ANKAL Issa Mhiddin Michuzi
I am sorry that, i have been unable to communicate with you on a timely manner. have been on a project in the rural area, and just returned to Nakuru. I must begin by congratulating my brotherens in Tanznaia for hosting the brazilians national team. i am sure the country got enough exposure, and gained back the money invested in the historic friendly match, besides, tanzanians were fully entertained by Kaka and his team for a few millions dollars. so i must apologize to my neighbours who were so critical to me, and described me like a hater, we are not haters, we actually supported taifa stars.

anyway, today, i must touch on a different topic, and that is the endless weddings in tanzania communities which have superceeded all other development issues. Tanzanians love to contribute greatly to wedding causes, but would not give a dyme to a worthy cause of education. I knew of many tz youth during my days in the UK who could not afford school because of poverty, and decided to look for other jobs to keep themselves. In kenya, our communities prefers harambee for young people who want to further their education. We dont contribute to weddngs, and we dont value them as much as we value education

I was irked by the wedding issue in Nairobi, where a number of TZ associates at work, almost everyweek, received cards soliciting for donations, and has never seen any card seeking funds for a young man seeking further studies abroad, and this is one of the reasons why I was concerned to see the country spending such huge amounts for brazil instead of investing that amount to produce young people who can play in foreign professional clubs.lakini huko watu wanatoa pesa yao kwa harusi tu, hata mutu akikufa ninyi amutoi muchango, hata kama mugonjwa hatuio kitu, lakini kam aharusi, ni spidi kama mwendaa

sisi siyo mutu ya chuki, mutu ya chuki ni wakora tu, mutu mwenye kichwa muzuri hawezi kuweka kampuni ya simu tu inasaidia kuweka miss competition peke yake kila wiki hii. itakuwa muzuri kama watu wenyu wa simu na Breweries wanaweka scholarship ya shule huko UK kuliko kukaa kwa kuweka wasichana kwenye hoteli ya miss TZ. kama huyo musichana anakosa kupata miss TZ, anakuwa tu wa kukaa kwa baa kutafuta mutu wenye pesa mingi. kama unamusaidia kusoma, hiyo shida hakuna tena.

Mimi siwezi kusema kenya ni inchi muzuri sana, hapana, kwa sababu hao mang'aaa wanaiba kura, na hata kufanya katiba mupya kusipite, ila watu ya kawaida wana akili nzuri ya kujua kitu gani wa kufanya. na kitu wa aibu hata minister muzima anafika kwa miss competition, kama siyo kukaa kwa ofisi kutafuta mwizi wa ngo'mbe huko kwa kijijini

Sasa mimi nauliza tu kama munaona kwenda kwa harusi ni muzuri kuliko kwenda kwa shure?

Mujomba Paulo Kamau
Nakuru, Kenya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 45 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 25, 2010

    Duuh!Vidonge hivyo,tukimeza tukitema shauri yeti. Hawa wakenya hawajazoea starehe nini?shule shule?wanajua sisi shule ngapi tushaona?watuache tustarehe.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 25, 2010

    kamau wapashe, waambie. kadi za arusi zimetuchosha, michango michango, michango.... angalau mtu jirani kasema. ningesema mimi wangesema wivu, makubwa, madogo bado

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 25, 2010

    NI KWELI, HUYU NJEMBA NIMESMA AYE CARDIFF. MAMBO YAKE NDO YALE YALE KUPONDA WATU

    PAULO, RAFIKI YAKO MALLYA. WEE MKENYA UNAWAZIMU. BADO UNAVUTA BANGI? JAMAA ALAIKUWA NAPENDA BANGI KWELI

    NDO MAANA KAZI YAKE NI KPONDA WATU

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 25, 2010

    ukweli unauma sana! lakini tufanyaje.

