

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mimi nina mambo kadhaa kuhusu blog yako
ReplyDelete1. Background ina makelele sana...Tafuta solid picture...
2. Umeweka vitu viiiingi sijui mtu atasoma nini na atakumbuka blog yako kwa lipi. Try to find your ground and keep it.
3. Jina gumu kukumbuka. Watakao rudi kusoma ni wale walio karibu na wewe sana. Watu wengine wasipobookmark hii blog basi tena.
Nimeingia kwenye blog yako na sikupendezwa na hili kabisa...Watu wanatakiwa kufundishwa uandishi wa habari kama unataka kufungua blog ya habari. Na kama ni kucopy na kupaste basi mujue mutakua liable wote. Hivi hiyo picha ya maiti ya mtu aliyegongwa na bus ulipewa na police au mmejiamulia kuweka tu wenyewe humo kwenye blog yako? Kama ni police amewaambia mutangaze ili ndugu zake wapatikane kweli wangeamua kuweka description tu na sio kuweka maiti ya mtu hivyo. Kama ni hii kila mtu kukurupuka tu na kupiga picha za watu kwa vile camera mnazo siku hizi na kupost huku ili upate traffic kwenye blog yako huo sio uandishi wa habari kabisa. Nadhani kama mlisomea uandishi wa habari mmefundishwa uhuru wa habari na mipaka ya uhuru huo. Ndugu za watu si ajabu wangepatikana kwa njia nzuri tu lakini sio kupost picha za wapenzi wao kwenye mablog bila idhini yao. Watu wangi wanapenda kuwakumbuka wapenzi wao kama walivyokua wanaishi. Nyie haya mambo ya kujiiingiza tu kwenye uandishi wa habari bila kusomea sio vizuri. Mtakuja kuwa sued na ingekua ni ndugu yangu honey ningemake sure nakufilisi kila cent uliyonayo no matter where you live ili iwe fundisho kwa watanzania wote wenye mablog.
ReplyDeleteWatu siku hizi wanazuka tu na maglobu...hii ni fani watu wamesomea banaaa!!!!basi nyie mwajiingiza tu bila kujua alifu...oooh uwanja umevamiwa.kwa kifupi HAINA MVUTO.
ReplyDeleteHut????? au Kofia,
ReplyDeleteMag????? au Kikombe
badala ya
Hat - kofia,
Mug - kikombe.
UMECHEMKA.
Wengine mmeshauri mambo ya maana na yakuelimisha ila wengine kujidai wajuaji tu na hii inakera sana. Mmmmm kazi ipo. Haterssssssssssssssssssssssss
ReplyDelete@ wewe anonymous wa october 4th 9:02 pm nakushangaa kwa comments zako. mimi huyo marehemu aliyekumbwa na mauti ni ndugu yangu na thanx tu hungaz blog ndio nimemuona. wewe utaniambia nini? stop having personal issues na hatrace. umeandika mambo mengi we dont want to know. kama hutaki kuingia hungaz blog wewe usiingie na pia hat hapa kwa kaka michuzi usitie timu pia . unatuchafulia blog ya jamii kwa kujifanya i will sue for money. say wat? like u can afford the damm lawyer. 4 god sake hav a life. tuache tujinafasi na manews hapa kwa kaka michuzi na hungaz na wengineo. grow up man.
ReplyDeleteHello,
ReplyDeleteI visited your blog and to be honest with you, is boring me big time.I suppose most of your posts are just copy and paste and That's is the main reason you can easily see the black shadow covers up the entire paragraph or statement.
ADVICE:
1:Stop being lazy by depending on other people works,Try to be creative,dare to be different/unique, write it by yourself and don't plagiarise everything as what you are doing in most of your posts.
2:You can get ideas from other sources and put it in your own words.As simple as that.
Btw, m also a blogger.So,Good lucky buddy!!
from sister Duh!