Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe akielezea sakata hilo la wasanii kupata viwanja kijiji cha Kisegese.

Picha za wasanii hao wakiwa hapo kijijini BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Jamani hata sisi tunangoje ahii dea kumbe ni uwongo. Tumetuma ndugu yetu aende kuangalia shamba kabla hatujaleta hela na anakwenda kesho jumamosi. Tumeahidiwa heka 100...Gees

    ReplyDelete
  2. hao ni wasanii wa kitu gani music ama ?

    ReplyDelete
  3. pole sana wasanii wetu kwa kuingizwa mjini

    ReplyDelete
  4. Bongo tambarale bwana!!

    ReplyDelete
  5. Bongo usanii kwa kwenda mbele. Wasanii wamefanyiwa usanii..LOL .

    ReplyDelete
  6. Hiyo ndio asante ya ku-kampeni sasa imekula kwenu. Tanzania ina wenyewe bwana. Ubinafsi unasumbua wengi sana ndio maana nchi haiendelei na matabaka ya watu wenye nazo na wasio nazo. Poor Tanzania mungu turehemu. Sasa nyie mlikua mnapewa kwakigezo kipi???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...