    ReplyDelete
  5. BABU KIDUDEJune 26, 2010

    KAMAU UMESEMA UKWELI HARUSI ZETU NI ZAKIFAHALI SANA KULIKO UWEZO WETU WENYEWE UNAENDA KWENYE HARUSI UNAONA WANA SPEND MILLIONS WAKATI MAHARUSI WENYEWE HAWANA CHOCHOTE MFUKONI HATA FORONYA ZA MAKOCHI KESHO HARUSI INAKWISHA UNAWAONA WANAOKOTA MBOGA MBOGA BAHARINI ZILIZO ACHWA NA MAJI AMA WANAKUJA KUKUOMBA NAU;LI YA BASI WAKATI JANA YAKE TU WALIKUWA KWENYE MAGARI YA KIFAHALI. HAYA MISS TANZANIA KAMA NI KWELI HAWA VODA WANGESAIDIA WATOTO YATIMA AMA WATOTO WENYE VIPAJI KUENDELEA NA MASOMO LAKINI WANAISHIA KUWAPOTEZEA MUDA MABINTI WADOGO NA MWISHO KUWAFANYA WAWE MALAYA MITAANI HUKU WATOTO WAO WANAENDELEA NA SHULE VIZURI. HATUTAKI MISAADA HIYO ELIMU KWANZA.

    ReplyDelete
  6. Mimi ni Mtanzania mwenzenu. Kwa kweli michango ya harusi imezidi. Hata Lowassa alipokuwa PM alilisema hili. Harusi moja ina sherehe 2-4! Kitchen party, Main reception etc etc. Michango imekuwa kero kubwa. Harusi lazima ziwepo kwa vile watu wanaoana ila siyo lazima ziwe za gharama kubwa. Kama tunapenda kuchanga basi tuwachangie bwana na bibi harusi pesa ya kuanzia maisha si pesa ya kwenda kula na kunywa kwa siku moja. Sisi ni jamii maskini. Ni lazima tuwe na vipaumbele vyenye akili. Kwa hili nakuunga mkono Kamau.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 26, 2010

    Mujomba Kamau,
    Asante sana kwa maoni yako na pia kwa kugundua kuwa mwanzoni ulikosea na umeomba samahani.This shows that you are a good neighbor, and on behalf of my fellow Tanzanians, your appology has been accepted.Kamau, you are on my side regarding beauty competition.Every time you open up Michuzi blog, you see pictures of Miss Ilala, vodacom, Reds breweries, etc.If you ask what is the future of these young girls who sacrife their time, you don't get good explation.Nobody seems to care about their education or their prosperous future. Regarding education v/s weddings,let deabate bigins, hopefully we my end up with a perfect solution.Otherwise,Kamau tafadhali endelea kutumia kiswahili.You give wadau something to smile.

    ReplyDelete
  8. Ndugu Kamau,
    Hili tumekubali, na jamii ndio tumechoshwa na hii michango inavyo tumika (to the last penny, zikibaki, Wazee wa kamati ndio watazimalizia kwa ka-shughuli kao wenyewe kujipongeza). Ndio ni desturi yetu kusherehekea ndoa, lakini sasa imekuwa biashara, kuna t-shirts, khanga, maua nk. Anyway, jamii umetupa ishu ya ku-discuss, na labda tutapata a better direction.

    kama ni elimu tu, ndio tumeanza kuchangamka...


    KK

    (shameless plug follows)
    http://kotinkarwak.wordpress.com/

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 26, 2010

    kwanza bwana kamau napenda kukushauri kuwa maneno unayotumia kuongea na mkeo ni tofauti na utakayotumia kuongea na baba mkwe,au baba yako, sasa jifunze kutumia lugha nzuri kutokana na mazingira. Alafu mbona voda misaada ya kijamii wanatoa tu,huyo waziri atakaa ofisini masaa 24 akisubiri riport za ng'ombe,kwani yeye mashine? Mi sioni point yako sema tu unataka mazungumzo na sisi watanzania manake huko unakosa mtu wa kuongea naye kiswahili chako kilichopindapinda..sio mutu ni mtu.hata kiswahili unahitaji shule!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 26, 2010

    ongera sana kamau what ur saying is totally true and facts !! wabongo ukiwaomba pesa za harusi au party wanatoa hila mchango mtu ana umwa au anataka kwenda kusoma saau kabisa!!

    mimi nimeshaona watu wamekupa watu wamekosa kujiendeleza kielimu kwa sababu ya kukosa ndugu wa kuwathamini .Pia nimeona watu wame changiwa millions ya pesa ya arusi hila wenyewe awana hata kitanda cha kulalia je ni akili hiyo!!

