nchi ambao tuna Mapenzi kushirikiana na kuindeleza Nchi yetu kwenye fani mbali mbali kama ni sayansi na technologia, madaktari, biashara na uwekezaji, utalii na mengineyo mengi. Na pia itatoa nafasi kwa watoto na wajukuu wetu kuconnect na nyumbani kwao Tanzania.

    ReplyDelete
  24. The election is around the corner.That's all I gotta say.

    ReplyDelete
  25. AnonymousJune 25, 2010

    I like this!!its about time!

    ReplyDelete
  26. AnonymousJune 25, 2010

    Nalisema wazi. sera hizi za kikoloni zitaimaliza Tanzania. E Mungu tuepushe na viongozi hawa. Michuzi iweke hii.

    ReplyDelete
  27. AnonymousJune 25, 2010

    Changa la Macho hilo this is 2010 na kuna uchaguzi mkuu,Watu wanajaribu kutafuta kura zetu kwanini wasifanye kabla ya mwisho wa mwaka?

    ReplyDelete
  28. AnonymousJune 25, 2010

    UPUUZI MTUPU!

    ReplyDelete
  29. AnonymousJune 25, 2010

    Namsupport Kamau na mdau wa kwanza. Ni watanzania wangapi watakua eligible for this thing? Hardly 25% of all Tanzanians living abroad the rest will be foreigners who will want to exploit our people..

    Faida ni ndogo sana kulingana na hasara. Kulingana na uchumi wetu ambao unawafanya kila mtu akimbilie nje mara tu anapopata mwanya wa kuondoka. Watakao faidika ni wale tu foreigners wanaotaka kuja kuchuma na kurudisha kwao.

    Kama una nia ya kuinverts hapa Tanzania kama wewe kweli ulizaliwa hapa unaweza kufanya hivyo bila hata ya kuwa raia tena wa nchi hii kuna watu wangapi wana vitu vingi tu hapa na walishakua raia wa nchi nyingine siku nyingi sana. kam kweli unataka kufanya kazi kama TX ni wangapi wanafanya hivyo?

    Viza yenyewe ya tanzania unaipatia airport why are you worry that much?

    Kukimbilia mambo ya nchi za matajiri na kufikiri itatusaidia hii ni kujidanganya. Tutakuja kulia na kufilisika kama wahaiti wanavyolia.

    Nchi za wenyezu zinasheria na zinajua jinsi ya kuzifuatilia..hapo na marushwa na maupenyo kibao yatafanya soko la gezaulole..na wanainchi masikini waziri kuwa exploited....

    Sio kila anachopendekeza kiongozi ni chenye faida.

    ReplyDelete
  30. AnonymousJune 25, 2010

    DUAL CITIZENSHIP, A VERY GOOD IDEA, WE ARE ACTUALLY LATE.

    KUANDIKISHA WATANZANIA BALOZINI, WAZO LA MSINGI KABISA, BUT WAELIMISHENI WAFANYAKAZI WENU WA BALOZINI LENGO NININI, WASIRINGE, WE DO OUR BITS, THEY DO THEIRS. SISI SIO DIPLOMATS KAMA WAO LAKINI WENGI TUMEWAZIDI SHULE, TUMEWAZIDI MISHAHARA/PESA, TUNA MAISHA YETU STRAIGHT, WAFANYE KAZI SIO KULETA PRIDE. TUNAPENDA JIANDIKISHA LAKINI SIO KWENYE HALI HII.


    KWA HALI NAJIANDAA KUJIUNGA NA CCM SASA. GOD BLESS TANZANIA.

    ReplyDelete
  31. AnonymousJune 25, 2010

    naungana na mchangiaji aliyesema kuwa dual uraia ni UPUUZI MTUPU!

    ReplyDelete
  32. AnonymousJune 26, 2010

    KWANZA KUMBUKENI PASSPORT ZA TANZANIA SASA HIVI ZINA DATA BASE NA INA-SHARE NA MATAIFA MAKUBWA DUNIANI. SASA WALE WENYE MIKOBA YA NJE HALAFU KWENYE SEHEMU INAYOULIZA MAHALI PA KUZALIWA OLE WAKO UWE UMEANDIKA BURUNDI AU RWANDA UJUE UTASHIKWA UTAPOKWENDA KUOMBA MKOBA WA TANZANIA NA KUSEMA WEWE MTANZANIA. HII NI ONYO KWA WALIOJILIPUA.

    PILI KAMAU PIGA UA U NEED TEN YEARS TO PROCESS YOUR DOCUMENTS AND TO PASS SOME STAGES BEFORE TO BE ELIGIBLE FOR TANZANIA CITIZENSHIP, TOUGH AAHHAAA!! WE ARE NOT STUPID KAMAU.

    MDAU NG'AMBO

    ReplyDelete
  33. AnonymousJune 26, 2010

    NYINYI MNAOGOPA DUAL CITIZENSHIP KWA KIGEZO CHA WATU WATAKUJA KUEXPLOIT TANZANIA KWANI SASA HALI IKOJE? MBONA BONGO NI JALALA TU ?
    AU KWAVILE HAUKUSAIDII WEWE BASI HAINA MAANA? BADO UNATONGOTONGO AU?
    NA KAMA NI KWA USALAMA WA NCHI BONGO KUNA NINI JESHI LENYEWE CHOKA MBOVU ZANA ZA VITA YA PILI YA DUNIA!
    WAACHENI WENYE KUITAKA, WEWE KAMA UNA PASPOTI YA BONGO HAINA MAANA YOYOTE ZAIDI KWENDA CHINA POA TU.
    WENYE MIKOBA YA HESHIMA WAACHENI WAJE.

    ReplyDelete
  34. AnonymousJune 26, 2010

    Hii ngoma hata Baba wataifa ange-isupport.
    Thanks kwa wote waliusika katika u-amuzi huu wa-kiume.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...