Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo Cha Uwekezaji Tanzania Emanuel Ole Naiko akiwa kwenye picha ya pamoja na warembo wa Vodacom Miss Tanzania, kushoto kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hoteli Charles Bekon, Kushoto kwake ni Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania na Hashim Lungenga Mkurugenzi wa Kamati ya Miss Tanzania.warembo hao wanatarajia kwenda Arusha kesho.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Utakuta Hiyo Safari Ya Arusha unaweza Ukashangaa wanaongoza na timu hiyo hiyo Kina Ole Naiko, Huyo alieitwa "Lungenga" na mkurugenzi wa Mawasiliano Vodacom!! Sasa hapo c kutengeneza mazingira kweli!!!! Hivi we Lungenga Unafunga kweli wewe!! Astaghafirullah!! Astaghafirullah!! Astaghafirullah!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...