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 26, 2010

    MUJOMBA PAULO KAMAU, U WANTS TO GO TO MUZUMBE UNIVESITY OF CHUO KIKUU OF KULE MOLOGOLO AND LEANRNED ECONOMY AND KNOW THAT VODACOM AND TBL WAS FOR CHIDREN OF KORRUPTI TO GETTING JOBS. THEY EVEREDEI SELLING THEMFACES ON THE BLOG OF KUMWAGA MISAADA MBAGALA JALALANI KWA YATIMA. THE DIRECTOR OF VODACOM FOUNDATION IS SELLING HER SURA ON THE BLOGS YA JAMII. WE CAN GO TO MUZUMBE AND LEARDNED ECNMOCS WITH DR. JK KIKWETE, NABII YOHANA MASHAKA WA WALSTRITI AND HASHEEM THABIT OF D-LIGI OF NBA, AND BECOME ALL WEDDING NOT GOOD, AND MISS TZ IS MAKE THE MONEY OF VODACOM AND EXPLOIT THE KIDS OF TZ.AND LEAVE THEM CHANGUDOA Q-BAR OF MASAKI

    ReplyDelete
  12. Ankal Kamau eh, ni kweli lakini hayakuhusu.

    Kuna watanzania wengi tu wanaotoa service mbali mbali kwenye hizi harusi na hiyo michango inawasaidia kusomesha watoto na kujikimu.

    Please mind your own business.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 26, 2010

    baraka wa chibiriti wa chibatari ndiye Paulo Kamau

    ReplyDelete
  14. KalagabahoJune 26, 2010

    Not only that Kamau, what about the way waTz like to sit vijiweni, it doesn't matter to them whether its in town, taxi stand, bus stand, under the mango trees or someones else house, and they will talk to death about everything, from praising mafisadi to majambazi.
    Once someone known passes by, some will beg money for food or drink, once you ask them how come they are not working they will say there are no jobs! How about employing themselves, they will claim again there have no capital, but ocne there is an accident they will be the ones to rush through and search the victims for possessions!
    Watz have got a habit of claiming "mungu akipenda!" But how can Mungu akipenda while you are not even helping yourselves, they will spend ages in mikutano ya dini, as if they were the ones who created and invented Christianity and Islam! Have you seen them in the mikutano ya dini? They are willing to spend up to 6 hours of slagging each other rather than doing something worthwhile.
    I hope you must have seen them sitting kando kando ya barabara, and doing absolutely nothing, just came from home early in the morning and sit there watching cars passing by! Unbelivable! They will claim riziki ipo tu! Even though they know without working there is no riziki! We are so good in talking and believing in uchawi! Even though we know deep in our hearts there is no such thing as uchawi, there is science yes, but no uchawi, its a waste of time, money and resources, but will they ever listen? NO! Even if they are conned, they will still go to mganga awagangue! Ask them why that mganga doesn't have at least a good life like normal doctors, they will claim Eti mganga ajigangi! But there is no mganga, they all matapeli, but we are so engrossed in this witchcraft thing that we have lost all our senses.
    You go to a bar, everyone will like a drink, from the waiter, mchoma nyama, vicheche to marafiki, but how can you go to a bar wothout having a single cent? That's wabongo for you, no wonder when the Germans came they couldn't believe their luck, they must hate the British for losing that WWII, and British saw this as an opportunity, they brought in their the beliefs and such, stupidly we believed them, by the time we opened our eyes (Thanks to Mwl Nyerere) they had stolen and shipped loads of our natural resources.
    And now the colonists are back in the shape of Barrick, Voda, Zain, Zantel, Tigo, Coca Cola, Shoprite and Richmond!
    And we are still sleeping!! Eti Mungu akipenda! Bah!

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 26, 2010

    Huyu anayejiita Kamau si mkenya, ni mtutsi wa rwanda lakini pia ni "mtanzania wa makaratasi" (jina lake halisi tunalo). In fact, huyo mchangiaji wa saba (12:17:00 AM) ni yeye au henchman wake: nyoo...eti "on behalf of my fellow Tanzanians"...sema "on your own behalf". Kitu sikipendi hapa ni kujumuisha Wa-Tz wote. Mimi namshukuru Mungu amenipa kauwezo ka kuridhisha lakini nimeamua siku nyingi kuwa sitachangia sherehe za harusi na nadhani tuko Wa-TZ wengi tunaokerwa na ujinga huu. Usi-generalize mambo. Ndio maana mimi, licha ya kuishi kenya, siwezi ku-generalize na kusema "wakenya wote ni makatili, wezi, wauaji, majambazi, wakabila (tribalists) na waongo" kwa sababu maovu hayo yamekithiri kenya. La si vizuri kuwajumuisha hivyo kwa sababu hata kenya, amini usiamini, kuna watu watulivu na wema.

