Msaada kwenye tuta, Ankal!
Tunapenda kuwataarifu Vijana kuwa tumehama kutoka kwenye tovuti (www.vijanafm.com) na blog (www.vijanafm.blogspot.com) ya awali.
Hii yote ni katika kuboresha ufanisi;
Tunapenda kuwataarifu Vijana kuwa tumehama kutoka kwenye tovuti (www.vijanafm.com) na blog (www.vijanafm.blogspot.com) ya awali.
Hii yote ni katika kuboresha ufanisi;
sasa hivi tovuti na blog zinapatikana hapa:
http://vijana.fm
Tumefanikiwa kuondoa kwikwi zote baada ya zoezi zima la kuhama na mnakaribishwa kwa moyo mkunjufu kwenye kijiwe kipya.
Vijana FM.
Tumefanikiwa kuondoa kwikwi zote baada ya zoezi zima la kuhama na mnakaribishwa kwa moyo mkunjufu kwenye kijiwe kipya.
Vijana FM.
kutoka kwenye DOT.COM mpaka BLOGSPOT DOT.COM ni hatua moja nyuma kubwa sana au mmekula hela ya DOMAIN
ReplyDeleteMzee, wametoka www.vijanafm.com na sasa hivi tuko "VIJANA.FM"...domain ni ya DOT FM.
ReplyDeleteHuoni au unataka kuponda tu?