



Mashabiki wa Sima wanadai
ati mgonjwa kaanza kunywa uji....
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ukitaka kujua tofauti ya wachezaji wa sasa na zamani weee mcheck Sir Tenga na huyo nahodha wa Yanga,......Sir Tenga kipande cha mtu na huyo nahodha utasema ni wale Yosso wa zamani.uuuwiiiiiii.
ReplyDeletemdau wa London.
MNYAMA CHALIIIIIII!!! KUDADADEKI.
ReplyDeleteYANGA UREEEEEEEEEEEEEEE PAMOJA MAN U MWANZO MZURI CHAMA LANGUUUUUU
ReplyDeleteEbwanaa eeeh! Young African taifa kubwa asikwambie mtu man... Mmmh! haya sasa wale simba wote ni full kufyata mkia mwaka huu, hahahaha hihihi Yanga ni raha jamani ^_~
ReplyDeleteHiyo Watajuwa Wao Kama kaanza kunywa uji au Shurba ya Futar ila Wanaume Ndio Wanaanza Kuvipanga Vitu Kabatini Tunaanza na Ngao Kisha.....
ReplyDeletehizo ngao jamani!! hiyo ngao hina thamani gani mbona mbaya hata havutii !!
ReplyDeleteCCM oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
ReplyDeletemimi nilijua tuu yaani davis mosha kaingia mtu wangu mambo yatakua swafi kabisa davis uongozi wako unaanza na mapema yanga juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu zaidi
ReplyDeleteDK SLAA OYEEEEEEEEEEEEEE!!!!
ReplyDeleteYANGA taifa kubwaa!!! mziki mnenee..tunatusha balaaaaaaaa!!
ReplyDeleteSimba tumwatenda kijinsia,mmefyata mkia kimyaaaaaaa!!
Mmmmm! Jangwani Raha tupuu
Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
ReplyDeleteEbwanaeeeeeeeeee! Yanga ipo juuu vibaya mno mtu wangu yaaani wamepiga soka mwanzo mwisho. Simba kumuona Berko tu Roho juu penat wanapasia mwamba.
Watu Yangaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ReplyDeletePuga haooooooooooooooooooooooooooooooo! hayo ndo mambo ya Jangwani
ReplyDeleteheee michu we yanga?
ReplyDeleteKhaaaa! hiyo ngao mboni aibuu! toka enzi zilee, Voda tafuteni kitu yakueleweka!
ReplyDeleteMdau wa London, Huyo anaitwa Fred Mbuna ni bwana mdogo sana ana kama miaka 18 tu hivi.....ila ndiye mchezaji aliyedumu yanga kwa muda mrefu ...haaaah haaaaaah.
ReplyDeleteALAMBA!ALAMBA SIMBA AAM!AAM!
ReplyDeleteYaani Jangwani ndoo hiyo imeanza kaka luku yako imeisha Jengo gizani tena na sisi tutakufikia tu. kama ujui habari ndo hiyo. Check fans wa Yanga wajanja njano juu Jeans chini yaani ful wajanja see ur self katika photo...
ReplyDeletelugha, kha!!!!!!!!! si tuandike kiswahili tu jamani??? lugha za watu kama hatuzimudi tuwaachie wenyewe! manake hata mwenye blog kaharibu ....angalieni headline ya picha ya mwisho.LOH! sasa tuelewa wanavunja fast[wanafuturu] au wanashangiliw "well earned break" after scoring au????naomba msaada kwa hili.halafu comments zetu wadau ndio kabisaaaaaaaaaaaaa hazieleweki . LOL!
ReplyDeleteUkitaka kujua ukweli wa hilo mdau wa london nikuwa Tenga umri umeenda kwa hivyo uzito umeongezeka kama ni urefu Tenga amesimamila kwenye kitu (kama ngazi ndiyo yupo kwa juu), tofauti na kijana huyo ni mdogo na pia tizi kila siku, vijana siku hizi wanajitahidi kutokana na posho zipo nyingi katika michezo hasa mpira wa miguu, asanteni.
ReplyDeleteHilo ni kombe la mbuzi lakini tayari kelele hata maji hatunywi.
ReplyDelete