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 26, 2010

    Why r u all giving this fellow free air time? Charity..............@ home? Ange fix his home land first then come and help us.
    Asante kwa kutukumbusha matatizo yetu tunayajua na tunayafanyia kazi one day at a time you go ahead and help Kibira.

    Or by the way if u r a Christian remember "Ondoa kwanza boriti kabla...............".

    Asante.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 26, 2010

    Mkenya akiongea Kiswahili kibovu sio issue.

    Mtanzania akiongea Kiingereza kibovu, hiyo ni bonge ya issue!

    Kwanini lakini? Kwani Kiingereza na Kiswahili zote si ni lugha tu! Sasa hiyo lugha ya hapo mwishoni 'anayozungumza' Kamau nayo utaiita ni Kiswahili kweli? Au ni Kikuyu hicho jamani?

    Inasikitisha sana kwa walio wengi Kiingereza ndio kipimo cha usomi na akili.

    KAMAU,

    Kwanza kajifunze Kiswahili fasaha ndio urudi tena hapa na viji-article vyako! Usituharibie lugha yetu ya Taifa.

    Kama harusi ama michango ya harusi yakukera, MBONA UTAKEREKA SANA? - Stay tuned for More!
    Kwani nyie huko Kenya hamchangishani harusi?

    Ila pia wabongo kweli tu-balance basi kidogo michango ya harusi na masuala ya maendeleo, haswa elimu, afya, na kadha wa kadha.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 26, 2010

    MIMI NIMEGUNGUA KWAMBA ANKAL "PAUL KAMAU" NI MTANZANIA..

    Kwa sababu zifuatazo

    1. Anachangia agenda bila kukosa kwa issues ambazo ni za Watanzania zaidi kuliko Wakenya.

    2. Kizungu chake ni kibovu ukilinganisha na cha Mkenya wa Kawaida

    3. Kiswahili chake ni KIBOVU zaidi ukilinganisha na cha Mkenya wa kawaida.

    4. Lugha anayotumia ni lugha ya Mkenya wa kijijini ilhali yeye anatoka Nakuru kama alivyodai. Si tofauti na Msukuma au Mhaya n.k wa kijijini akizungumza bilashaka lafudhi inajitokeza wazi lakini kwa Msukuma au Mhaya wa mjini siyo rahisi kugundua ile lafudhi...

    5. Ni Wakenya asilimia ndogo sana wanavutiwa na blogu ya Michuzi kwa sababu mambo mengi hapo hayawahusu...

    6. Ni rahisi mtu kutunga jina na kuweka kwenye blog na sisi tusijue ukweli wake

    7. Kilichowazi ni utaifa wa "Paulo Kamau" chimbuko lake ni hapa hapa MICHUZI BLOG

    8. PAULO KAMAU NI MBISHI ASIYEKUBALI KUSHINDWA KIURAHISI

    9. KWA USHAURI Fungu na AINGIE UBIA NA ANKAL MICHUZI... manake "hits" za post za PAULO KAMAU ni nyingi sana...

    10. UNAWEZA KUCHANGIA PIA walau pointi moja....

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 26, 2010

    Kamau wewe uko sawa kabisa,sisi watanzania hatuoni mbali,mechi ya bra/tz wamepata hasara kubwa hata kusema wanaona aibu.Naomba utumie kiswahili kamau manake mbavu sina.

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 26, 2010

    Mchango ni ombi sio lazima. Hakuna aliyewahi kufungwa kwa kutochangia harusi. Msipochangishwa mnasema anadharau, hatuendi...,mkichangishwa majungu hayaishi.....vinywaji vilikuwa havitoshi.....maharusi hawajapendeza......mnachokitaka ni nini......

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 26, 2010

    YAANI I AGREE WITH THIS GUY 120%WATU SIKU HIZI NI KITCHEN PARTY,BABY SHOWER BLA BLA BLA THEN NDO HARUSI YENYEWE SASA HAPO ULIZA HAO MAHARUSI WAMETOA KIASI GANI?YOTE KUTEGEMEA MICHANGO TU...MIMI NAKEREKA KAMA NINI..HARUSI YAKO UNATAKA WATU WAKUCHANGIE KIKLA KITU NA KUKOPA JUU..JAMANIIIIIIIIIIIIIIIIIIII AAAAAAAAAAAAAA TUBADIRIKE..HIZI NI DALILI KUBWA SANA ZA UMASKINI KUPENDA MAMBO MAKUBWA WAKATI HUJUI JASHO LAKE UNABWETEKA TU KUTEGEMEA WATU 4 UA OWN ISSUE

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 26, 2010

    leo nakuunga mkono, miharusi michango inachosha na inaboa! hata ndugu wa karibu kuchangia karo za shule ni wagumuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu,
    sijui communio, ubatizo, birthdays, sijui michango lukuki,, ... tumechoka, umefika wakati wa kubadilika sasa

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 26, 2010

    I am with you Kamau. Msema kweli nimpenzi wa Mungu. Nafikiri Tanzania kuna hela sana kwa wachache kama kuna harusi za Milioni 100.. hi si kufuru? Halafu ndoa baada ya miezi mitatu inavunjika. Watu wafunge ndoa msikitini, kanisani au kwa mkuu wa wilaya. Hapo hapo baada ya kumaliza walioalikwa wapate chai/kahawa na mandazi, keki na juice basi ndiyo imetoka. Hata laki nne haifiki. Hizi za harusi kila mtu anataka kuwa Prince/Princess kama Wa-Nigeria hii kali!!

    ReplyDelete
  24. AnonymousJune 26, 2010

    Huyu ni Mtanzania ambaye ameamua kujifanya Mkenya ili alete masuala ya msingi kwenye mjadala. Huenda pia ana attention seeking syndrome ambayo inaweza kutulia kwa kuona watu tunakimbizana kumjibu. Kiingereza chake kina makosa fulani ya Kitanzania na Kiswahili chake ni cha Mtanzania anayeiga Mkenya. Kwa vyovyote vile, ni vema tu ikafahamika kwamba tunachezewa akili.


    Michuzi weka hii, maanake na wewe una mambo yako.

    ReplyDelete
  25. There is nothing bad to contribute to a wedding if you have been requested to do so after all you are not forced,it is in the culture of our people to help each other not only in the weddings but also in Funerals....so you can not change it brother kamau, it has been there for ages,let us tender our own business,and you tender yours!!

    ReplyDelete
  26. PETER NALITOLELAJune 26, 2010

    THIS BLOG HOVEWEVR, YOU ARE POOR U DONT LOOK IN IT. IF YOU ARE RICH LIKE RIDHIWANI KIKWETE OR YOHANA MASHAKA U GET AIRTIME EVERI DEI. YAANI KAMA UNA DAU HII BULOGU INAKUPENDA SANA, LAKINI UKIFULIA KAMA JACK PEMBA SAFARI SIYO KIFO, BASI HAUONI MWANGA WA JUA KWENYE HII BLOG. SO NEW PEOPLE WITH DHE MANE. WE TELL MICHUZZI TO ECONOMY ON ALL TANZANIA AND MUJOMBA KAMAU TO PAY MISS ILALA POCKET CHANGES TO PAY RENT IN KINONDONI

    ReplyDelete
  27. AnonymousJune 26, 2010

    Jama!
    *************************

    Paulo Kamau kweli yupo. Nimesoma na mtu anayeitwa Paulo Kamau Leeds 1992-1995 na alikuwaga na vituko kama huyu. kwa hiyo naamini ni yeye ila naweza kuthibitisha zaidi akiweka picha yake. ila jamaa mambo yake yalikuwa ni haya haya

    Mallya

    ReplyDelete
  28. AnonymousJune 26, 2010

    John Mashaka, Paulo Kamau, na Ridhiwani kikwete inabidi wagawane dau na Ankal Michuzi hasa mashaka na kamau kwa maana wanatoa hits zio za kawaida

    ReplyDelete
  29. AnonymousJune 26, 2010

    Kamau anasema wanachangiana kwenda shule. mbona wakenya ni wabovu mno kielimu ukilinganisha na watanzania....nimesoma na wakenya kibao...ukweli ni wabovu kielimu......sitaki kuwasifia watanzania ila walioko ndani na hata nje.....elimu ya bongo inatisha jamani....syllabus is outstanding..na vichwa vinavyofaulu bongo...there is no way get screwed anywhere else in the world..unlike wakenya.

    ReplyDelete
  30. JAMANI EE..! I THINK HOJA YA MHESHIMIWA IMESIMAMA SANA HATA KAMA IMEZUNGUMZWA NA MKENYA KWANGU MIE SI HOJA KABISA KUUZUNGUMZIA UTAIFA HAPA. ISSUE NI KWAMBA MICHANGO YA HARUSI IMEZIDI ITS TOO MUCH..! TENA ZAIDI YA KAWAIDA.
    AKSANTE SANA BWANA KAMAU...KWA KUONA ILI SUALA, JAMANI JAMII YETU SIE WATANZANIA SIKU HIZI UWEZI HATA KUMTOFAUTISHA MSOMI NI NANI NA NANI SI MSOMI COZ ASILIMIA KUBWA WANASHINDWA KABISA KUGUNDUA NA KUFANYIA UCHAMBUZI MAMBO MADOGO KAMA HAYA AMBAYO KWA NAMNA FULANI YANA ATHARI KUBWA SANA KATIKA JAMII YA WAPENDA MAENDELEO.! NITAWAPA MFANO MMOJA..JUST ONE DAY PITENI MAENEO YA RIVERSIDE SIKU YA WEEK-END MJIONEE JINSI KAMATI ZA HARUSI ZINAVYOFANYA KAZI..!NAKUELEZENI KWELI KABISA ON THE SAME PLACE GO AND ASK KAMA KUNA KAMATI YOYOTE INAYOCHANGISHA HARAMBEE ZA KUSOMA VIJANA WAO ILI KUWAANDAA KUWA NA MAISHA BORA.
    WHAT I SEE KWA SIE WATANZANIA NI UBINAFSI NA STAREHE, OOOPS YAANI ITS TOO MUCH, MTU ANACHANGIA ARUSI FULANI KWA AJILI YA MASLAHI BINAFSI AIDHA KULA NA KUNYWA AMA KUIBA VIJIPESA VYA MICHANGO HIYO ILI AKAJINUFAISHE BINAFSI.
    MICHANGO TELE..! UTASIKIA... MCHANGO WA KICHEN PARTY...MARA SEND OFF PARTY MARA SI BAG PARTY MARA THANK YOU PARTY N.K. MY GOD HIVI NYIE MNAFIKIRI KWELI? HIVI NI JAMAA ZAKO WANGAPI WALIKUOMBA SH. 40000 TU KWA AJILI YA ADA YA MTOTO WAO UKIJITETEA KUWA HUNA AT THE SAME TIME UKAENDA KUCHANGI SH. 100000 KWENYE ARUSI YA FULANI NA FULANI..! SO KAMA SI UBINAFSI HUO NI NINI? PEOPLE THINKS THRICE AND NOT TWICE..! COZ I THINK U'VE BEEN THINKIN TWICE AND ACTING ZERO DEGREE.
    THINK THINK THINK

    ReplyDelete
  31. AnonymousJune 26, 2010

    Ni kweli sijawahi kusikia mtu kafikishwa kortini kwa kugoma kuchangia harusi. Mimi sichangii harusi na ni Mtanzania mzalendo. kwa hivyo ustuweke wote katika kapu moja.

    ReplyDelete
  32. AnonymousJune 26, 2010

    JAMII YA MTANZANIA HAITAKI KUAMBIWA UKWELI,NDIO MWARABU ALICHOTUACHIA.HUYU JAMAA KASEMA KWELI KABISA,WAKENYA UGHAIBUNI AKIPATA SHIDA WANA HARAMBEE JE MBONGO?CHUKI TU.WAKENYA HATA HARAMBE ZA SHULE WANAFANYA WATANZANIA NI KUKIMBILIA VIKAO VYA HARUSI TU,JAMANI TUKUBALI TUBADILIKE,MAMBO MENGINE NI UKWELI MTUPU.GOD BLESS MUJOMBA KAMAU!!

    ReplyDelete
  33. AnonymousJune 26, 2010

    Ukweli unauma,kamau spot on,Bongo society need change jamani.

    ReplyDelete
  34. AnonymousJune 26, 2010

    KAMAU ANA AKILI KAMILI

    ReplyDelete
  35. AnonymousJune 26, 2010

    MI SIJALI KAMA KAMAU NI MTU AU VIRUS,Mm-TZ au M-KENYA, LAKINI MJADALA ALIOULETA WA HARUSI NI KWELI KABISA, MICHANGO YA HARUSI NI TOOOOOOO MUCH!, HIYO FEDHA TUITAFUTIE KAZI YA KUENDELEZA ELIMU, KAMA WENZETU WANAVYOFANYA HARAMBEE!

    ReplyDelete
  36. AnonymousJune 26, 2010

    MICHUZI, WAKENYA WANAYO MENGI YAO YA KUJADILI, NASHANGAA KUMPA ROOM HUYU KAMAU KUWAKANDIA WATANZANIA WAKATI YA KWAO YA KUBAGUANA AMBAYO NI SUMU KALI KATIKA MAISHA YA KIJAMII KAYAFUNIKA.
    HATA KAMA SHEREHE ZA HARUSI ZIKIZIDI NI JUU YAO WANAOTAKA FANYA HIVYO. MIMI BINAFSI NAWAACHIA WEPENDAO STAREHE ZAO NAMI NASHIKA NJIA YANGU,KWA MAANA HILO SIONI KAMA TATIZO LA WATANZANIA WOTE ILA NI LA TABAKA FULANI WANAOPENDA MAJIGAMBO NA MAONYESHO YA NANI KAFANYA NINI.

    KAMAU KWAO KENYA HAWANA MTANDAO WENYE KUJALI MAONI YAO, VINGINEVYO AKIFANYA KAMA ANAVYOFANYA HAPA KWA MICHUZI WATAMWINULIA JAMBIA, NDO MAANA ANATAFUTA NJIA NA HOJA YA KUJIUNGA MITANDAO YA WABONGO WENYE LADHA YA UTAMADUNI WA KUJALI WATU NA AMANI YETU KAMA ULIMBO

    ReplyDelete
  37. AnonymousJune 26, 2010

    weweeee mimi mtz halisi, niko tayari kuchangia harusi najua nitakula nitakunywa lakini sio kuchangia hizo shughuli nyingine ambazo hata ukichanga pesa inaishia mifukoni kwa watu

    ikiwa serikali yetu inasamehe kodi kwa wawekezaji wa nje basi itakua na uwezo mkubwa mnoooooo wa kumaliza matatizo yanayokabili jamii ya sisi wa tz

    ReplyDelete
  38. AnonymousJune 26, 2010

    Kamau kaongea ukweli!!!! reality ni kuwa tuanzie watanzania wanaoishi nje, tukisikia mtu ana kuwa deported hii ni news na watua kuanza kucheka na kusema the guy is finished. Ukweli nitofauti na wakenya. Watapitisha mchango wa haraka haraka ili kumpatia mwenzao kitu cha kwenda kuanzia maisha. Kuhusu mambo ya umiss.. wanatazania tume over do hii field.. yani kuna kila aina ya u-miss amabyo hapa europe au america sija wahi kusikia. Kamau nakuunga mkono kwa yote uliyo sema

    ReplyDelete
  39. AnonymousJune 26, 2010

    FROM CRADLE TO GRAVE WITH THE HELP OF MCHANGO.NO HELP FOR EDUCATION AND NO HELP IN OLD AGE.

    ReplyDelete
  40. AnonymousJune 27, 2010

    kamau TZ wanawake wazuri compare to kenya thus why tunagharamia sana,hivi tungekuwa na wanawake kama wa huko unadhani kungekuwa na michango.

    Then huwezi kuondoa utamaduni wetu MICHANGO YA HARUSI huku kama VUVUZELA south.

    kamau kiswahili chako hata cha google asafali.

    ReplyDelete
  41. AnonymousJune 27, 2010

    we kamau akili yako tope kabisa, achana na mambo ya kuweka vitu general.. tukisema wakenya wote ni wabaya sio kweli kuna wakenya wako poa sana. mie niko huku asia na madem wa kenya waliopo huku wanaongoza kwa umalaya ukienda club ni wao tu. ila hatusemani vibaya wala hatuweki vitu general ni hulka zao tu. so bro ingawa najua wewe sio mkenya ila acha kuchochea ubaguzi kati yetu. unachoandika ni cha muhimu ila hujui jinsi ya kuachia mambo!!
    mbaguzi mkubwa wewe!!

    ReplyDelete
  42. AnonymousJune 27, 2010

    Bravo uncle Kamau, the truth hurts! and thank you for the looking out. By the way you were right on Brazil the stadium was empty nobody could afford it waliishia kupata hasara kubwa and not sure who's gonna pay for it.
    Wedding ya Tanzania ina sehemu tatu; kitchen party, send off na wedding itself. and all these three are big sherehes with dresses and suits, foods, drinks, music and everything you can imagine. I have been thinking the same way TZ now is just about Miss competions not sure where the country is heading to. I can see this leading to big time prostitution in the future as most will not have good education or enough skills to get jobs to support their lives. Thank for looking/thinking about Jirani

    ReplyDelete
  43. AnonymousJune 27, 2010

    nyie wote hapo juu mnasema michango imezidi sana wakati nyie mliovyooa na kuolewa mlipitisha mabakuli sasa leo yanawarudia mnalalamika...Mngekua mnafanya harusi bila kuchangisha obvious msingepata mtu wakukuchangisha...sasa mnalalamika nini? Tanzania mnapenda kufanya mavitu yasio na uwezo wenu halafu mkishakaa na vikao vyenu na mipango yenu huko mnaanza kututext tujazie zilizobakia agggggr utazania niliwaambia nina hela au mufanye ubatizo tu na mnaalika watu 100...That is too much....

    Mkiamua kufanya party zenu no kusend text msgs or calls in the morning requesting use to chip in ...I am here and will not attend your party so why asking me for the money....??? and bad thing is that you are requesting for the money and giving me three days to come up with at least half of it...who told you I have the money right now and even if I have ...it is mind and I have my budget

    na ukiwauliza why you aguys are doing such a big party ...you will hear if we don't do this people will talk..waht people..they don't even know....stop that guys...


    Learn to live according to your means

    Awe Kamau ni mkenya au no lakini hii topic ni ya juu....



    x

    ReplyDelete
  44. AnonymousJune 27, 2010

    Kamau,

    Please channel your energy in solving Kenyans problems especially tribalism. If you a true genious, as you are trying to potray in here, then you should strive in uniting Luos and Kikuyus; the level of hatred and animosity between these tribes is appalling.

    Tanzanians poblems are minimal campared to Kenyans.I am fervently arguing you, Kamau, to clean your backyard first, before embarking in scrutinizing your neighbor's house.

    ReplyDelete
  45. AnonymousJune 27, 2010

    Nairejesha hoja kwenye ishu ya matumizi ya michango. Ndio, jumuia ya akina mama, watanunua labda friji, meza nk. Lakini 90% plus ya contribution zote zitaenda kwenye siku hiyo muhimu, vinywaji, chakula, ukumbi nk. Nadhani sote tunakubaliana kuwa kiasi fulani ni vyema kingekabidhiwa wanaharusi, wao waamue jinsi ya kujipanga kimaisha wenyewe. Sio utani, kama unawafahamu wana harusi, watembelee baada ya hiyo sherehe, uone ukweli wa mambo. Kama kawaida yangu ni kuwa Mercedes Benz naziona barabarani, basi iwe hivyo, sioni sababu ya rental costs of TSH350000 for a day wakati usafiri wangu daladala.

    Mtakaochanga, fanyeni hivyo kwa upendo sio kama advance payment for drinks,dinner and entertainment, kama watu wengi wanavyofanya siku hizi. Pia jamani, kumbukeni watoto pia ni part of the family na wanahitaji kuwa involved kwenye sherehe. Kwenye tafrija mbili hivi karibuni, MC alitangaza kuwa "Watoto wanapendwa lakini hawakukaribishwa", is that really the way kuijenga familia?

    KK

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...